Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

duuh,isitokee aisee,maana demu wangu itabidi kumfuata hadi niwe na passport..
 
Nadhani muungano wetu umedumu hivi ni kwa sababu ya historia yetu, sio kwamba Wazanzibari hawaioni Exit button.

Uvamizi Umedumu Kwa sababu ya bunduki ,mizinga , vitisho na ukamatwaji wa watu na kuwatesa baadaye kuwapeleka Tanganyika kuwabambikizia kesi za kigaidi
 
Muungano hauvunjiki yakheeeeee! Itakayovunjika ni ndoa ya wewe na mkeo tu
Nalog off

Huu si muungano ni uvamizi uliopewa jina la Muungano. Tanganyka chini ya Laanatullahi Nyerere iliivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte Mpemba aliyechaguliwa na wananchi pamoja na mawaziri wake na kuwafunga katika magereza yaTanganyika kabla hata huo uitwao Muungano haujafikiriwa
 
Swaumu kweli bado ipo?!!
Kwani haya mabaguzi si yamefunga haya....mpemba sio mtu asilani tembelea pemba ukitokea bara ujionee mwenyewe yanavyoishi kibaguzi baguzi tu, hata kigamboni mapemba mengi tu nenda kule uyaone yanavyoishi utafikiri yako Saudi, ubaguzi tu ulowajaa yanajiona maarabu kumbe mama zao ni wanyamwezi walobakwa na waarabu ndo yakapatikana yenyewe... hayafai hata kulumangia...nikipewa nchi hata wiki wanaisha wote.
 
Hizi chuki zikiendelezwa na bila ya kuuboresha na kuondoa kero zake unaweza usichukue raudi.
 
Kwani haya mabaguzi si yamefunga haya....mpemba sio mtu asilani tembelea pemba ukitokea bara ujionee mwenyewe yanavyoishi kibaguzi baguzi tu, hata kigamboni mapemba mengi tu nenda kule uyaone yanavyoishi utafikiri yako Saudi, ubaguzi tu ulowajaa yanajiona maarabu kumbe mama zao ni wanyamwezi walobakwa na waarabu ndo yakapatikana yenyewe... hayafai hata kulumangia...nikipewa nchi hata wiki wanaisha wote.
Hata kituo cha taxi buguruni nenda mtg uweke taxi pale uone vitimbi vyao...
 
Hatulii na misaada, tunalia Zanzibar tu, tunataka Zanzibar irudishiwe mamlaka yake, wewe yanakuhusu na Nini misaada? Sisi sio masikini kama nyinyi, rasilmali hizi hizi za kuvua samaki na karafuu zina tosha kuendesha Zanzibar.

Hizo hoja zenu zisizo kuwa na mashiko kwa nini mnalalamika nyie I hali njaa yetu sisi, mnafaidika kwa Muungano hakuna jengine, imefika wakati Zanzibar kuwa huru, tumechoka maigizo
Mmeshindwa kuongea haya Bungeni (kupitia wawakilishi wenu) mnakuja kutupigia kelele JF!!!
 
My 2 cents on the union of Tanganyika and Zanzibar.

1. Muungano ni batili kwa kuwa umeunganishwa bila idhini ya Watanganyika na Wazanzibari bali na Madikteta wawili.

2. Ifanywe referendum. Ili Watanzania waamue kidemokrasia kama wanataka muungano au la.

3. Post- Referendum. Kama tutaacha kuungana, wananchi wapewe haki ya kukaa sehemu wanayotaka na kupewa uraia wa nchi waliyokaa kama walivyofanya Czech Republic na Slovakia walivyotengana.

4. Viongozi wa upande wote mbili wanaweza kukaa na kufanya maamuzi katika mambo ya madeni na issue ya viza na kadhalika. Haitakuwa mara ya kwanza duniani.

5. Nchi kuwa kisiwa kidogo hakimaanishi kuwa hakiwezi kujilisha na kujilinda chenyewe. Kuna nchi kisiwa kama Nauru na Maldives ina watu wachache kama Zanzibar.

6. Utalii peke yake unaweza kuilisha Zanzibar. Tatizo lipo kwenye makodi ya hovyo katika uchumi na marketing strategy.
Kisiwa cha Maldives kinajilisha na kujilinda kwa uchumi wa Utalii kwa asilimia 60 na kuzalisha dola bilioni 3.5 kwa mwaka.

7. Nchi kubwa haimaanishi inaweza kujilisha yenyewe. Bajeti ya bara bado unategemea misaada ya nje kwa zaidi ya asilimia 50 kuendesha nchi.

8. Napinga kutengana, lakini nataka kuona muungano wa kidemokrasia sio wa kimabavu.

9. Maamuzi ya wananchi lazima yaheshimike kama tutajiita nchi ya kidemokrasia. Sio kwa maneno bali kwa vitendo. Moja ya vitendo hivyo ni kuonyesha dunia kuwa kweli muungano wetu umebarikiwa na wananchi wa bara na visiwani
 
Back
Top Bottom