inawezekana watu wa Kagera na Kigoma wakawa jamuhuri kabla ya zanzibar.kwa niliyo yaona kwenye binge LA Katiba, sidhani kama Zanzibar wana ubavu wa kujiondoa kwenye muunganoZanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake na kuwa member wa East Africa community
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard
Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania.
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
InshaAllah
Hata kama Maalim Seif akifanya kampeni ya kubaki kwenye serikali tatu hawezi kufikisha 51%?!Asilimia 80 watakataa Muungano hio bila ya kujali kabisa.
Kuna watu walishawahi kusema mpemba hawezi kuwa raisi pia walisema mtu mweusi hawezi kutawala USA kwa hiyo mungu ndie ajuaye.inawezekana watu wa Kagera na Kigoma wakawa jamuhuri kabla ya zanzibar.kwa niliyo yaona kwenye binge LA Katiba, sidhani kama Zanzibar wana ubavu wa kujiondoa kwenye muungano
Wenzetu wanaungana kwa manufaa. Muungano Tanganyika na Znz hauna manufaa yoyote kwa wananchi isipokuwa kwa maslahi ya viongozi!.Wenzenu wanazidi kuungana nyie mnafikiria kutengana!! Badala ya kufikiri ni vipi tunaweza kwenda hatua kubwa zaidi katika umoja wa EA tunafikiria kuadd member mwingine Zanzibar!
Hakuna kinachozuia Zanzibar kuendelea ambacho kinakwamishwa na muungano, achilia mbali fikra za jumuiya za misaada.
Nchi inajengwa kupitia rasilimali zake. Leo mafuta yakipatikana Zanzibar yatabaki kuwa ya Zanzibar na hakuna la kubadili hilo. Umoja wetu ndio nguvu yetu, msidanganywe!
Sio rahisi labda AZANIA ambayo ndio jina letu la enzi na enzi.Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania
Muungano ufe hata leo usiku kwani mwenye kupata hasara ni Zanzibar, kumbuka Tanzania bara ( Tanganyika) ndiyo anaifuga, kuilea kuilisha Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuilinda kwa gharama kubwa.Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world
Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake na kuwa member wa East Africa community
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard
Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.
Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania.
Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.
Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.
InshaAllah
Inawezekana wenzetu FIFA ikawa na umuhimu zaidi.Muungano ufe hata leo usiku kwani mwenye kupata hasara ni Zanzibar, kumbuka Tanzania bara ( Tanganyika) ndiyo anaifuga, kuilea kuilisha Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuilinda kwa gharama kubwa.
Zanzibar ndiyo hufaidi Muungano kwani Zanzibar imerundika utitiri wa wabunge kwenye kaeneo kadogo huku ikiwa na serikali yake, bendera yake, wimbo wake wa Taifa kwa gharama ya pesa toka Hazina Tanganyika, yaani gharama ya kuvitunza kuvinyonyosha visiwa viwili ni kubwa, na siku Muungano ukifa hakika Tanganyika itakuwa Nchi tajiri kuliko South Africa, pesa ya kuilinda kuitunza kugharamia Zanzibar ikisalia Tanganyika kwa kweli Tanganyika itakuwa Nchi ya Neema.Wenzetu wanaungana kwa manufaa. Muungano Tanganyika na Znz hauna manufaa yoyote kwa wananchi isipokuwa kwa maslahi ya viongozi!.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Umesahau kuwa baada ya mwaka mmoja hakutakuwa na zanzibar tena, kutakuwa na nch ya pemba na nchi ya unguja, sijui ndo mtajiita zanzibar. Mtashindwa hata kujilipa mishahara sembuse kuendesha jeshi. Wazanzibr watafurika visiwan hasa wale watakaofukuzwa bara. Sielewi kama mnajua idadi yenu kamili ukijumlisha na hawa walioko bara.
Kweni wakati wa muungano kulikuwa na huo mgawanyiko?!!Na Tanganyika kutagawika nchi nyingi, kigoma,mtwara, arusha,kilwa,hawa ukivunjika watadai nchi zao.
Zanzibar ndiyo hufaidi Muungano kwani Zanzibar imerundika utitiri wa wabunge kwenye kaeneo kadogo huku ikiwa na serikali yake, bendera yake, wimbo wake wa Taifa kwa gharama ya pesa toka Hazina Tanganyika, yaani gharama ya kuvitunza kuvinyonyosha visiwa viwili ni kubwa, na siku Muungano ukifa hakika Tanganyika itakuwa Nchi tajiri kuliko South Africa, pesa ya kuilinda kuitunza kugharamia Zanzibar ikisalia Tanganyika kwa kweli Tanganyika itakuwa Nchi ya Neema.
Muungano ufe hata leo usiku kwani mwenye kupata hasara ni Zanzibar, kumbuka Tanzania bara ( Tanganyika) ndiyo anaifuga, kuilea kuilisha Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuilinda kwa gharama kubwa.
Kweni wakati wa muungano kulikuwa na huo mgawanyiko?!!
Hizo hazipo na hawajawah kudai. Nyie jaribun kujitenga muone moto wake. Kwa sbb mna serikali yenu sijui hata mlichoshindwa kufanya ni nn. Au mnadhan mkiwa nje ya muungano ndo mtapata misaada zaid. Mawazo yenu ni misaada tu.Na Tanganyika kutagawika nchi nyingi, kigoma,mtwara, arusha,kilwa,hawa ukivunjika watadai nchi zao.
Nchi za Rwanda Urundi ndio zimetumega sisi Dutch Ostafrika.Iyo mikoa mingine n nyerere alizimega kutoka nchi jirani, kilwa ilikua na pesa yake kabisa. Historia zinafichwa.
Hizo hazipo na hawajawah kudai. Nyie jaribun kujitenga muone moto wake. Kwa sbb mna serikali yenu sijui hata mlichoshindwa kufanya ni nn. Au mnadhan mkiwa nje ya muungano ndo mtapata misaada zaid. Mawazo yenu ni misaada tu.
Unajifany hujui au unajisahaulisha kuwa Zanzibar pia ipo TRA ambayo inakushanya kodi na kuzipeleka uko bara na ndio hulipwa hao wabunge na sio kwamba iyo mishahara na posho za wabunge wa Zanzibar zinatoka uko TanganyikaZanzibar ndiyo hufaidi Muungano kwani Zanzibar imerundika utitiri wa wabunge kwenye kaeneo kadogo huku ikiwa na serikali yake, bendera yake, wimbo wake wa Taifa kwa gharama ya pesa toka Hazina Tanganyika, yaani gharama ya kuvitunza kuvinyonyosha visiwa viwili ni kubwa, na siku Muungano ukifa hakika Tanganyika itakuwa Nchi tajiri kuliko South Africa, pesa ya kuilinda kuitunza kugharamia Zanzibar ikisalia Tanganyika kwa kweli Tanganyika itakuwa Nchi ya Neema.