Hii katiba si ya Kikwete leo yupo kesho ataondoka you never know rais ajaye kama na yeye akiamua kujilimbikizia madaraka hata yeye Kikwete anaweza asisalimike.Huu ni ujinga mtupu..........yaani raisi ndio anapewa majukumu ya kuchagua nani awepo kwenye tume?? Adidu za rejea?? Ripoti ya mwisho anapelekewa yeye?? Kuna nini hapo...??? Hamna kitu hapo ni changa la macho mchana kweupeeeeeeee...............na huu mchezo ukienda bungeni utapita kama wanavyotaka.......!!!! Hapa ni people's power tu hakuna njia nyingine!!!
Mkuu,
Kwanini kila tusipokubaliana na jambo tunatishia amani? Wewe kama kiongozi unatakiwa kudiscuss makosa yaliyopo na kushauri wananchi jinsi ya kubadilisha au kuupinga muswada huu.
Kumbuka,hakuna mtu ambaye atakuja na muswaada utakaotoshelezea matakwa ya kila mtu,ila kisheria wabunge wa CDM au mbunge yoyote anaweza kusubmit muswaada binafsi bungeni na ukajadiliwa.
Serikali iliyopo madarakani ni serikali iliyochaguliwa na wananchi na ni serkali iliyoundwa na CCM ambacho ni chama kinachotetea wazi muungano wa Tanzania na Zanzibar,kwa hiyo what do you expect? They are going to protect the union, to them not protecting the union is like dividing their territory! Thats what they believe in.
Secondly, like Bagenda said, CCM as a party is cool with the status quo, so whats the big deal?Katiba mpya halikuwa lengo la CCM, kwani ulikuwa hujui? Ila, kama wananchi watataka katiba mpya basi tujadiliane, na president ametoa bill,kama ina makosa let's point out whats wrong and alert other MPs sio kutishana.
Lastly, jinsi ya kuchagua tume inabidi tuje na tume huru ambayo itasikiliza maoni ya wananchi, ila kama rais anapendekeza kuchagua tume, that's because he believes he has the right to do so, but again he can comply with the mass the same way he complied with the new constitution talks.
DON'T RESORT TO VIOLENCE!

Nguruvi3Kobello, kuna wakati watu wanafanya mzaha lakini kwa masuala nyeti na muhimu kwa mustakabali wa taifa letu kwa leo na siku zijazo mzaha ni hatua ya mwisho inayomtenganisha mwanadamu na wanyama wa porini.
Kinachojadiliwa hapa ni njia za mwanzo zitakazotuwezesha kupata katiba ya nchi. Katiba ya leo na vizazi vijavyo. Ni katiba ya Tanzania, na si katiba ya chama cha mapinduzi kama unavyotaka watu waelewe.
Mawazo ya kuwa muungano ni sera ya CCM au TANU ndiyo maana leo tuna matatizo makubwa sana kwa vile waliofikiri wakati huo hawakutofautiana na kobello kimazo. Tunataka hali hii isijirudie tena.
Kama hili halikuwa la CCM kwanini walimnya'ganya Mnyika hoja yake, na sasa unasema eti wabunge wanaweza kupeleka muswada, jiulize ule wa mnyika ulizimwaje pale bungeni.
Tunataka kuanzia sasa hizi fikra finyu 'he has the right to do so' zifikie mwisho. Hii ni nchi yetu na si mali ya mtu au familia.
Tutofautiane kwa mambo yenye mantiki sio ubishi hata kama hauna maana.
WanJF, hiki kitakuwa kipindi kigumu lakini tusimame pamoja kutafuta mstakabali wa taifa letu, tupingane kwa hoja na kwa ustaarabu, tuwapuuze wale watakaotaka kutuvuruga tukifahamu kuwa ndani ya msafara wa mamba kenge wapo pia.
Tuendelee kujadili hoja.
The bottom line ni kuwa wapinzani watajikuta wanafanya makosa mawili makubwa:
a. Wakiendelea kupinga mswada huu bila ya kuja na wa kwao wataonekana wanategemea huruma ya serikali. Kama ilivyodokezwa hapo juu wanao wabunge Bungeni, basi waje na mswada wao wa wanavyotaka mchakato wa Katiba uweje. Miswada hiyo miwili wa serikali na wapinzani itashindanishwa na ule mzuri upite. Hili litalazimisha process ya reconciliation ya miswada ili upatikane mzuri zaidi.
b. Wasipoleta mswada wao wenyewe tofauti na ule unaoletwa na serikali, na wakabakia kulalamika na kupiga kura ya "hapana" au kutoka Bungeni haitabadilisha hali halisi, CCM itauteka rasmi mkataba wa Katiba na CCM itaanza mchakato wa Katiba mpya. Sasa ukishapitishwa ulivyo una vipengele vya kuzuia kupinga process nzima. Maana yake wapinzani hawataweza kabisa kuupinga bila kusababisha machafuko nchini.
Well, hapa wanajikuta wanalazimika kufanya maamuzi magumu.
A. Wakiendelea kuupinga nje ya Bunge wataambiwa si mje Bungeni mlete hoja zenu?
b. Wakienda Bungeni na kushindwa - yaani mswada ukipita ulivyo - kama ulivyopita ule wa Gharama za Uchaguzi - watajikuta wako katika huruma ya serikali kwani hawatoweza kuupinga na kwa vile tayari wao wameshagawanyika nina uhakika wapo watakaotaka wakubaliane na serikali na wengine watasema wasikubaliane.
c. Uchaguzi ujao utafanyika kwa Katiba Mpya itakayotungwa na kupitishwa na Wana CCM!!!
Wapinzani walipotaka katiba mpya nadhani walishakuwa na katiba wanayoitaka au jinsi mchakato mzima utakavyoendeshwa.All they need ni kusubmit na kulobby wabunge waCCM either through their MPs or through the mass.Operation should start now,peaceful demos kupata support ya mass ambayo inaweza kuwainfluence MPs wa CCM kuback off.Kwa mwendo huu wapinzani wamewekwa mtu kati! Bila ueledi na tafakuri jadidi wapinzani wataishia kuubariki muswada huu bila ya wao kupenda. Naona kama utapitishwa kuwa sheria, basi sheria itaanza rasmi June 2011, wapinzani wana muda kweli wa kuujadili huu muswada na kupata mawazo mujarabu ya kuwasilisha bungeni na bunge si ndio linaanza wiki ijayo. Kweli serikali wajanja wapinzani watakutwa pants down sijui watafanya nini kwa muda mfupi huu!!