Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Mvua kubwa jijini Dar - Mei 8, 2017

Hii mvua inanyesha vizuri sana, hasa kwa dar. Ingekuwa inanyesha kama tulivyozoea kuona basi watu wa Dar tungeshatafuta mkoa mwingine.

Tushukuru Mungu inanyesha kwa kiasi.
 
Back
Top Bottom