naona sasa ndugu yangu katika Iimani umeanza kukengeuka. Na nakubaliana kwa 100% na Dr kuwa umeanza kuchanganya mambo ima kwa kutaka kusifiwa na manaswala au kwa kupata thamani ndogo ya Dunia na kuacha uomgovu wa Mungu.
Bible inasema Luke 22 :63WalewatuwaliokuwawanamchungaYesu, walimpiga nakumdhihaki.
64 Walimfunga kitambaa usoni, wakawa wanamwuliza, "Ni nani aliyekupiga? Hebu bashiri tuone!"
Mathew 26: 67 Kisha wakamtemea mate usoni, wakampiga makofi. Wakamkanyaga na Wengine wakiwa wanampiga makofi,
na Quran inasema hivi
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Je huyu anayezungumziwa hapa inawezekana kuwa mtu mmoja.
ndio maana Dr Hamza ameweka bayana kabisa YESU kwenye Bible sio Sawa na Issa wa kwenye Quran.
Kwenye Bible sifa ya Yesu ni mtoto wa Mungu na imeelezwa wazi kuwa kuna Mungu baba, Mungu Roho matakatifu na Mungu Mwana. hapo utaona Yesu ni Mwana wa Mungu.
Quran inasema hivi:
Surah 19 35. Haiwi kwa Mwenyezi Mungu kuwa na mwana, Subhanahu, Yeye ametakasika! Anapo lihukumia jambo basi huliambia tu: Kuwa! Likawa. ***
Kifupi Yesu ni Mungu kwa mujibu wa Bible na Quran imesema Issa ni mtume wa Mungu,
Sasa unaposema Dr Hamza na mimi ni makafir. Labda utubainishie ni wapi katika Quran tumekufuru. Mimi nipo Tayari kabisa kurejea kwa Allah kama utanikidhi haja yangu ya kunifafanulia kama Yesu aliyetajwa kwenye Biblia ni sawa kabisa na Yule wa Kwenye Quran.
kama kawaida ya Uislam tunatumia Aya za Allah na upande mwingine unipe andiko kutoka kwenye Biblia kuthibitisha Hoja zako.
Nachelea kusema Waislam tumekatazwa Dhana. naomba darasa yako Sheikh.
Mimi nipo Tayari kabisa kurejea kwa Allah kama utanikidhi haja yangu ya kunifafanulia kama Yesu aliyetajwa kwenye Biblia ni sawa kabisa na Yule wa Kwenye Quran.
kama kawaida ya Uislam tunatumia Aya za Allah na upande mwingine unipe andiko kutoka kwenye Biblia kuthibitisha Hoja zako.
Nachelea kusema Waislam tumekatazwa Dhana. naomba darasa yako Sheikh.
Get behind!Hereunder are few exhibits that debunking Isa of the Koran who is distinct from the Jesus of the Bible.
Isa wa Koran did not die on a cross
Christians and Jews have corrupted their scriptures. (Âl 'Imran 3:74-77, 113) Although Christians believe Isa died on a cross, and Jews claim they killed him, in reality he was not killed or crucified, and those who said he was crucified lied (An-Nisa 4:157). Isa did not die, but ascended to Allah. (An-Nisa 4:15 On the day of Resurrection Isa himself will be a witness against Jews and Christians for believing in his death. (An-Nisa 4:159)
Isa wa ndani ya Koran was a prophet of Islam
Jesus true name, according to the Quran, was Isa. His message was pure Islam, surrender to Allah. (Âl 'Imran 3:84) Like all the Muslim prophets before him, and like Muhammad after him, Isa was a lawgiver, and Christians should submit to his law. (Âl 'Imran 3:50; Al-Maidah 5:4 Isas original disciples were also true Muslims, for they said We believe. Bear witness that we have surrendered. We are Muslims. (Al-Maidah 5:111)
Isa (Jesus) of the Quran is a product of fable, imagination and ignorance. When Muslims venerate this Isa, they have someone different in mind from the Yeshua or Jesus of the Bible and of history. The Isa of the Quran is based on no recognized form of historical evidence, but on fables current in seventh century Arabia.
Kwamsaada zaidi ingia kwenye hii mada ya jukwa la dini: [URL="https://www.jamiiforums.com/dini-imani/26760-isa-wa-koran-sio-yesu-wa-biblia.html"]https://www.jamiiforums.com/dini-imani/26760-isa-wa-koran-sio-yesu-wa-biblia.html[/URL]
Hereunder are few exhibits that debunking Isa of the Koran who is distinct from the Jesus of the Bible.
Isa wa Koran did not die on a cross
Christians and Jews have corrupted their scriptures. (Âl 'Imran 3:74-77, 113) Although Christians believe Isa died on a cross, and Jews claim they killed him, in reality he was not killed or crucified, and those who said he was crucified lied (An-Nisa 4:157). Isa did not die, but ascended to Allah. (An-Nisa 4:15 On the day of Resurrection Isa himself will be a witness against Jews and Christians for believing in his death. (An-Nisa 4:159)
Isa wa ndani ya Koran was a prophet of Islam
Jesus true name, according to the Quran, was Isa. His message was pure Islam, surrender to Allah. (Âl 'Imran 3:84) Like all the Muslim prophets before him, and like Muhammad after him, Isa was a lawgiver, and Christians should submit to his law. (Âl 'Imran 3:50; Al-Maidah 5:4 Isas original disciples were also true Muslims, for they said We believe. Bear witness that we have surrendered. We are Muslims. (Al-Maidah 5:111)
Isa (Jesus) of the Quran is a product of fable, imagination and ignorance. When Muslims venerate this Isa, they have someone different in mind from the Yeshua or Jesus of the Bible and of history. The Isa of the Quran is based on no recognized form of historical evidence, but on fables current in seventh century Arabia.
Kwamsaada zaidi ingia kwenye hii mada ya jukwa la dini: https://www.jamiiforums.com/dini-imani/26760-isa-wa-koran-sio-yesu-wa-biblia.html
hivi wewe sideeq ni mwarabu au muislamu? maana sioni sababu ya kabila ya mtu kuhusiana na dini, hata kama moses/musa alikuwa descendant wa levi nk, tunachofuata sisi wa sasa si ukanila bali imani ya dini fulani, na kupingana nawe sio kwamba waislamu ni watu wabaya bali kila moja wetu ameamukufuata imani/kuabudu anacho ona sawa mfano tuseme waislamu mpo sawa, lakini hapo hapo kuna sunni na shia nk nk kwa hiyo cha maana ni kufuata mazuri yakila moja wetu bila kuonana yule mzuri/mbaya.Calm down Max! Biblia inamuita Abraham Hebrew kwa sababu yeye alikuwa ni mtu kutoka upande mwingine wa Euphrates!
Genesis 14:13"And there came one that had escaped, and told Abram the Hebrew.... "
Kwa hiyo kama Amran alikuwa kiongozi wa Hebrews hakumaanishi kuwa yeye ni Myahudi!Aidha una matatizo ya kuelewa au umeweka mbele mapenzi ya nafsi yako!
Si nilikuambia uisome hii? au hujui Kiingereza? (sina Old testament ya Kiswahili):
Judah alipewa jina la utani (Myahudi) kwa hiyo, ni kizazi cha Judah peke yake walioitwa Mayahudi Originally.
Exodus 6:16-20. "And these are the names of the sons of Levi according to their generations; Ghershon, and Kohath, and Merari.... And the sons of Kohath: Amram.... And Amram took him Jochebed his father's sister to wife; and she bore him Aaron and Moses."
Kwa hiyo Moses alikuwa sio Myahudi kwa sababu yeye sio katika kizazi cha Judah, Moses ni kizazi cha Levite!
*Umesahau, ulitakiwa utoe support kutoka kwenye andiko, hukufanya hivyo!
Mkuu wewe ni Doctor wa Nini isijikuwa watu wanadeal na Manyaunyau hapa, Hivi hujui kwamba John ni Yohane, Yuda ni Juda au unataka kupotosha tu makusudi au Hujui Mariam ni Mary kwa Kimombo
Nimesema kisheria. Labda nikupe kitu kidogo hivi kwa nini unapotaka kupea passport yako unaambiwa ulete cheti cha kuzaliwa? au kwanini unapoanza shule utatakiwa ulete cheti cha kuzaliwa?Kisheria jina la mtu halibadiliki kutokana na Lugha. Mfano Mtume Mohammad anajulikana kama Mohammad kwa lugha yoyote ile. Lakini Yesu anajulikana kama Jesus kwa kimombo, Essa kwa kiarabu, n.k.n.k.
Hata wewe Sideeq utajulikana hivyo hivyo kwa lugha yotote ile hata ikiwa kichina.
Allah ansema kuhusu Issa (Yesu):
Quran 4:157.Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana wa Maryamu, Mtume wa Mwenyezi Mungu - nao hawakumuuwa wala hawakumsalibu,....."
Kwa hiyo tunaona kuwa Issa (yesu) hakuuliwa, hakusulubiwa wala hakuna dhara lolote lililompata.
Sasa ALHAJJ HAFIF NA BARUBARU WANAOSEMA KUWA ISSA YESU ALILAWITIWA NA MAYAHUDI, NI KAULI YA KUFRU NA WAO (hAFIF NA BARUBARU) WAMEKUFURU KUFRU YA AINA YA KUFRUL-INKAAR.
Kuhusu Mariam (Mary):Allah anasema katika Quran
Quran 3:42 Na angalia pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa, na akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote".
Sasa Allah amemtwahirisha Mariam, kwa hiyo kauli ya ALHAJJ HAFIF kuwa Mariam ni Malaya ni kufr istihzaha (kufuru ya kufanya mzaha) na yeye mwenyewe (Alhajj Hafif) ni Kaafir.
Allah anasem katika Quran
9:65 Na ukiwauliza, wanasema: Sisi tulikuwa tukipiga porojo na kucheza tu. Sema: Mlikuwa mkimfanyia maskhara Mwenyezi Mungu na Ishara zake na Mtume wake?"
SASA ALHAJJ HAFIFI NA BARUBARU NI MAKAAFIR.
Ninaandaa thread nzima kuhusu hawa watu.
Pursuant to (Sunaan Ibn Majah V:4290) reveals that Allah loves illiterate people and hates educated people and he had promised the first entry to Paradise to the illiterate Muslims and the last entry to the educated Muslims. The reason was simple. Muhammad wanted to keep his followers away from education because he knew that his newly established religion could not survive if criticism is allowed.
Its seems now sadeeq has seen the light, he doesn't want to be illiterate as allah wishes to all muham-madans.
Furhermore, Jesus of the Bible is not Isa of the Koran.
Nimeingia kidogo hapa katika kutaka kusahihisha mambo kidogo hususan kuhusu hukumu au fatwa iliyotolewa kuwa Al Haji Hafif na Barubaru ni Makaafir. Nimeombwa nifafanue kidogo na Mume wangu Dr Hamza.
Nikirejea kwenye taaluma yetu ya kisharia ili kutoa hukmu yoyote ni lazima ujiridhishe pasi na shaka yoyote na kwa ushahidi madhubuti sana na maelezo ya pande zote ndipo unatoa hukumu.
Napenda kumwachia Sadiiq suala hili ni kigezo gani na kwa ushahidi gani amefikia kuwaita wenzake Makaafir. Mimi nitafurahi sana kama utaweka ushahidi wake wote hapa na ujue kilichowafanya waseme hivyo je walikuwa na aya yoyote walioegemea? naomba sana ili tuwekane sawa.
Nikirudi upande wa Sheria za Tanzania, hawakubali kabisa ushahidi wa photocopy ya aina yoyote hata fax, email , au hata sms. Kwa hivi karibuni vinapokelewa tu mahakamani lakini sio ushahidi.
Nikija kwenye Jina halali la Yesu utalipata pale ilipoandikwa Bible ya kwanza. Na ukifatilia zaidi utaona Bible ya kwanza iliandikwa kwa kihebrania na hivyo jina halali kisheria la Yesu utalipata humo.
The same kwa waislam jina halali Mohammad au hata Issa limeandikwa humo, kwani quran ya asli iliandikwa kwa kiarabu.
Kwa mantiki hiyo utaona hawa ni watu wawili tofauti.
Nisingependa nikuchoshe naomba tu ushahidi wako uliotumia mpaka kuwaita ma alhaj hawa wote wawili kuwa makafir.
Mimi Nasriyah Saleh Al Mahdi.
mbona mna hamisha mada inakuwa na mwelekeo tofauti? au mna lenu jambo?
Aya gani hiyo?, quote please.
Usitubabaishe! Je Moses alikuwa ni Myahudi?
Si nilikuambia kuwa ni Children of Israel? ! wana wa Israel?!
Je unakubaiana na Biblia kuwa Hebrew haimaanishi Jew?
Get behind!
Dr.Barubaru, Waislamu katika Aqidah yetu tunaamini kuwa Mayahudi ni Makaafir,Je wewe pia unaamini kuwa Mayahudi ni Makaafiri?
[COLOR=black said:Sasa unaposema Dr Hamza na mimi ni makafir. Labda utubainishie ni wapi katika Quran tumekufuru. Mimi nipo Tayari kabisa kurejea kwa Allah kama utanikidhi haja yangu ya kunifafanulia kama Yesu aliyetajwa kwenye Biblia ni sawa kabisa na Yule wa Kwenye Quran.
kama kawaida ya Uislam tunatumia Aya za Allah na upande mwingine unipe andiko kutoka kwenye Biblia kuthibitisha Hoja zako.
Nachelea kusema Waislam tumekatazwa Dhana. naomba darasa yako Sheikh.
Tatizo kubwa linalosababisha kutokuelewana kati ya waislam na wakristo ni waislam kulazimisha kufananisha ukristo na uislam. Waislam lazima wakubali kuwa kitabu chao kinajitosheleza bila kuchanganya na bibilia, la sivyo (waislam) watangaze waazi tu kuwa dini yao/ kitabu chao haikamiliki bila kukilinganisha na bibilia.
Ukhti hakuna chochote hapo hana hata ushahidi wowote wa kisheria bali ushabiki na kutaka kusifiwa.
Amekhitali thamani ndogo ya wana JF na kusahau amali kubwa za Allah.
Ndio maana mimi nilimaliza kwa kusema
To cut short the story, namaliza kwa kusema.
Mzizi wa Mbuyu, quran haina ukamilifu wowote wa kumfanya mtu amwone Mungu. Kumbuka quran ina sura 114 na Biblia in Sura 929. Hivyo kuilinganisha quran na Biblia ni uendawazimu wa hali ya juu sawa na kusema kuwa kiuchumi tanzania inalingana na marekani.
Kurani haina majibu ya maswali ya msingi juu ya:
Uumbaji ulikuwaje? Soma Bible kitabu cha Mwanzo
Uhai ni nini? pumzi ya Mungu - Mwanzo 1:26-29
Nini hatma ya mwanadamu baada ya dunia? Soma kitabu cha ufunuo.
Mkao wa dunia katika nga - soma ayubu 26:7
Archiological evidence ya matukio kama ya mafuriko wakati wa Nuhu.
Historia ya tawala za falme kubwa zilizopita -Soma kitabu cha daniel
na mambo mengine mengi.