Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
6,687
11,164
Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni.

Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa hakuna hata moja yenye mashiko.

Ukiangalia tamaduni za nchi hizi mbili utagundua kuwa muungano ulikuwa hauwezekani kwani Zanzibar ilikuwa na tamaduni za kiislam huku Tanganyika akiwa na Tamaduni za Kikristo.

NI NINI CHANZO CHA MUUNGANO NA WAHUSIKA WAKUU NI AKINA NANI?
Chanzo Cha muunga wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ni hofu ya Marekani na Uingeteza kukosa / kupoteza ushawishi kutoka mataifa mapya yaliyojipatia uhuru kutoka kwenye makolini ya Ufaransa, Uingereza na Ubelgiji.

Hofu hii ilitanda wakati wa vita baridi na decolonization movements of Africa

Ilikuwa hivi;

Mwanzoni mwa miaka ya 60 (1960s) US na USSR walipambana sana Ili kupata ushawishi kwenye mataifa mapya yaliyojipatia uhuru kutoka Kwa Ufaransa, Ubelgiji na Uingereza; Katika harakati hizo USSR alionekana kuwa na ushsawishi mkubwa dhidi ya US na hili liligundulika wakati Patrice Lumumba alipohutubia kwenye sherehe za uhuru wa Congo.

Hotuba ya Lumumba ilionekana kuwa na mlengo wa "Sovietsantion of Congo" hivyo kuwafanya wamerekani kumuona kama tishio kwa interest za Zao; na hapo ndipo walikuja na mpango wa kumuua Lumumba.

Kifo Cha Lumumba baadae kinakuja kutumika kama silaha ya kuwafanya Nyerere na Karume kukubali mapendekezo ya kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kutoka kwa wamarekani.

ILIKUWAJE US KUTAKA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZIUNGANE?
Baada ya mapinduzi ya Zanzibar Mwaka 1964
Serikali ya Zanzibar ililuwa ikiongozwa na vyama viwili. Afro-Shiraz Party na Umma Party
chama Cha umma party kilikuwa na wafuasi wake ambao wengi walikuwa wamepatiwa mafunzo ya kijeshi Cuba na wengi wao wslikuwa wamefuga ndevu kama za Fidel Castro na walionekana kuwa na mlemgo wa kikomunisti

Kitendo cha kuwepo Kwa hao wafuasi wa Umma wakiongozwa na Okello kiliweka hofu Kwa waingereza na Wamarekani kuwa huenda ikaanzishwa "African Cuba" itakayokuwa na support ya community block kitu ambacho kingekuwa mwiba Kwa influence za US na GB Africa Mashariki.

Ili kuzuia AFRICAN CUBA isiundwe Zanzibar ndipo CIA walikuja na mpango wa kuingunisha Tanganyika na Zanzibar.

Kupata sababu za kuunganisha nchi hizi 2 walizopewa Nyerere na Karume Soma makala ya
👇
AN AFRICAN CUBA? BRITAIN & THE ZANZIBAR REVOLUTION 1964
Kiuhalisia inaonekana Nyerere & Karume hawakuwa tayari kufanya huu mungano lakini kutokana na hofu ya kupatwa na kilichompata Lumumba ilibidi wakubali kishingo upande hivyo kupelekea mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa African Cuba. kufa.

Ukweli ni kwamba wazanzibali hawakutaka huu muumgano ila sasa Karume hakuwa na jinsi (haya sio maneno yangu)

Lakini Kwa sababu The US was not about to let the People’s Republic of Zanzibar become an “African Cuba.” With Congo, Iran, Guatemala, and the Bay of Pigs ilibidi iwe hivyo.

Hivyo basi On April 26, 1964, barely three months after the revolution on Zanzibar, the Union was announced. Suddenly, all the talk of another Cuba was transformed into the “miracle” of unification, the creation of a “viable” state resistant to overt intervention. However, a lot of Zanzibaris were skeptical of the deal, not least because the islands were majority Muslim and the mainland majority Christian.

Kupata uhalisia zaidi kuhusu muumgano wa Tanganyika na Zanzibar kasome
👇
African Cuba, Comic Opera, a Miracle: The Iterability of Sovereignty in the Cold War Archive kutoka kwenye The International Journal of African Historical Studies Vol. 50, No. 3 (2017), pp. 379-408 (30 pages)
 
Lisu na genge lake waliuliza ilipo hati ya muungano wakisema haipo ,mzee Kikwete kuona hivyo akiwa nje akamtuma balozi Ombeni Sefue aliyekuwa katibu mkuu kiongozi wa wakati huo uwaoneshe wanahabari, tangu siku hiyo hiyo Chadem waliishiwa na hoja wakakimbia bunge la katiba.

USSR
 
Lisu na genge lake waliuliza ilipo hati ya muungano wakisema haipo ,mzee Kikwete kuona hivyo akiwa nje akamtuma balozi Ombeni Sefue aliyekuwa katibu mkuu kiongozi wa wakati huo uwaoneshe wanahabari,tangu siku hiyo hiyo Chadem waliishiwa na hoja wakakimbia bunge la katiba

USSR
Ile haikuwa hati, ni bosheni tu. Na Ile haikuwa Signature ya Mwalimu
 
Lisu na genge lake waliuliza ilipo hati ya muungano wakisema haipo ,mzee Kikwete kuona hivyo akiwa nje akamtuma balozi Ombeni Sefue aliyekuwa katibu mkuu kiongozi wa wakati huo uwaoneshe wanahabari,tangu siku hiyo hiyo Chadem waliishiwa na hoja wakakimbia bunge la katiba

USSR
Una uhakika waliitoa au unazungumzia Ile kopi feki ambayo sahihi ya Mwalimu na ya Pius zote zilikuwa hazifanani na sahihi halisi.

Huo mjadala na ukumbuka sana wakati unapamba moto 2014
 
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu.

1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara wanachukiwa wakienda kule, wanaitwa chogo, na katiba yao inazuia watu wa bara kumiliki ardhi. Juzi nilikuwa Dodoma, kwenda benjamin Mkapa kwenye kona ya Udom, kuna migorofa fulani hivi imejengwa, wanasema karibu na vile vijengo vya majaji, wengine wanamtaja mzanzibari fulani anamiliki hiyo migorofa. tukisema wazanzibar leo hii muungano umevunjika waondoke, wengi wataanza kuuza nyumba nyingi na ardhi kubwa wanayoimiliki. KWANINI BARA HATURUHUSIWI KUMILIKI KULE? faida yao ni nini?

2. kwenye ajira, hii ni kero, wazanzibar maelfu na maelfu wameajiriwa bara, hata kwenye mambo yasiyo ya muungano, wameajiriwa bara ambayo kiukweli ipo bara kwasababu zanzibar kuna utawala wao, lakini wabara hawaruhusiwi kabisa kuajiriwa zanzibaar, hii ni kero, inatakiwa iondolewe, ama la kila mtu abaki kwake.

3. wazanzibar wanakuwa wabunge kule kwao, na huku. akiwa mbunge kule kwao, atakula masurufu ya kule na atakuja kula masurufu ya bara kwa kodi za watu wa bara. tuambieni, yale mipesa wanaku wabunge 50 wa zanzibar wanakiula, zanzibar huwa imechangia bei gani? ni pesa za walipa kodi wa bara. na hao hao wakifika huku wakishiba, wanasenma twende kule kwa passport, kwa msiojua, kile ameongea yule mbunge wa zanzibar kwamba wabara twende kwa passport kwao ndicho kilichopo kwenye mioyo ya wazanzibari wote hata wenye mamlaka huku na hata walioajiriwa huku na hata wanaomiliki ardhi huku, amesema kilichopo kwenye mioyo ya wengi. wala hatakiwi kulaumiwa. kwa waliofika zanzibar wanajua kuwa hicho ndio huwa matamanio yao.

4. mzanzibar anaweza kuwa Mkuu wa wilaya, mkoa, na waziri bara, ila sisi kule marufuku. kwanini?

nimeongea hayo kwa uchache tu, lakini ukweli mwingi hata wanaopinga wanaujua, kama tunataka muungano uwepo, ondoeni kero hizi kwa watu wa bara, ama la, kila mtu achukue hamsini zake kwasababu hakuna kitu wabara wanafaidika nacho as of now. na hawajawahi kufaidika. watu wasioelewa watasema huu ni uchochezi, ila jibuni kwa hoja kama mnazo.
 
Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni.

Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa hakuna hata moja yenye mashiko.

Ukiangalia tamaduni za nchi hizi mbili utagundua kuwa muungano ulikuwa hauwezekani kwani Zanzibar ilikuwa na tamaduni za kiislam huku Tanganyika akiwa na Tamaduni za Kikristo.

NI NINI CHANZO CHA MUUNGANO NA WAHUSIKA WAKUU NI AKINA NANI?
Chanzo Cha muunga wa Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ni hofu ya Marekani na Uingeteza kukosa / kupoteza ushawishi kutoka mataifa mapya yaliyojipatia uhuru kutoka kwenye makolini ya Ufaransa, Uingereza na Ubelgiji.

Hofu hii ilitanda wakati wa vita baridi na decolonization movements of Africa

Ilikuwa hivi;

Mwanzoni mwa miaka ya 60 (1960s) US na USSR walipambana sana Ili kupata ushawishi kwenye mataifa mapya yaliyojipatia uhuru kutoka Kwa Ufaransa, Ubelgiji na Uingereza; Katika harakati hizo USSR alionekana kuwa na ushsawishi mkubwa dhidi ya US na hili liligundulika wakati Patrice Lumumba alipohutubia kwenye sherehe za uhuru wa Congo.

Hotuba ya Lumumba ilionekana kuwa na mlengo wa "Sovietsantion of Congo" hivyo kuwafanya wamerekani kumuona kama tishio kwa interest za Zao; na hapo ndipo walikuja na mpango wa kumuua Lumumba.

Kifo Cha Lumumba baadae kinakuja kutumika kama silaha ya kuwafanya Nyerere na Karume kukubali mapendekezo ya kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kutoka kwa wamarekani.

ILIKUWAJE US KUTAKA TANGANYIKA NA ZANZIBAR ZIUNGANE?
Baada ya mapinduzi ya Zanzibar Mwaka 1964
Serikali ya Zanzibar ililuwa ikiongozwa na vyama viwili. Afro-Shiraz Party na Umma Party
chama Cha umma party kilikuwa na wafuasi wake ambao wengi walikuwa wamepatiwa mafunzo ya kijeshi Cuba na wengi wao wslikuwa wamefuga ndevu kama za Fidel Castro na walionekana kuwa na mlemgo wa kikomunisti

Kitendo cha kuwepo Kwa hao wafuasi wa Umma wakiongozwa na Okello kiliweka hofu Kwa waingereza na Wamarekani kuwa huenda ikaanzishwa "African Cuba" itakayokuwa na support ya community block kitu ambacho kingekuwa mwiba Kwa influence za US na GB Africa Mashariki.

Ili kuzuia AFRICAN CUBA isiundwe Zanzibar ndipo CIA walikuja na mpango wa kuingunisha Tanganyika na Zanzibar.

Kupata sababu za kuunganisha nchi hizi 2 walizopewa Nyerere na Karume Soma makala ya
👇
AN AFRICAN CUBA? BRITAIN & THE ZANZIBAR REVOLUTION 1964
Kiuhalisia inaonekana Nyerere & Karume hawakuwa tayari kufanya huu mungano lakini kutokana na hofu ya kupatwa na kilichompata Lumumba ilibidi wakubali kishingo upande hivyo kupelekea mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa African Cuba. kufa.

Ukweli ni kwamba wazanzibali hawakutaka huu muumgano ila sasa Karume hakuwa na jinsi (haya sio maneno yangu)

Lakini Kwa sababu The US was not about to let the People’s Republic of Zanzibar become an “African Cuba.” With Congo, Iran, Guatemala, and the Bay of Pigs ilibidi iwe hivyo.

Hivyo basi On April 26, 1964, barely three months after the revolution on Zanzibar, the Union was announced. Suddenly, all the talk of another Cuba was transformed into the “miracle” of unification, the creation of a “viable” state resistant to overt intervention. However, a lot of Zanzibaris were skeptical of the deal, not least because the islands were majority Muslim and the mainland majority Christian.

Kupata uhalisia zaidi kuhusu muumgano wa Tanganyika na Zanzibar kasome
👇
African Cuba, Comic Opera, a Miracle: The Iterability of Sovereignty in the Cold War Archive kutoka kwenye The International Journal of African Historical Studies Vol. 50, No. 3 (2017), pp. 379-408 (30 pages)
Communist bloc na si community block.John Okello hakuwa mwanachama wa Umma party.Umma party ni chama cha Mohamed Abdulrahman Babu na wenzake akina All Sutan
 
Leo Ryoba Wa TBC Kakusanya Kuosha Muungano Eti Mzuri
Cheyo Momose Akapiga Mshono Anasema Tanganyika Iko Wapi
Serikali Na CCM Wameshikwa Pabaya
 
Tanganyika was under British protectorate kwa vyovyote vile kila kitu kilikua influenced by her majesty the Queen government, hatukujua chochote kuhusu government organisation, no wonder viongozi wengi walikua wakienda ulaya kupigwa msasa, hata huu muungano ni wao waliamua uwepo,
 
Attachments

  • main-qimg-dabc033474ff9b6225c1805d60d0b953.png
    main-qimg-dabc033474ff9b6225c1805d60d0b953.png
    4.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom