Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 2,604
- 3,097
Sasa wewe elimu huna unataka ajira gani ?!Kijana.
Kama kweli unataka kumsaidia Rais.
Mshauri aangalie swala la uchumi ukosefu wa fedha na ajira ni mkubwa.
Usimdanganye kwa kumsifia tu.
Mwambie ukweli.
Kama magufuli alivyotuachia Deni kubwa la Taifa kwa kuijenga Chatttle,,halafu yeye aka rest in ........Huyu Sasa ni liability kwa Tanganyika na asset kubwa sana kwa Zanzibar. Mpaka ifike 2030 tutakoma!! Atatuachia deni kubwa la kulipa halafu anasepea Zenj na muungano unavunjika. Tunabaki na deni letu wananaki na Dubai yao!!
Hiyo ndiyo faida ya muunganoTanganyika tunarudi nyuma kwa spidi ya mwanga huku Zanzibar ikichanja mbuga kuelekea kwenye neema.
Habari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.
Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.
Kama ifuatavyo;
(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5
(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231
********************************************
* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.
*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...
-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba
-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.
-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100
HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.
Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?
mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200
Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli
Nawasilisha.
Cmnasemaga kutesa kwa zamu ? Au vipi ? !!Tanganyika tunarudi nyuma kwa spidi ya mwanga huku Zanzibar ikichanja mbuga kuelekea kwenye neema.
Watanganyika tumekamatika, badala ya kupata Rais, tumepata rahisi na kila kwenye urahisi kuna gharama. Hiyo ndio gharama ya kuwa na viongozi dhaifu na vipofu.Habari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.
Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.
Kama ifuatavyo;
(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5
(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231
********************************************
* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.
*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...
-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba
-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.
-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100
HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.
Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?
mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200
Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli
Nawasilisha.
Na kamwe fisiem haiwez kuiacha zenjiba....Zanzibar Dr mwinyi anaipigania , Samia anaipigania .
.Mtanganyika atakaye jitokeza kwa kugombea Urais mwaka 2025 atakayekuwa na sera ya kuukataa Muungano anayo kura yangu bila kujali ametokea chama gani cha kisiasa.
Katika mambo ya ajabu sana ni hili. Makubaliano yoyote yasiyo ya kisheria hayana msingi kwa maana ya kwamba yanaweza kubadilishwa wakati wowote.Jambo la kwanza linaloshangaza katika yote haya, ni kuwa jambo muhimu kama hili la Muungano hata Bunge halihusishwi kabisa juu yake.
Katika mazingira ya kawaida hili tu linatosha kuwa sababu ya chama kushindwa. Kwamba CCM haisikilizi wananchi ambao miongoni mwa wanahoji ni CCM pia. Bila Dola sidhani!Baada ya kukusoma hapa, ninajiuliza, hivi kweli Samia anaweza kushinda uchaguzi wowote bila ya uchawi waliozoea kuufanya CCM? Wapiga kura wataelezwa nini kuhusu mambo kama haya yanayofanyika nje kabisa ya utaratibu wa serikali?
CCM hawataki yajadiliwe lakini wanaahirisha tatizo. Wazee waliosimamia muungano ni akina Mangula ambao mwaka 1964 walikuwa makada wa chama. Taratibu wanaondokaMwisho, tunapoona sarakasi zinazofanywa na serikali, na Samia kueleza hatakubali mambo 'controvercial', mambo yenyewe ndiyo haya wasiyotaka CCM yajadiliwe.
Hapo hapo inabidi kujiuliza: hivi HAKI na MARIDHIANO yanayolengwa kupatikana yatakuwa ya aina gani, wakati haya yakipiganiwa yasizungumzwe!
Ujenzi Zanzibar kwa kasi ya SGR. Singapore ileee!Tanganyika tunarudi nyuma kwa spidi ya mwanga huku Zanzibar ikichanja mbuga kuelekea kwenye neema.
Mkopaji ambaye ni Tanganyika ndo atadaiwa na ndiye pekee atalipaNa kwenye kulipa nao SMZ watachangia sh ngapiiii???
Kwa maoni yangu kuhusu Muungano. Muungano utaendelea kuwepo, lakini usiolalia upande mmoja zaidi ya mwingine.Kundi kubwa lisilojua muungano ipo siku litaamua tu limechoka kuishi kwa mazoea na halitki kero kutoka pande zote. Ikifika hapo muungano utavunjika kama kikombe cha glass tena utavunjika kwa chuki kama ilivyo sasa Ukraine. Machogo upande wao na Waarabu wa Zanzibar upande mwingine
Ni wakati wa bibi kuupiga mwingi kuelekea baharini acha aendelee kuwazamishaHabari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.
Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.
Kama ifuatavyo;
(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5
(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231
********************************************
* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.
*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...
-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba
-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.
-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100
HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.
Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?
mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200
Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli
Nawasilisha.
Kwa maoni muungano upo katika hali mbaya, kwa bahati mbaya viongozi hawajui.Muungano utaendelea kuwepo, lakini usiolalia upande mmoja zaidi ya mwingine.
Ukosefu wa uongozi ni tatizo . Miaka ya nyuma kwa wengi hawajazaliwa, Watanganyika walikwenda Zanzibar kwa passport. Wananchi wakalalamika Wazanzibar waje kwa PassportHaya tunayoyashuhudia leo hii ni matokeo ya uzembe wa CCM, kutaka kuridhisha kundi lenye kelele nyingi sana zilizokuwa zinatokea Visiwani zikidai Uhuru wao kama nchi kamili; yaani kuuvunja muungano. Badala ya kushughulikia swala hilo kwa kutumia akili, wao wakaona kuwapa "RUHWA" kwa kutatuta zilizoitwa KERO kwa njia zisizokuwa sahihi ndilo suluhisho la kuulinda Muungano; kumbe ndiyo wanaudhoofisha zaidi kama ilivyo sasa.
Kwa hali ilivyo muungano ni kwa manufaa ya Zanzibar. Ikiwa Tanganyika imebeba muungano na imeibeba Zanzibar , umuhimu wa Zanzibar katika zama hizi upo wapi?Pengine ninaweza nisiwe ninaeleweka vizuri hapa, lakini maana yangu ni kwamba, Muungano si kwa manufaa ya upande mmoja tu wa Muungano. Pande zote mbili zinauhitaji Muungano; kinachokosekana ni uongozi wa kuustawisha katika hali hiyo.
Nakhakikishia hali ikiendelea kama ilivyo, ipo siku litatokea lakutokea.Zanzibar na Tanganyika havitenganishwi tena, isipokuwa labda kwa kuingiliwa na nchi zenye nguvu zaidi kwa mabavu.
Vp mafuta na kwao yamepanda kama sisiSiri ya mtungi aijue _____ Usikute haya hata mwanzo yalifanyika lkn kukawa na usiri.
Huu Muungano kuna haja yakurekebishwa zaidi kwa baadhi ya vipengele zaidi ni vyema kila upande ungejitegemea kwenye swala zima la mikopo kila mtu abebe msalaba wake lakini usikute mtoa mada unalalamika wakati hata hiyo Zanzibar haina mamlaka ya kukopa km nchi bila kibali cha Tanganyika.
Na usikute kuna mikopo inakuwa address kwa Zanzibar moja kwa moja lkn mtoaji kibali nani kuidhinisha hilo ni Tanganyika so unategemea nini wakati hayo yalikuwa yanafanyika nyuma sasa aliekuwepo ni Mzanzibari na moja yamambo yalikuwa yanapigiwa kelele ni haya niwakati wake kuwaliwaza WaZanzibar.
Ina maana kina mkwere hawaoni hii michongo mibovu ama na wao wamekalishwa!!?Yani huyu mama kaja kuturudisha nyuma kila kona sio bure
Tupatie orodha ya mikopo ambayo haikwenda ZanzibarMiaka yote mikopo ikitoka inatumika bara tu, na wazenji hawakuruhusiwa kukopa kama wao,, watu wa bar tuna ubinafsi sana