Museveni agoma kuondoka TZ

Museveni agoma kuondoka TZ

Kamshauri nabii wenu Lema hayo maneno umesikia wewe kauzu.

We Lema kafika vipi apa..!!??
Anakushikaga pabaya eeehh..!!!??
Kuwa na adabu Lema ni Rasi wa Arusha kama unabisha njoo ujaribu Moto wake..
 
Hii ziara ya Obama inanikumbusha kile kipindi Richard aliposhinda Big brother.
Ilikuwa ndio habari ya mujini kwa miezi kadhaa, wengine walitamani iwe public holiday!

Mmepigwa marufuku msiende Dar lakini bado mnashobokea!!
 
Opportunist tu huyo

Umesema kweli jamaa yangu!...M7 ni mtu anayeng'ata na kupuliza kote kote tu. Na nafsi yake sasa imejaa 'consciousness' analenga kujisafisha tu baada ya mkutano wao uliogubikwa na ajenda haramu ya kui sabotage Bongo. Anaogopa Wabongo kumfungia bandari na huko Kenya kwenyewe hakuaminiki. Maana kikinuka tu kule Kenya mizigo yote ya Uganda /Rwanda inakwama maana highway maeneo ya Kisumu ndio wanachoma wanaiba mizigo yao yote na kuchoma malori.
 
Kuna mtu mmoja tu Kenya akilalamika naweza kumwelewa. Ni Bibi yake Obama aliyeko kijijini Kogero.
 
safi,hakuna tatizo..jamani watanzania tumewapiku kenya karibia kila kitu..tunawakimbiza kwenye pato la taifa kwa spidi.zamani walikuwa wanadai Nairobi ni london ndogo sasa eti wamenuna kwa nini dar inaipiku nairobi
Dar inaipiku Nairobi?! Kwa lipi hasa? Au ni kwa hiyo flyover moja ya Tazara? usijidanganye mkuu. Huwa ninakwenda Nairobi mara kwa mara na Dar ndio kwangu. Hicho unachokisema hakopo. Mbele ya Nairobi Dar bado saaana.
 
safi,hakuna tatizo..jamani watanzania tumewapiku kenya karibia kila kitu..tunawakimbiza kwenye pato la taifa kwa spidi.zamani walikuwa wanadai Nairobi ni london ndogo sasa eti wamenuna kwa nini dar inaipiku nairobi

Mmmh hata kama wanasema penda kusifia chako!, dar inaipiku Nairobi? sijui! Jiji ambalo asilimia kubwa ni unplanned na linaongoza kwa uchafu Tz japo kwa sasa linang'arishwa kwasababu ya ujio wa Obama, sijui tusubiri tuone kama usafi huo utaendelea even after Mkubwa kuondoka.
 
huenda kijana 'M7' atatoa ya moyoni kwa 'mzee' Obama
 
Kamshauri nabii wenu Lema hayo maneno umesikia wewe kauzu.

I have never ever come across your argument on any analytical/statistical discussions but in rubbish matters you always have a point to contribute though poorly. This has really driven me to question your integrity...........wake up gentleman, shake your head and be lively, you will wonder how intellectual the JF members are!!!
 
You know nothing about Kenya my friend
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom