Museveni agoma kuondoka TZ

Museveni agoma kuondoka TZ

Obama anakuja kufungua fursa. Yes We can. Tukifanya kazi kwa bidii na Jakaya akifyeka rushwa. Bravo JK. Kagame kaanuuna huyoo... Damu za watu zinamwandama
 
safi,hakuna tatizo..jamani watanzania tumewapiku kenya karibia kila kitu..tunawakimbiza kwenye pato la taifa kwa spidi.zamani walikuwa wanadai Nairobi ni london ndogo sasa eti wamenuna kwa nini dar inaipiku nairobi

wewe kweli mpogoro sidhan hata kama msamvu umefika,labda mwisho wako mang'ula,
kenya mmewapita kwa ujio wa obama???
 
source plz? na wapi airport au ikulu kwenye dhifa ya kitaifa?

mbona babu makofia ana chaka zake nyingi tu za kujifichia bongo?wakati nikikaa eneo fulani la hadhi ya juu hapa Dar miaka ya nyuma nilizoea kumuona babu huyu akifikia kwa mfanyabiashara fulani mbongo bila hata dunia kujua kuwa yupo hapa Dar.na tayari alikuwa 'mheshimiwa'.na akiwepo askari hulinda pale.huyo mfanyabiashara alikuwa mshkaji wake mkubwa tu kibiashara.ndio maana wakati mwingine ni vigumu sana kuelewa motives za wanasiasa wetu,unaweza kudhani maadui kumbe washkaji!
 
isijekuwa jamaa KKK walipanga uyu K mu7 anainshu nyingine na ajenda zake na hawa jamaa wanasubiria ile baadae waharibu. Cmu amini hta kigogo mu7 na wenzake.
 
unajiadangnanya sana, tz kuipikua ke?? jaribu tena baadaye baada ya watu makini kuwa madarakani

Acha kukariri,si kila jambo lipo ki vyama,taifa kwanza chama badae,unachokifanya ni ushamba!
 
Ki uchumi? Elfu moja ya Kenya, ni Tsh. Ngapi?[/QUOTE

Kuimarika kwa uchumi wa nchi hakupimwi kwaulinganishi wa thamani ya sh baina ya nchi moja na nyingine peke yake.
Tafakari pesa ya Uchina kwa sasa thamani yake ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingi za ulaya ila uchumi wa Uchina ni imara kuliko nchi hizo.
Thamani ya sh inapokua ndogo kwakiwango flani wakati mwingine huchochea kuimarika kwa uchumi kwani ni kichocheo cha ku expot biashara nje ya nchi.
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Huyu ni maradona,....Kawachuuza wenzake kuichunia bongo halafu yeye kaja kuonekana na obbama....Chezea Mu7.
 
Ndugu pesa iliyopo Kenya Sio ya Wakenya, ni ya Wakoloni, kumbukeni Kenya Sio Nchi huru mpaka sasa, Mzee Kenyatta alisainishwa kwa vitisho Uhuru wa Mkataba ama Jeshi la Uingereza lingevamia na kutawala kwa nguvu, alichosaini ni Kuwaacha Waingereza na Mali zao, mashamba na kila walichokuwanacho kiendelee Kuwa chao. Kwa hiyo siku wakiamua kurudisha pesa yao England Kenya ni Zimbabwe nyingine.
Baada ya kupata katiba nzuri kenya wasidhani tayari ukombozi bado wana kazi kubwa kukomboa ardhi toka kwa makabaila na kuwapatia wananchi.
 
safi,hakuna tatizo..jamani watanzania tumewapiku kenya karibia kila kitu..tunawakimbiza kwenye pato la taifa kwa spidi.zamani walikuwa wanadai Nairobi ni london ndogo sasa eti wamenuna kwa nini dar inaipiku nairobi

Ni ndoto kusema tumewapiku Kenya karibia kila kitu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom