Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Wana JF hivi hii mvua kubwa inayonyesha huku South Beach Dar inanyesha Dar nzima?

Mlioko barabarani naomba mtujulishe hali ya barabara maanake mji huu na mvua haviendani.
Agggghhh.......
Wanaume wa Dar, mnapenda sana kulalamika.
Ebu acheni mvua inyeshe na tupate mema ya alieko juu
 
Wana JF hivi hii mvua kubwa inayonyesha huku South Beach Dar inanyesha Dar nzima?

Mlioko barabarani naomba mtujulishe hali ya barabara maanake mji huu na mvua haviendani.

Kila nikionaga hili neno nakumbuka The Decision ya LBJ, "Taking my talents to South Beach".
 
Agggghhh.......
Wanaume wa Dar, mnapenda sana kulalamika.
Ebu acheni mvua inyeshe na tupate mema ya alieko juu
Malalamiko yako wapi? Hapa tunapeana updates hali ilivyo huko barabarani. Huku mjini hatukurupuki hovyo kama mbuzi.
 
Wana JF hivi hii mvua kubwa inayonyesha huku South Beach Dar inanyesha Dar nzima?

Mlioko barabarani naomba mtujulishe hali ya barabara maanake mji huu na mvua haviendani.

Bashite kaamrisha inyeshe maana yeye si ndio mungu wa nchi hiyo inabidi mkatoe sadaka ya kuteketezwa kumfurahisha mungu wenu ili azidi kuwaletea mvua
 
WAKATI HUU WA MVUA KUNYESHA KUNA WATU WANAFUNGULIAAA CHEMBA ZA MAJI MACHAFU(MAV--)SANA SANA MJINI

OVA
 
Hii mvua inanyesha Jiji zima na vitongoji vyake kuanzia chanika, gongo la mboto, Buguruni, ubungo, tabata, k/koo, mbagala, kigamboni, tegeta , malapa, mwanayamala, kinondoni A, kinondoni B, kawe ukwamani, karakata, Bomu Bomu, kijiwe samri, chadema, yombi, spenko, mahakama ya mbuzi, vinguti, magomeni.kagera, mapipa, Keko, Keko mwanga, Keko machungwa, keko magurumbasi, maduka mawili, Taifa, mivinjeni, salvation army, kwa.mama kibonge, ,goba , mpiji, mbweni, morocco, boko, zingiziwa,malamba mawili, mbezi kibanda cha mkaa, mbezi.makonde , kimara, kwa msuguri, kwa kichwa, kwa.msuguri, kibamba, temboni, segerea, tabata, matumbi, ubungo maziwa ,korogwe kimara, bucha kiamara, ubungo maji, bungo msewe, chanika , liverside kwa mzee wa upako, mikocheni coca cola, Mayfair plaza, Feza schools, IST,kwa bibi nyau, kwa remi, makaburini sina, sina palestina, ustawi wa jamii (ambiance), mwenge kinijini, mwenge tra, mwenge mapambano, makumvusho, kijitonyama, barack obama street, kwa ndevu mbili, Buza kwa Osama, mbande , kisewe. , kitonga, mvuti, chamazi, kimboka, msasani, wailes, oysterbay , masaki, tuangoma, pugu kajiungeni, pugu dampo, karakata, Buza, kwa rulenge, kwa bibi nyau, manzese , tandale popobawa, kwa mfuga mbwa, Maputo, kidogo fresh,mwenge , narung'onmbe, kibada, masaki, kwa wahaya, external, mwananchi, mabibo, kisukuru, kwa azizi ally, stend ya shamba, kiburugwa, mbagala kuu, Kokoto, msumbiji, Maputo,mbande, kijichi, tuangoma, msongola, kwa pinda, kibada, faraja jipya, kigamboni, ferry, etc

koooooteeerre huko nimepita , aiseer kuna booonge la mvua sio la nchi hii.

Kama mvua imenyesha ya kutosha kuanzia monday ya tareh 08 May hebu sa "Jana na leo".
haswaaa unafaa kuwa mkuu w mkoa wa darisalama
 
Back
Top Bottom