Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

Mvua kubwa inanyesha Dar es Salaam

kwa wakazi wa dar mnaoishi mabondeni, mafuriko yakija msilalamike, kumbukeni kuwa mvua hiyo haijaletwa na Serikali ya chama cha mapinduzi

Ova
 
Dah....huku Ilala tunapanda mpunga saa hii[emoji13] [emoji13] [emoji13]
mkuuu...nimecheka sana kwa kweli[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nawapa taarifa watumiaji wa Nyerere road kuwa eneo kati ya Tazara na Vingunguti limejaa Maji na mifereji haionekani hivyo magari yanapita kwa taabu.

Nawatakia siku njema.
Duh shukran for info huez jua umenisaidiaje aise ..
 
Kamati za ufundi ziko kazin huko buguruni kuna kaz maalum wanafanya sasa hawataki disturbance
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hasa pale sheli na maeneo ya kimboka mkuu
 
Anaehitaji chumba cha kupanga Maeneo ya Majumba sita msimbazi Aje tufanye biashara
 
Nawapa taarifa watumiaji wa Nyerere road kuwa eneo kati ya Tazara na Vingunguti limejaa Maji na mifereji haionekani hivyo magari yanapita kwa taabu.

Nawatakia siku njema.
asante sana kwa taarifa mkuu....natumai waliopo maeneo hayo na wanaotaka kupitia eneo hilo kupitia huu uzi wamekusikia na utakuwa umewasaidia sana
 
morocco hapa imepiga ya kutosha.. itabidi leo nichomoke mapema tu baada ya lunch maana najua kutakuwa na nyororo sio la mchezo
 
Anaehitaji chumba cha kupanga Maeneo ya Majumba sita msimbazi Aje tufanye biashara
mkuu.. nadhani wadau wanaotafuta chumba wamekusikia! lbd ungetupiapo na kapicha ka eneo hilo ili ku-attract business flow[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
morocco hapa imepiga ya kutosha.. itabidi leo nichomoke mapema tu baada ya lunch maana najua kutakuwa na nyororo sio la mchezo
mkuu.. dahh hayo maeneo huwa si murua sana kiusafiri hasa nyakati za jion! sipati picha hii leo itakuwaje huko
 
Mungu awaepushe na majanga, Maana serikali hii mkipata majanga mtajiju
 
Back
Top Bottom