haya maeneo mbagara na viunga vyake vyote na gongo la mboto banana mpaka kitunda kuna wakazi wengi sana ipo haja ya kujengwa reli kwa wakazi wa mbagara kupunguza adha ya usafiri....
haya maeneo mbagara na viunga vyake vyote na gongo la mboto banana mpaka kitunda kuna wakazi wengi sana ipo haja ya kujengwa reli kwa wakazi wa mbagara kupunguza adha ya usafiri....
Kwa bwege[emoji23]Wapo wengi Hasa pande za kisewe, mbiku, chamazi, kwa bwege, kitonga ,mpaka mvuti mwisho (pale tii Sheria bila shurti) kote huko ni full kina halima kimwana tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15]Na akina mwajuma ndala ndefu....
Na akina mwajuma ndala ndefu....
Kwa bwege[emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] uongoooKwa bwege papo ukifika kisewe ndo unaenda huko mbele kidogo Karibu na mwisho wa rami . wenye wanapajua.
Ndo rahaa ya kujichanganya uswaz na ushuani.
Mfano, uswazi kuna tandale popobawa
Msasani unavyoenda koki beach kuna sehemu panaitwa kilima genye ( soma bila kugeuza) hapo sehemu kila dereva anapaheshimu na dala dala zinashusha bila kutumia tafsida (metaphor)
Labda alikuwa kwenye ziara akimuwakilisha bashiteDah asee we hata kaz yako ngumu ku-imagina, usiku wote huu umepita mitaa yote hyo unatafuta nn.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] uongooo
aisee, unaenda kujiliwaza ninSaa hizi Niko pande za tmk wailes naelekea Makalio bar (makota bar). Maana hiki kimvua ni noma aisee.
Baada ya miezi tisa tutalala chini huko hospital, tunaomba serikali ituandalie vitanda vya kujifungulia
aisee, unaenda kujiliwaza nin
[emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Utakuwa wa kishua ( mtoto mboga saba / msosi wa draft) au la utakuwa Mgeni jijini mzizima (dar) uliza wanamji waliokula miguu ya kuku ya tandika Davis corner
wakwambie hayo maeneo kama yapo au hayapo. Afu utaleta mrejesho.
Wizara ya afya ipewe fungu kubwa, kuna kazi kubwa miezi hiyoMkuu hata mimi nakuunga mko kusema in between Jan - Feb 2018 , there will high magnitude of pregnancies in dar city...Ahaaaaaa
tope tupu madimbwi full kujaaMfano banana kuna nyomi ya kwenda kibeberu, matembele, machimbo (sio ile ya yombo buza) mwanagati, ccm, mwisho wa rami, kitunda, kinyantira, yan nyomi ya kuta mtu. Sijui kama leo kunaendeka na mvua hii.
kaka unazijua chimbo kwel kwelNaenda kusaka cha mkwezi mara moja ili baada ya hapo nione wapi patanifaa kukata appetite ya leo, bado sijachagua kat ya sugar ray (kisuma), kimboka (buguruni sheli/chama) au sewa.
kaka unazijua chimbo kwel kwel