Museveni agoma kuondoka TZ

Museveni agoma kuondoka TZ

Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!

Mkuu Umejueje???
Usije kuwa Mwenzetu we ni Nyumba ndogo ya Mu 7 Bongo
 
Mwandishi Andrew Coulson, Katika kitabu chake cha Tanzania: A Political Economy, anaeleza wazi kwamba tofauti za kiuchumi zilizopo kati ya Kenya na Tanzania ni matokeo ya mpango wa maksudi uliofanywa na waingereza. Mwenye kutaka undani, ni vizuri kusoma kitabu hicho.
 
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.
atamwambia nini obama huyo babu,obama hana muda wa kukaa na kusikiliza stori za vijiweni. Kwani wewe hujui kuwa Babu ndio mashine ya kutunga uongo.
 
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.

Unadhani kuonana na Obama ni issue sana ? It is only Tanzania and with CCM wanamtumia ku bost PR .CCM is a disgrace angalia namna mtanzania anavyo umizwa hadi watalala njaa na wengine kufa siku 2 hizi kukosa huduma muhimu kama usafiri kisa Obama is in Tanzania .
 
Kwenye ule mkutano wao uliofanyika Uganda, Museveni aliulizwa swali mbona mmefanya mkutano bila wajumbe wengine wa EAC mfano Tanzania au kwa sababu Obama anaenda Tanzania, Museveni alichojibu ni kwamba Obama hakuwa ajenda ya mkutano wetu kumbe jamaa alikuwa anakula timing tu ili aje kuonana naye bongo.
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!
Kaguta usiondoke ,wengine wagoma subiri tule wote
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!

Sawa kabisa. Marekani imempa watu wanaomsaidia kumsaka Kony akiwa dead or alive.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
CCM kama gari la taka harufu uvuma kule kwenye upepo,juz kati mlikuwa mnamponda m7,leo mmelamba matapishi...
 
Nasikia Dr Slaa kapigwa chini kuonana na Obama.

Umesikia kwa nani au wewe umemshauri baba yako. Kwani mtoto wa mfalme naye ni mfalme. Hata mbwa wa rais ni rais wa mbwa wote.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ndugu pesa iliyopo Kenya Sio ya Wakenya, ni ya Wakoloni, kumbukeni Kenya Sio Nchi huru mpaka sasa, Mzee Kenyatta alisainishwa kwa vitisho Uhuru wa Mkataba ama Jeshi la Uingereza lingevamia na kutawala kwa nguvu, alichosaini ni Kuwaacha Waingereza na Mali zao, mashamba na kila walichokuwanacho kiendelee Kuwa chao. Kwa hiyo siku wakiamua kurudisha pesa yao England Kenya ni Zimbabwe nyingine.

Mkuu kwa ruksa yako naomba kuibold.
Hawa wenzetu wanatakiwa kutambua hilo na kuacha kutudharau sisi wa -Tz
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!

Pumbafu kabisa
 
Kwenye ule mkutano wao uliofanyika Uganda, Museveni aliulizwa swali mbona mmefanya mkutano bila wajumbe wengine wa EAC mfano Tanzania au kwa sababu Obama anaenda Tanzania, Museveni alichojibu ni kwamba Obama hakuwa ajenda ya mkutano wetu kumbe jamaa alikuwa anakula timing tu ili aje kuonana naye bongo.
Opportunist tu huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom