Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

Ukiacha hao wabunge na waliogaiwa uwaziri hao ndio wanaoutaka muungano, sasa kama hesabu zako zitakuwa sawa sijui ni wapi wengi kati ya wanaoutaka na walokua hawautaki.
Hao wabunge wamechaguliwa na nani na wanamuwakilisha nani?
 
Nyie zanzibar mlijichanganya mlipokubali muungano....
Sasa hivi hatuwaachii hata kwa dawa labda mvunje mkataba kwa lazima ambapo itabidi mtulipe pesa ya usumbufu na shambulio la moyo la kututenganisha na ndugu zetu wapenzi wazanzibari...

Kwa ufupi hamchomoki mlishakuwa ndugu zetu na sisi tunawapenda kwa moyo woooote
 
Mngeanza kuwa kitu kimoja kati ya Unguja na Pemba ndio mngepata nguvu za kudai kujitenga.
Kwa jinsi mnavyobaguana ni kazi bure kabisa kwani mtavurugana kwenye mgao wa madaraka kati ya Pemba na Unguja.
Ukiwasikikiza watu wa Zanzibar kuhusu madai ya kuminywa kwenye muungano na faida watakazo zipata wakijitenga utashangaa, hakuna hoja ya maana zaidi ya misaada kutoka nchi nyingine hasa za kiarabu.
Kwenye michezo Zanzibar timu zao zinashiriki baadhi ya michezo mikubwa ya Afrika kama Club bingwa lakini matokeo tunayaona.
Wazanzibar hawawapendi wabara lakini wanapapenda bara ndio maana wamejazana bara bila kubughudhiwa na mtu. Wazanzibar wamejazana kwenye nchi nyingine duniani wakijiita wakimbizi na wamekubaliwa kuishi huko kama wakimbizi ila jaribu kwenda kuomba hifadhi huko uone watakavyolalamika.
 
Zanzibar inaendelea bila ya misaada, tanganyika nchi kubwa inaendeshwa kwa misaada kwa zaidi ya asilimia 50 ya budget, itakuwa dhambi kwa sisi? Shame on you
 
wanaodai uhuru au kuvunja muungano hawajui! lifespan ya visiwa hivyo ni 50 years. hata wanao invest dar hali ni hiyo hiyo. barafu inayeyuka, maji yanapanda.
 
Zanzibar inaendelea bila ya misaada, tanganyika nchi kubwa inaendeshwa kwa misaada kwa zaidi ya asilimia 50 ya budget, itakuwa dhambi kwa sisi? Shame on you
Kwahiyo hicho ndio mnalilia? Kwani mmekatazwa kukopa sasa hivi au ni kujisahaulisha tu? Mngekuwa na vigezo vya maana mngepewa tu ila hamuonekani kuwa na vigezo vya maaana na ndio maana misaada mikubwa mnayoweza kupewa ni misikiti, mazulia, kanzu na tende zaidi ya hapo hawaoni kama mnahitaji kitu kingine.
 
Hatulii na misaada, tunalia Zanzibar tu, tunataka Zanzibar irudishiwe mamlaka yake, wewe yanakuhusu na Nini misaada? Sisi sio masikini kama nyinyi, rasilmali hizi hizi za kuvua samaki na karafuu zina tosha kuendesha Zanzibar.

Hizo hoja zenu zisizo kuwa na mashiko kwa nini mnalalamika nyie I hali njaa yetu sisi, mnafaidika kwa Muungano hakuna jengine, imefika wakati Zanzibar kuwa huru, tumechoka maigizo
 
Wapemba na waunguja wooteeeeeeee warudi kwao. hili nalo mlitambue sio mnangngana na muungano uvunjike tu. Wallah hadi makaburi ya ndugu zenu mliowazika bara mtayabeba mgongoni.

Wale watu wasiojulikana walioko kila uchochoro huku Zanzibar unafikiri wataenda wapi ??
 
Hatulii na misaada, tunalia Zanzibar tu, tunataka Zanzibar irudishiwe mamlaka yake, wewe yanakuhusu na Nini misaada? Sisi sio masikini kama nyinyi, rasilmali hizi hizi za kuvua samaki na karafuu zina tosha kuendesha Zanzibar.

Hizo hoja zenu zisizo kuwa na mashiko kwa nini mnalalamika nyie I hali njaa yetu sisi, mnafaidika kwa Muungano hakuna jengine, imefika wakati Zanzibar kuwa huru, tumechoka maigizo
Nani amewashika mkono kujitenga? Sio nyingi mnaokuja Dodoma mkipingana wenyewe? Nishasema siku mtakapoungana kati ya mpemba na muunguja mtajitenga asubuhi na mapema.
Kinachowasumbua ni ule ubaguzi kati ya mjukuu wa Sultani na Mshirazi.
Hakuna mwananchi yoyote wa bara anauhitaji muungano kuliko nyinyi mnavyouhitaji, mtu wa bara ananufaika nini na Zanzibar wakati kila anachokitaka kipo bara kwa wingi wake? Hakuna cha kuwekeza huko sasa kipi mtu wa bara atasikitika mkijitenga?
Msipige kelele tengueni muungano hata kesho, mna wawakilishi wenu mliowachagua wenyewe sasa shida iko wapi kama mnajiweza.
 
Karume aliposema koti likikubana unalivua akauliwa..Jumbe akafungiwa miaka yote Mjimwema...Maalim Seif akawekwa kizuizini....Wahenga tunataka kujua kuna siri gani Zanzibar mpaka Tanganyika wako tayari kupeleka jeshi kuwatishia...

Siri iliyopo ni hii hapa msikilize ustadhi anasoma vitabu vya kanisa katoliki

Nani amewashika mkono kujitenga? Sio nyingi mnaokuja Dodoma mkipingana wenyewe? Nishasema siku mtakapoungana kati ya mpemba na muunguja mtajitenga asubuhi na mapema.
Kinachowasumbua ni ule ubaguzi kati ya mjukuu wa Sultani na Mshirazi.
Hakuna mwananchi yoyote wa bara anauhitaji muungano kuliko nyinyi mnavyouhitaji, mtu wa bara ananufaika nini na Zanzibar wakati kila anachokitaka kipo bara kwa wingi wake? Hakuna cha kuwekeza huko sasa kipi mtu wa bara atasikitika mkijitenga?
Msipige kelele tengueni muungano hata kesho, mna wawakilishi wenu mliowachagua wenyewe sasa shida iko wapi kama mnajiweza.

Nani amewashika mkono kujitenga? Sio nyingi mnaokuja Dodoma mkipingana wenyewe? Nishasema siku mtakapoungana kati ya mpemba na muunguja mtajitenga asubuhi na mapema.
Kinachowasumbua ni ule ubaguzi kati ya mjukuu wa Sultani na Mshirazi.
Hakuna mwananchi yoyote wa bara anauhitaji muungano kuliko nyinyi mnavyouhitaji, mtu wa bara ananufaika nini na Zanzibar wakati kila anachokitaka kipo bara kwa wingi wake? Hakuna cha kuwekeza huko sasa kipi mtu wa bara atasikitika mkijitenga?
Msipige kelele tengueni muungano hata kesho, mna wawakilishi wenu mliowachagua wenyewe sasa shida iko wapi kama mnajiweza.

Disemba 1993

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
 
Back
Top Bottom