Muungano wetu: Mgao wa Fedha za IMF na Zanzibar kupewa asilimia 18, ni sahihi?

Huyu Sasa ni liability kwa Tanganyika na asset kubwa sana kwa Zanzibar. Mpaka ifike 2030 tutakoma!! Atatuachia deni kubwa la kulipa halafu anasepea Zenj na muungano unavunjika. Tunabaki na deni letu wananaki na Dubai yao!!
Kama magufuli alivyotuachia Deni kubwa la Taifa kwa kuijenga Chatttle,,halafu yeye aka rest in ........
 
Habari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.

Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.

Kama ifuatavyo;

(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5

(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231

********************************************

* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.

*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...

-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba

-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.

-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100

HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.

Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?

mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200

Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli

Nawasilisha.

Zanzibar Dr mwinyi anaipigania , Samia anaipigania .​

.Mtanganyika atakaye jitokeza kwa kugombea Urais mwaka 2025 atakayekuwa na sera ya kuukataa Muungano anayo kura yangu bila kujali ametokea chama gani cha kisiasa.​

Chini ya carpet ndicho kilichomtoa ndugai kuhoji why Zanzibar wanapewa hela nyingi hivyo 20% badala ya 5% maana share yao ni 5% kwa kile tupatacho means ilitakiwa wapewe billions 65 tsh tuu badala ya hayo ma mia mbili billions.
 
Habari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.

Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.

Kama ifuatavyo;

(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5

(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231

********************************************

* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.

*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...

-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba

-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.

-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100

HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.

Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?

mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200

Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli

Nawasilisha.

Watanganyika tumekamatika, badala ya kupata Rais, tumepata rahisi na kila kwenye urahisi kuna gharama. Hiyo ndio gharama ya kuwa na viongozi dhaifu na vipofu.
 
Zanzibar Dr mwinyi anaipigania , Samia anaipigania .​

.Mtanganyika atakaye jitokeza kwa kugombea Urais mwaka 2025 atakayekuwa na sera ya kuukataa Muungano anayo kura yangu bila kujali ametokea chama gani cha kisiasa.​

Na kamwe fisiem haiwez kuiacha zenjiba....

Ila muungano ni ovyo....

ndugai alijiuzuru sababu ya madudu ndani ya serikali

Sent from my SM-M307F using JamiiForums mobile app
 
Jambo la kwanza linaloshangaza katika yote haya, ni kuwa jambo muhimu kama hili la Muungano hata Bunge halihusishwi kabisa juu yake.
Katika mambo ya ajabu sana ni hili. Makubaliano yoyote yasiyo ya kisheria hayana msingi kwa maana ya kwamba yanaweza kubadilishwa wakati wowote.
Hivi vikao wanaokaa wenyewe siku akitokea Rais mwingine chochote kitatokea

Kwa upande mwingine Bunge la CCM Dodoma ni chanzo cha matatizo. Hivi Wabunge wanawezaje kupuuza hoja kama hizi! Mbunge aliyesimama katika ukweli na historia inamtetea ni Ali Kessy wa Sumbawanga. Ali alikuwa anawaambia Wazanzibar ukweli tena ukweli mtupu

Kwa mfano Ali Kessy aliwahi kusema Zanzibar inatumika kama uchochoro wa bidhaa hafifu na ukwepaji wa kodi. Ali alitolea mfano wa kontena za pikipiki zinazoshushwa bandari ya Dar na zile zinazoingizwa kinyemela bila kodi Zanzibar. Hoja za Ali Kessy zilikuwa na maana na serikali ya JPM ikazichukua na kupiga marufuku bidhaa hafifu za kukwepa kodi kutoka Zanzibar
Nadhani hii ni kero ''imeshatatuliwa'' haraka sana baada ya msiba wa JPM
Baada ya kukusoma hapa, ninajiuliza, hivi kweli Samia anaweza kushinda uchaguzi wowote bila ya uchawi waliozoea kuufanya CCM? Wapiga kura wataelezwa nini kuhusu mambo kama haya yanayofanyika nje kabisa ya utaratibu wa serikali?
Katika mazingira ya kawaida hili tu linatosha kuwa sababu ya chama kushindwa. Kwamba CCM haisikilizi wananchi ambao miongoni mwa wanahoji ni CCM pia. Bila Dola sidhani!
Upinzani ungekuwa imara hii ni hoja nzuri sana
Mwisho, tunapoona sarakasi zinazofanywa na serikali, na Samia kueleza hatakubali mambo 'controvercial', mambo yenyewe ndiyo haya wasiyotaka CCM yajadiliwe.
Hapo hapo inabidi kujiuliza: hivi HAKI na MARIDHIANO yanayolengwa kupatikana yatakuwa ya aina gani, wakati haya yakipiganiwa yasizungumzwe!
CCM hawataki yajadiliwe lakini wanaahirisha tatizo. Wazee waliosimamia muungano ni akina Mangula ambao mwaka 1964 walikuwa makada wa chama. Taratibu wanaondoka

Kwa mfano ndani ya CCM sasa hivi ni Kinana na akina Mkuchika wanaojua katiba ya 1977 iliandikwaje. Wengi walikuwa hawajazaliwa kama akina Shaka

Kundi kubwa lisilojua muungano ipo siku litaamua tu limechoka kuishi kwa mazoea na halitki kero kutoka pande zote. Ikifika hapo muungano utavunjika kama kikombe cha glass tena utavunjika kwa chuki kama ilivyo sasa Ukraine. Machogo upande wao na Waarabu wa Zanzibar upande mwingine
 
Kwa maoni yangu kuhusu Muungano. Muungano utaendelea kuwepo, lakini usiolalia upande mmoja zaidi ya mwingine.

Haya tunayoyashuhudia leo hii ni matokeo ya uzembe wa CCM, kutaka kuridhisha kundi lenye kelele nyingi sana zilizokuwa zinatokea Visiwani zikidai Uhuru wao kama nchi kamili; yaani kuuvunja muungano. Badala ya kushughulikia swala hilo kwa kutumia akili, wao wakaona kuwapa "RUHWA" kwa kutatuta zilizoitwa KERO kwa njia zisizokuwa sahihi ndilo suluhisho la kuulinda Muungano; kumbe ndiyo wanaudhoofisha zaidi kama ilivyo sasa.

Pengine ninaweza nisiwe ninaeleweka vizuri hapa, lakini maana yangu ni kwamba, Muungano si kwa manufaa ya upande mmoja tu wa Muungano. Pande zote mbili zinauhitaji Muungano; kinachokosekana ni uongozi wa kuustawisha katika hali hiyo.

Zanzibar na Tanganyika havitenganishwi tena, isipokuwa labda kwa kuingiliwa na nchi zenye nguvu zaidi kwa mabavu.
 
Mama anachelewa nini kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa nyumbani kwao
 
Habari zenu wakuu?
Kama nitamkwaza mtu naomba nisamehewe lakini siwezi kukaa kimya.

Serikali imetoa mpangilio wa matumizi ya mkopo wa IMF , Tsh Trillion 1.3 za kitanzania.

Kama ifuatavyo;

(i). Sekta ya maji- Billion 139.4
(ii). Elimu -Billion 368.9
(iii). Afya - Billion 90.2
(iv).Jamii yenye maisha duni - Billion 5.5
(v). Makundi maalum - Billion 5
(vi). Shughuli za uratibu - billion 5

(vii). SERIKALI YA ZANZIBAR - BILLION 231

********************************************

* Yani Tanzania bara tupo zaidi ya million 55 ila jamii yenye mazingira magumu inapewa billion 5 wakati kwa takwimu za harakaharaka nadhani inakadiriwa waTz wenye maisha duni ni zaidi ya million 7. ni dhahiri hiyo hela haitoshi kbsa maana hata watu wa tasafu wanalipwa kiduchuuuuuu.

*Zanzibar ina wakazi zaidi ya 1 million kwanini fedha zote hizi ziende kwao ilihali serikali ingepunguza walau billion 100 na kuzijaza kwenye yafuatayo...

-mikopo ya vijana yenye riba nafuu au 0% riba

-kuongeza hela kwenye hiyo bajeti ya afya ili hospitali za wilaya na zahanati za kata vijijini vikapata vifaa pungukiwa.

-basi jamani hata walimu kadhaa wajengeeni nyumba za kukaa hata mbili tatu za kuzuga na hyo bilion 100

HAYO NI BAADHI AMBAYO YAPO KICHWANI KWANGU ILA NAJUA KILA MTU ANA YAKE AKILINI.

Ni nini faida ya muungano kwa Tanzania bara?

mzalendo wa kweli.
Hapa kwetu lita ya mafuta ya kula imefika 9000
mkate- 1300
soda -700
mchele wa kawaida 1kg-2200

Chanzo ya picha ya budget -TBC
maoni yaliongezewa - Mzalendo wa kweli

Nawasilisha.

Ni wakati wa bibi kuupiga mwingi kuelekea baharini acha aendelee kuwazamisha
 
Muungano utaendelea kuwepo, lakini usiolalia upande mmoja zaidi ya mwingine.
Kwa maoni muungano upo katika hali mbaya, kwa bahati mbaya viongozi hawajui.
Yanayotokea yalitokea huko nyuma busara za viongozi kusikiliza wananchi zilisaidia sana. Kwasasa viongozi wanajali '' upande' kuliko Muungano, hawalioni tatizo
Haya tunayoyashuhudia leo hii ni matokeo ya uzembe wa CCM, kutaka kuridhisha kundi lenye kelele nyingi sana zilizokuwa zinatokea Visiwani zikidai Uhuru wao kama nchi kamili; yaani kuuvunja muungano. Badala ya kushughulikia swala hilo kwa kutumia akili, wao wakaona kuwapa "RUHWA" kwa kutatuta zilizoitwa KERO kwa njia zisizokuwa sahihi ndilo suluhisho la kuulinda Muungano; kumbe ndiyo wanaudhoofisha zaidi kama ilivyo sasa.
Ukosefu wa uongozi ni tatizo . Miaka ya nyuma kwa wengi hawajazaliwa, Watanganyika walikwenda Zanzibar kwa passport. Wananchi wakalalamika Wazanzibar waje kwa Passport

Nyerere na Jumbe wakasikia , wakapima wakaona ukweli. Zanzibar ikaondoa passport usiku mmoja bila masharti kwasababu walijua wameshika makali.

Rais AH alipoingia naye akafanya haya ya ''zamu yetu'' , kasema Juzi Jenerali Ulimwengu.

Upendeleo wa kila kitu ukapelekwa Zanzibar. Likatokea kundi la G55 ndani ya Bunge likiwa na akina Njelu Kasaka, Jenerali Ulimwengu n.k. wakaitaka Tanganyika

Walichukizwa sana na yaliyotokea, suluhu waliyokuwa nayo ni kuirudisha Tanganyika

Wakati huo ni chama kimoja, tofauti na tunachokiona Dodoma leo hii!

Busara zikaonyesha tatizo ni AH Mwinyi kuitweza Tanganyika na kila kitu Zanzibar

Nyerere alimkemea Mwinyi na kisha kutuliza G55 kisiasa kwamba waache kuwa CCM kwanza ili wasimamie wanachoamini nje. Kuanzia hapo zikabaki kero za Wazanzibar

Kero za Wazanzibar ni kupewa tu! hakuna hata siku moja wamedai kuwajibika.
Hawajui muungano unaendeshwaje lakini wanajua kugawana
Pengine ninaweza nisiwe ninaeleweka vizuri hapa, lakini maana yangu ni kwamba, Muungano si kwa manufaa ya upande mmoja tu wa Muungano. Pande zote mbili zinauhitaji Muungano; kinachokosekana ni uongozi wa kuustawisha katika hali hiyo.
Kwa hali ilivyo muungano ni kwa manufaa ya Zanzibar. Ikiwa Tanganyika imebeba muungano na imeibeba Zanzibar , umuhimu wa Zanzibar katika zama hizi upo wapi?

Sina maana ya kuvunja muungano, ninachosema hapa ni kuwa kukiwa na 'fairness'' na kuacha mbeleko , Zanzibar wawe washiriki, wasimame watembee na si kubwebwa si kudai kugawana, muungano utadumu. Waache wimbi wa kugawana waimbe kuwajibika!

Kuna tatizo Zanzibar inapopewa kipaumbele na kuacha maeneo yanayoweza kutusaidia.

Watu Milioni moja pengine sawa na Wilaya ya Ilala wanapewa kipaumbele kuliko Ilala.
Katika mchango wa maendeleo ya Taifa hili Zanzibar haipo! hakuna! haya yanawezekanaje?
Zanzibar na Tanganyika havitenganishwi tena, isipokuwa labda kwa kuingiliwa na nchi zenye nguvu zaidi kwa mabavu.
Nakhakikishia hali ikiendelea kama ilivyo, ipo siku litatokea lakutokea.

Ni kweli hatuwezi kutenganishwa kwasababu kwa mantiki zote Zanzibar inaihitaji Tanganyika iwe kiuchumi, kijamii , kisiasa n.k.

Hata siku moja hutawasikia wakisema wanataka kuvunja muungano! wanajua kwamba Zanzibar ipo katika kivuli cha Tanganyika kuanzia dunia inaumbwa! ni ukweli mtupu.
 
Siri ya mtungi aijue _____ Usikute haya hata mwanzo yalifanyika lkn kukawa na usiri.

Huu Muungano kuna haja yakurekebishwa zaidi kwa baadhi ya vipengele zaidi ni vyema kila upande ungejitegemea kwenye swala zima la mikopo kila mtu abebe msalaba wake lakini usikute mtoa mada unalalamika wakati hata hiyo Zanzibar haina mamlaka ya kukopa km nchi bila kibali cha Tanganyika.

Na usikute kuna mikopo inakuwa address kwa Zanzibar moja kwa moja lkn mtoaji kibali nani kuidhinisha hilo ni Tanganyika so unategemea nini wakati hayo yalikuwa yanafanyika nyuma sasa aliekuwepo ni Mzanzibari na moja yamambo yalikuwa yanapigiwa kelele ni haya niwakati wake kuwaliwaza WaZanzibar.
Vp mafuta na kwao yamepanda kama sisi
 
Back
Top Bottom