Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Hii mvua inanyesha Jiji zima na vitongoji vyake kuanzia chanika, gongo la mboto, Buguruni, ubungo, tabata, k/koo, mbagala, kigamboni, tegeta ,goba , mpiji, mbweni, mbande , kisewe. , kitonga, mvuti, chamazi, kimboka, msasani, wailes, oysterbay , masaki, tuangoma, pugu kajiungeni, pugu dampo, karakata, Buza, kwa rulenge, kwa bibi nyau, manzese , tandale popobawa, kwa mfuga mbwa, Maputo, kidogo fresh,mwenge , narung'onmbe, kibada, masaki, kwa wahaya, external, mwananchi, mabibo, kisukuru, kote huko nimepita kuna booonge la mvua.
Mkuu, unafaa sana kuwa Konda wa Daladala maana ...
 
Yaan full kukanyaga vyura tu. Ngoja mie nkatulie zangu pande za java au recreation magereza Ukonga ili foleni ipungue kwanza. Karibu mkuu.
ahaaa mkuu ungesogea apa smart naluka na pool tebo...
 
MTO msimbazi, mto mzinga -mbagala/kongowe, bonded la jangwani, MTO kisukuru etc mpaka sasa maji yamejaaa mpaka pomoni.

Hayo maeneo nilikuwa nafanya yangu i.e "invisible activities", hivyo katika kukamilisha ratiba yangu barabara ikanibid nipite njia zote hizo.

Mkuu mshana jr upo wapi leo au bado msata?
Utakuwa mwanga nini mkuu.
 
Hii mvua inanyesha Jiji zima na vitongoji vyake kuanzia chanika, gongo la mboto, Buguruni, ubungo, tabata, k/koo, mbagala, kigamboni, tegeta ,goba , mpiji, mbweni, morocco, boko, zingiziwa,malamba mawili, mbezi kibanda cha mkaa, mbezi.makonde , kimara, kwa msuguri, kwa kichwa, kwa.msuguri, kibamba, temboni, segerea, tabata, matumbi, ubungo maziwa ,korogwe kimara, bucha kiamara, ubungo maji, bungo msewe, chanika , liverside kwa mzee wa upako, mikocheni coca cola, Mayfair plaza, Feza schools, IST,kwa bibi nyau, kwa remi, makaburini sina, sina palestina, ustawi wa jamii (ambiance), mwenge kinijini, mwenge tra, mwenge mapambano, makumvusho, kijitonyama, barack obama street, kwa ndevu mbili, Buza kwa Osama, mbande , kisewe. , kitonga, mvuti, chamazi, kimboka, msasani, wailes, oysterbay , masaki, tuangoma, pugu kajiungeni, pugu dampo, karakata, Buza, kwa rulenge, kwa bibi nyau, manzese , tandale popobawa, kwa mfuga mbwa, Maputo, kidogo fresh,mwenge , narung'onmbe, kibada, masaki, kwa wahaya, external, mwananchi, mabibo, kisukuru, kwa azizi ally, stend ya shamba, kiburugwa, mbagala kuu, Kokoto, msumbiji, Maputo,mbande, kijichi, tuangoma, msongola, kwa pinda, kibada, faraja jipya, kigamboni, ferry, etc

koooooteeerre huko nimepita , aiseer kuna booonge la mvua sio la nchi hii.
Mmhh unaustadi wa hali juu ki maeneo..!!
 
Back
Top Bottom