Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

Mashekhe hawatoa fatwa kwenye hizo bikini?! au mtatunga sheria ya watalii wa kike wavae jilbabu?!!

Kwani kuvaa bikini ndio utalii ??? Mbona hata Uturuki wameanzisha sehemu za utalii wa kiislamu ambazo hakuna hayo mambo ??
 
Zanzibar kuwa full membership united nation
Zanzibar kuwa na mabalozi wake all over the world

Zanzibar kuwa member wa Fifa
Zanzibar kuwa member wa Caf
Zanzibar kuwa member wa OIC
Zanzibar kuwa na passport yake
Zanzibar kuwa member wa East Africa community(EAC)
Zanzibar kuwa na nyanja nzuri za kiuchumi, kimataifa na kitaifa bila ya vikwazo.
Zanzibar kuwa na sarafu yake.
Zanzibar kuwa na wizara yake ya elimu,
Zanzibar kuwa na wizara ya Anga
Zanzibar kuwa na bank kuu.
Zanzibar kuwa na jeshi lake coast guard
Zanzibar kuwa na jeshi la polisi lake
Zanzibar kuwa na usalama wa taifa
Zanzibar kuwa free port, kama dubai.
Zanzibar kuwa member wa AU

Wizara hizi zote zina ajira zaidi ya 10,000 ni faida kwa wazanzibari.

Kwa upande wa Tanganyika, nahisi kuwa watatumia jina la Tanzania .

Watatumia influence ile ile ya Jamuhuri ya Muungano na Jamuhuri ya Tanzania au tanganyika, ni kubadili kidogo tu.

Siwezi kusubiri case ya Muungano kuja kusikilizwa huku Zanzibar, kwa maana nina kila sababu ya kuunga mkono, faida ni nyingi kwa Wazanzibar kuliko hasara.

InshaAllah
Hivi visiwa vya Comoro Hawana hivi vitu vyote ulivyotaja? Je wana maendeleo na ustawi kuishinda Zenjibari? Kama JIBU ni ndio basi tujitoe kwenye huu muungano, kama jibu Hapana basi Tubakie humuhumu na muungano wetu na watani zetu wanyamwezi, wandengereko na wamakonde.
KERO NA MAPUNGUFU NDIO UBINADAMU, MKAMILIFU ALLAH PEKEE YAKE, TUZUNGUMZE NA WATANI WETU TUWEKE MAMBO SAWA, BADO TUNAWAHITAJI WAMACHINGA MITAANI ZENJ NA WAKILIMA NA WAFUGAJI WA KISUKUMA, PIA HATA WAO JUISI ZA UKWAJI NA SUPU ZA PWEZA ZA WAPEMBA BADO WANAZITAKA.
UDUMU MUUNGANO WETU MILELE AMIIN
 
Tubakie tukamatwe usiku na watu wasiojulikana na kupelekwa Tanganyika kuteswa na kubambikiziwa kesi za kigaidi ???

Comoro si Zanzibar ,

kama hujawahi kufika soma jiografia vizuri na historia utaelewa , yaani unajifanya ni mzanzibari ukubali utumwa kuliko Wattani wako , umeona wapi hayo mambo ??
 
Mashekhe hawatoa fatwa kwenye hizo bikini?! au mtatunga sheria ya watalii wa kike wavae jilbabu?!!
Bikini zipo katika nchi nyingi tu za Kiislam.
Nenda Dubai, Uturuki na hata Oman utawakuta watalii wa kike na bikini zao baharini.

Na Zanzibar hata leo watalii wapo huru, wanavaa bikini zao.

Kwa vyoyote, hayo ni maamuzi ya wananchi wa Zanzibar.

Hatuwezi kuongelea mbali kwa vyovote kwa kuwa Zanzibar haifuati Sharia Law.
Na hata wakiamua kufuata, ni haki yao.
 
Tubakie tukamatwe usiku na watu wasiojulikana na kupelekwa Tanganyika kuteswa na kubambikiziwa kesi za kigaidi ???

Comoro si Zanzibar ,

kama hujawahi kufika soma jiografia vizuri na historia utaelewa , yaani unajifanya ni mzanzibari ukubali utumwa kuliko Wattani wako , umeona wapi hayo mambo ??
Utumwa hakuna Zenjibari ulikomeshwa kitambo na utwana tuliumaliza kwa mapinduzi ya 1964, yaliyopo sasa yanazungumzika, tukae na ndugu zetu na watani wetu tuyajenge.
WAO WANATUHITAJI NASI PIA HALIKADHALIKA.
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU, UDUMU MUUNGANO WETU.
 
Wanzanzibari waache kujidanganya wanaotaka Muungano huu ufe ni wale choka mbaya tu, ila wasomi wote wanataka uendelee

Kwa taarifa yenu huku bara kuna wanzanzibari wengi mno wameajiriwa wakati serikali yenu haiajiri watu kutoka bara

Huku bara kuna wenzenu wenigi wenye ardhi kubwa wakati kwenu hamruhusu hilo la kumiliki ardhi

Huku bara kuna wenzenu wengi wameoa wanawake wetu ila huko kwenu kuoa ni SHIDA udini umewajaaa(huku kuna familia baba muislam, mama mkristo na wanaishi vizur)

Mnadanganywa mtakua DUBAI/HON-KONG achane akili za kijinga hizo, hamna ardhi ya kua hayo majiji nyie
 
Sisi pia hatupendi kuwaona ndugu zetu mkijitenga,ni vizuri tukauboresha muungano.
Katika ndoa, bibi harusi akilazimishwa kuolewa na baba yake, ndoa huwa haina raha na inakwenda kinyume na sheria ya dini.

Lakini, bibi harusi akiolewa kwa ridhaa yake, ndoa huwa ya raha kwa kuwa imebarikiwa na ni ya hiari.

Kuboresha ndoa haiwezekani kama bibi harusi hajaolewa kwa hiari yake.

Ndoa hii itaishia kwenye mchepuko tu.
Umenipata?
 
Kama ndoa ikishajaaliwa watoto hakuna jinsi ni kuiboresha tu.
Watoto hawamfanyi bibi harusi aishi kwa furaha. Ndoa kama hizi mara nyingi zinavunjika huko mbele au ugomvi huwa hauishi nyumbani.

Hamna kitu kibaya kama kuishi na mtu usiyempenda katika ndoa. Haiboresheki. Ni talaka tu mwisho wa siku.
 
BgK5iOWTRDbMfvvhserR_IMG_6491.jpg

Aau bado ana mapenzi na mshikaji wake wa zamani?!
 
Muungano hauwezi kuvunjika kwa maana ka eneo ka Zanzibar ni kadogo hakatoshi kuwabeba wa Zanzibar waliopo huku Tanganyika
Mkuu, kuna teknolojia siku hizi za kuzidisha ardhi ya nchi yako. Maldives na Bangladesh wanatumia hii kupanua nchi zao. (Google land- reclamation projects)

Unaweza pia kuchimba chini na kufanya mji mwingine. Japan kuna undergound downtown nyingi tu.

Ni elimu na pesa yako tu.

Nakuwekea picha za teknolojia inayotumika kupanua ardhi Maldives na Bangladesh, na kisiwa cha Sendosa cha Singapore na Odaiba cha Japan vilivyojengwa juu ya ardhi mpya.

China pia kachukua kisiwa kidogo katikati ya South China Sea na kukipanua na kujenga uwanja wa ndege za kijeshi kutua.

Mwisho miji ya chini kwa chini ya Kijapani yenye treni za chini kwa chini.

8054302.jpg
maxresdefault.jpg
johnson_south_reef_epa.jpg
images.jpg
images-1.jpg
tenjin.jpg
tenjing%20underground%20shopping%20center.jpg
 
Sudani kusini waliambiwa wao ni wakristo wajitenge na hao tunaoambiwa siku zote humu JF kuwa ni waarabu yaani waislamu.

Wakristo wenzao wakawaacha mkono kwani hao wazungu ukristo huutumia kunyonya nchi masikini tu , hawana cha Yesu na hivyo vita kwao ni muhimu kwani pesa yote ya mafuta wanaitumia kununulia silaha za kuuwana wenyewe kwa wenyewe
na mkristo mwenzao ndio kajipatia soko

Zanzibar imevamiwa na Tanganyika tokea 1964 ,

Mbona Idi Amin alipoivamia Tanganyika hamkumuachia Kagera tu ???

Zanzibar imevamiwa nchi yote na kuibiwa rasilimali zake zote
jiulize zaidi rasilimali gani zinazoibiwa na tanganyika kutoka zenji? wakati wenye nguvu wakiungana nyie viinchi maskini viongozi wenu wanafikiria kupata heshima za kiongozi mkuu na hapo ndipo wazo lakujitenga linapoanzia kesho akitishiwa kuwa makamu wake anataka kumpindua ndiyo shida ya sudani inapokuja hakuna ukristo au uislamu hapo.
 
Hapo ndio pa kujiuliza iikwa nyinyi wenyewe hamjiwezi inakuwaje kuwasaidia masikini tena vijinchi vinavyoingia zaidi ya mara elfu 10 Tanganyika???

Sudani ilikuwa kila siku waislamu waarabu wanawafanya watumwa watu wa kusini hata humu JF ilikuwa ndio hatupumui

Sasa wakristo wamepewa hiyo nchi , unaona mwenyewe matumnda ya ukristo
 
Back
Top Bottom