Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Hata Ally Mufuruki aliandika wakati Fulani kuhusu mafuriko na bomoa bomoa. Lilikuwa andiko zuri sana kuhusu chanzo cha mafuriko. Najaribu kulitafuta nitalibandika hapa
Pls nitag ukipost hio paper
 
Yaani hapa ndipo ninapomkumbuka Comred Ghadafi (R.I.P); aliamisha maji kutoka mitoni na bahari na kuyapeleka jangwani kwa idadi kubwa ya kilometa za umbali na watu wakaanza kulima kilimo cha maana. Wakajitosheleleza...! Yaani we acha.
Unajua alieturoga kafa. Dar inashida ya maji sana. Vipi haya maji ya mvua yangevunwa kwenye treatment plant fulani then tukayatumia kama recycled! Leo madimbwi kila mahali kwadababu ya mvua. Kesho akina mama na ndoo vichwani wanatafuta maji.
 
tena yangekuwa mazuli sana hayan michumvi
 
Njooo mana ni highly boring kwa kweli, inabd ujitengenezee ratiba ya vitu vya kuaccomplish at the end of the day to stay motivated
Naomba inyeshe kesho......🙂🙂😉
 
Back
Top Bottom