Museveni agoma kuondoka TZ

Museveni agoma kuondoka TZ

Mmmh hata kama wanasema penda kusifia chako!, dar inaipiku Nairobi? sijui! Jiji ambalo asilimia kubwa ni unplanned na linaongoza kwa uchafu Tz japo kwa sasa linang'arishwa kwasababu ya ujio wa Obama, sijui tusubiri tuone kama usafi huo utaendelea even after Mkubwa kuondoka.

still dar chafu,niko posta asbui hii wala sion usafi wowote
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!

Kimsingi sioni unabaya kwenye hilo, kwa sababu si mara nyingi Museven kwenda US, kwa hiyo bora akutane nae hapahapa.
 
safi sana mseveni, ex UDSM student

Museveni hana shida ya kukaa DSM kwani yuko nyumbani; atajikumbusha jinsi alivyokuwa anakunywa kahawa pale hoteli ya Agip!! Pia atapata nafasi ya kukutana na walimu wenzie wakina Zakia Meghji waliuofundisha nae pale Moshi Co- operative college.
 
Kamshauri nabii wenu Lema hayo maneno umesikia wewe kauzu.

Wewe mburula mshauri baba yako leo akivaa suti avae ya vifungo viwili kama Obama ili mambo yaanze kwa sare sare maua; asivae suti anazowavalia waarabu wake za vifungo vitatu ataharibu initial mood!!! Ajifunze kutoka kwa wenzie waliomtangulia kwani huyu mkwereee ana ubishi fulani usio na maana!!!
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!

Mbona kama nimemuona M7 akipanda ndege kwenye dira ya mchana TBC kabla hata Obama hajawasili mkuu, tuamini kuwa na wewe unatoa habari bila utafiti au M7 kaenda kula lunch UG atarudi baadae.
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Source???????
 
Museveni hana shida ya kukaa DSM kwani yuko nyumbani; atajikumbusha jinsi alivyokuwa anakunywa kahawa pale hoteli ya Agip!! Pia atapata nafasi ya kukutana na walimu wenzie wakina Zakia Meghji waliuofundisha nae pale Moshi Co- operative college.
Bulesi aliyekuwa anafundisha Chuo Cha Ushirika ni Mrs Meghji au Mr Meghji yaani mumewe Mama Zakia ambaye hivi sasa ni marehemu?
 
Last edited by a moderator:
Bulesi aliyekuwa anafundisha Chuo Cha Ushirika ni Mrs Meghji au Mr Meghji yaani mumewe Mama Zakia ambaye hivi sasa ni marehemu?

Zakia na mumewe marehemu Meghji wote walikuwa wanafundisha pale co-operative college kabla ya Zakia kuwa full-time mwanasiasa!!!
 
aaache kumzingira kiiza bwesije, naye ni dkteta tu wala hana lolote wamekutana zafanana
 
jamani tuache uzushi. museveni aliondoka saa 6 kamili na alisindikizwa na prof tibaijuka waziri wa ardhi. tuache uongo!
 
jamani tuache uzushi. museveni aliondoka saa 6 kamili na alisindikizwa na prof tibaijuka waziri wa ardhi. tuache uongo! nimemshuhudia kwa macho yngu hapa airport
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom