Must see Movies

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,145
2,000
io roots ya pili ya uyo dogo kunta kinte n bonge la muv an inaelezea utumwa an bonge1 la muv
Kama ni hiyo basi itakuwa imerudiwa coz mi nakumbuka nikiwa mdogo around 90s ma-bro walikuwa wanai-check hii movie dogo mmoja black anateswa anapigwa sana mijeledi na wazungu huku amefungwa sehemu hivi. Nakumbuka kipande kimoja tu alikuwa anaulizwa What's your name...? Hataki kusema anagonwa mijeledi.

Sasa hiyo ya pili naona ya 2016 wameirudia au...?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom