Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

TCU pitieni tena mitaala ya vyuo vikuu binafsi hususani chuo tajwa
 
Watu waliamini katika akili zao na hisia zao za chuki dhidi ya baadhi ya makundi kuwa kulipotokea TCU kutumbuliwa kwa kosa la kudahili wanafunzi wasiokuwa na sifa walitegemea wanafunzi hao woteke Muslim University of Morogoro lakini imekuwa kinyume chake. watu kwa chuki zao dhidi ya chuo hicho baada ya kujadili chuo kilichokumbwa na kashfa wanaacha na kukiingiza chuo ambacho ni innocent. waswahili wanakwambia rangi nyeupe ni nyeupe tu hata ukiichafua itabaki kuwa nyeupe. vyuo kibao hapa vimekumbwa na makashfa lakini chuo cha MUM sijawahi kusikia kuwa ktk makundi hayo lakini watu kwa sababu ya chuki zao na roho mbaya walizokuwa nazo wanajaribu kukiingiza chuo hicho katika makashfa bila mafanikio. Wazee endeeleni na chuki zenu najua hazitaisha kwa sababu chuo kitaendelea kuwepo hadi mwisho wa uhai wenu
Yaani hawa jamaa wana roho mbaya kama shetani au kumpita hata huyo shetani mwenyewe,wanavyo vyuo vingi kuliko serikali ila hiki kimoja tu kwa waislam mioyo inawapasuka mpaka wanakaribia kupata myocardial infarction ,ajabu ya ulimwengu ,imesema kweli Quran "Imedhihiri chuki kutoka midomoni mwao lakini wanayoyaficha mioyoni mwao ni makubwa kuliko hayo wanayoyatamka" sur.3,aya ya 118.
 
Tatizo sio wingi tatizo ubora pale ni hafifu

Wasio na msimamo sana na mambo ya dini ni wazuri mno. Unajua chuo cha Kiislam hakina walimu wengi waajiriwa na chuo, wengi wanaofundisha hapo ni part time lecturers ambao ndio wanaofundisha vyuo vya tunaowaona si dhaifu. Hivyo wanafunzi wasioshika sana dini huwatumia walimu hao kujiweka sawa. Ni kweli kuwa mshika mawili moja humponyoka. Dini dini na elimu dunia ni elimu dunia.
 
Kuna tofauti ya owner na affiliation. Issue wako affiliated vipi na kanisa katoliki? Vyuo vilivyoanzishwa na TEC ni SAUT (pamoja na matawi yake Colleges) na mtoto wake WEILL BUGANDO Afya.
Wacha kukikana chuo chenu sababu tu kimekua cha 22, katika mlolngo wa vyuo vya kata, hiki cha St. Joseph kinaongoza kwa u-kata
 
kwa kweli chuo hiki kimenisikitisha sana kwa jinsi kinavyoandaa wahitimu wake. AJABU ni kwamba bado kinaachiwa kuendelea tu kama vile mambo yako sawa.
 
Hivi pale mkombozi mtu uende hujavaa rozali yenye picha ya bwana yesu unafikiri unaweza kuajiriwa? Utabaki kusikia mapadri wanagawana tu mifweza huyu 1.6 billion huyu milioni 600 halafu fedha za wizi sasa kutoka serikali ni.
Mbona vyuoni mwao mnasoma, huku mna chenu?
 
kwa kweli chuo hiki kimenisikitisha sana kwa jinsi kinavyoandaa wahitimu wake. AJABU ni kwamba bado kinaachiwa kuendelea tu kama vile mambo yako sawa.
 
Wasio na msimamo sana na mambo ya dini ni wazuri mno. Unajua chuo cha Kiislam hakina walimu wengi waajiriwa na chuo, wengi wanaofundisha hapo ni part time lecturers ambao ndio wanaofundisha vyuo vya tunaowaona si dhaifu. Hivyo wanafunzi wasioshika sana dini huwatumia walimu hao kujiweka sawa. Ni kweli kuwa mshika mawili moja humponyoka. Dini dini na elimu dunia ni elimu dunia.
Elimu dunia ndio elimu gani hiyo uchawi au
 
Tanzania ya viwanda inataka wasomi wasio jivunia dini zao bali UMAHIRI wa FANI zao na WELEDI wa HALI YA JUU.
 
  • Thanks
Reactions: Dyf
Wacha kukikana chuo chenu sababu tu kimekua cha 22, katika mlolngo wa vyuo vya kata, hiki cha St. Joseph kinaongoza kwa u-kata
My point ni kuwa kuna tofauti kati ya ownership na affiliation. Ulichoandika wewe ni kitu tofauti wala hakina uhusiano na madhehebu yangu. Nimetaka kujua affiliation yao na Catholic religion ikoje? Andiko lako halikusaidia hapo. SAUT na CUHAS ni vya Catholic Church under TEC na hata ukiangalia governance structure yao hilo utaliona-hawa St Joseph University ni wa wapi na wanajiendeshaje?. Ningependa pia kujua wanauhusiano gani na TCU?
Kwangu mimi vyuo vikuu vyote vilivyo Tanzania ni vyetu kwani wanaosoma kule ni watoto wa kitanzania bila kujali dini zao hivyo hutakuta andiko langu lolote likisema chuo chenu au chao, na kama kuna mapungufu sina cha kufurahia.
 
Kuna makapuchini kuna st benedict kuna anna marie na dizain hyo. Sasa hao ni wa KKKT wahindi wanaitwa Goa.
 
huu Uzi hauna faida yoyote zaidi ya kutengeneza chuki....mods mnasubiri mpk watu wapigane ndo muufute au

Tatizo kubwa watu wanachangia wasichofahamu. Hata alieanzisha uzi huu anasema watu wasichafue hali ya hewa lakini yeye mwenyewe ndio wakwanza kuchafua hali ya hewa kwa nini anaulizia CV za walimu hao na jinsi wanavyo ajiriwa wakati uzi wake ulikuwa wahitimu wa MUM wakowapi? Angesubiri majibu ya swali lake hilo. Kama anamengine angesema au kuuliza na siyo style aliyochukua. Utaona michango mingi imekua inamihenko na haijengi inaongeza chuki.
 
Kuulizia CV za walimu wa hicho chuo nako ni kujenga Chuki? Mnaogopa nini? Ngoja nijaribu ku-google majina ya wahadhiri wake niangalie kama wana machapisho ya kitaaluma (kwa lugha ya kiingereza na sio Lugha PENDWA)
 
Back
Top Bottom