Muungano ukivunjika

Muungano ukivunjika

Hiyo fungua wewe kwenye vitabu vya kanisa lako

lakini Bukhari 2442 ni hii

QuranX.com The most complete Quran / Hadith / Tafsir collection available!

mdoli tumeutengeneza wenyewe hautusumbui
5changequotes.jpg
 
mdoli tumeutengeneza wenyewe hautusumbui View attachment 799479

UMESEMA KWELI KWA MARA YAKWANZA KWANI USHAHIDI NI HUU HAPA

Asili ya imani ya mungu-mtu na desturi zake

Kulingana na mafundisho ya Biblia tukufu, asili ya imani ya mungu-mtu imetokana na watu wa mataifa, yaani wapagani ambao wengi wao ndio ambao hawakubahatika kufikiwa na ujumbe wa Mungu-Yehova kupitia msururu wa Manabii wake ambao kwa idadi kubwa aliwatuma kwa wana wa Israeli.

Kwa hali hiyo, ni wazi kuwa watu hawa (wa mataifa au wapagani) walikuwa mbali kabisa na Mungu-Yehova kwa kutomjua na kwa hiyo wakaangukia katika imani potofu ya kuamini miungu bandia yenye desturi za kujigeuza kuwa mfano wa wanadamu.

Uthibitisho wa hayo tunaupata katika maandiko ya Biblia tukufu yafuatayo:

"Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, dhaifu wa miguu, kiwete tangu tumboni mwa mamake, ambaye hajaenda kabisa. Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena, ambaye akamkazia macho na kuona kuwa ana imani ya kuponywa, akasema kwa sauti kuu, simama kwa miguu yako sawa sawa. Akasimama upesi akaenda. Na makutano walipoona aliyoyafanya Paulo wakapaza sauti zao, wakisema kwa Kilikaonia, miungu wametushukia kwa mifano ya wanadamu. Wakamwita Barnaba, Zeu na Paulo, Herme, kwa sababu ndiye aliyekuwa mnenaji. Kuhani wa Zeu ambaye hekalu lake lilikuwa mbele ya mji, akaleta ng'ombe na taji za maua hata malangoni, akitaka kutoa dhabihu pamoja na makutano". (Matendo ya Mitume 14:8-13)

Tunachoelezwa na maandiko hayo ya Biblia Tukufu hapo juu ni kwamba, Bwana Paulo na mwenzie Barnaba walipofika Listra (huko kwa watu wa mataifa au wapagani) waliwakuta wenyeji wa huko tayari walikuwa na dini yao yenye miungu iliyokuwa na tabia ya kujigeuza kuwa wanadamu. Miungu hiyo ambayo tayari ilikuwa na majina yao kama hayo ya Zeu na Herme, walikuta pia tayari imewekewa taratibu za dini, ikiwemo hiyo ya kuwa na mahekalu.

Aidha, waliikuta dini yao hiyo tayari imewekewa pia utaratibu wake wa ibada wanazoifanyia miungu yao hiyo; kama hiyo ya kuitolea miungu hiyo dhabihu kwa kuichinjia wanyama na kadhalika.

Maelezo hayo ya Biblia vile vile yanaonyesha pia kuwa kwa kuathiriwa na imani yao hiyo ya miungu-watu, watu hao (wa mataifa au wapagani) walipokuwa wakimwona mtu afanyaye maajabu, basi humwita mtu huyo kuwa ni mungu kwa majina ya miungu yao hiyo (akina Zeu na Herme) kama walivyowaita hapo kina Paulo na mwenzie Barnaba kwa kuona jinsi walivyomfanyia maajabu kiwete. Kwa kuwa waliamini kuwa miungu yao ndio ifanyayo hivyo.

Kwa ujumla basi, hiyo ndiyo hali halisi aliyoikuta Bwana Paulo na mwenzie Barnaba kwa watu wa mataifa yaani wapagani.

Kwa shuhuda hiyo ya Biblia, tunaona wazi kuwa asili ya imani ya mungu-mtu mwenye desturi ya kujigeuza mwanadamu inatokana na watu wa mataifa, yaani wapagani.
 
Huu hapa mdolo
The life of muhammad.jpg
Exploding Head Allah_01.gif
jesuit-oath.jpg
 
Hizi habari za yesu zinahusu nini na hii mada?
 
Back
Top Bottom