CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Umejibu vizuri. Vyuo under TEC vinafanya vizuri! Kuna mapungufu ya hapa na pale ambayo hata Cambridge yapo!My point ni kuwa kuna tofauti kati ya ownership na affiliation. Ulichoandika wewe ni kitu tofauti wala hakina uhusiano na madhehebu yangu. Nimetaka kujua affiliation yao na Catholic religion ikoje? Andiko lako halikusaidia hapo. SAUT na CUHAS ni vya Catholic Church under TEC na hata ukiangalia governance structure yao hilo utaliona-hawa St Joseph University ni wa wapi na wanajiendeshaje?. Ningependa pia kujua wanauhusiano gani na TCU?
Kwangu mimi vyuo vikuu vyote vilivyo Tanzania ni vyetu kwani wanaosoma kule ni watoto wa kitanzania bila kujali dini zao hivyo hutakuta andiko langu lolote likisema chuo chenu au chao, na kama kuna mapungufu sina cha kufurahia.