Museveni agoma kuondoka TZ

Museveni agoma kuondoka TZ

jamaa anapenda sana tz nakumbuka aliwai kuandaa fundrising kuchangia UDSM
 
Mwaego subiri usiondoke lakini vua kofia lako.
Nilikuwa Kenya wiki yote iliyopita na nimegundua wamesikitishwa sana na kitendo cha Obama kutokwenda kwao, gazeti la daily natio la jana lilikuwa na makala inayolalamika sana juu ya Obama kutokwenda hadi wameamua kumkumbusha kuwa Kenya ndio nchi pekee duniani iliyotangaza siku yaq kuapishwa Obama kuwa public holiday lakini hakumbuki.

Kweli nimeamini ujio wa Obama ni heshima kubwa kwa nchi yetu
 
mu 7hapa tz,ni kwako natunajua kwamba tupo pamoja .sasa haya mengine ya kututenga yatoka wapi.ya migingo yameshidwa kupatiwa ufumbuzi , unatafuta mengine tena? tulia hapo bongo mpaka kieleweke.:majani7:
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!

Anauhakika FBI watampa kibali?, asije akaishia kumpokea kwenye TV...
 
Mu7
Kwanza hamuogopi JK!...Lakini pia ameonyesha unafiki kwa wenzie kina KK..!! Awaambie waje wasihofu!!
 
Tunapozungumzia mambo ya kitaifa siasa zetu tuweke pembeni. JK katuletea sifa kubwa kumleta Obama. Sasa hata Sara Palin ataijua TZ. Tutake tusitake USA ndio dunia na Obama ndio kiranja wa dunia! Bravo JK!
 
Tunapozungumzia mambo ya kitaifa siasa zetu tuweke pembeni. JK katuletea sifa kubwa kumleta Obama. Sasa hata Sara Palin ataijua TZ. Tutake tusitake USA ndio dunia na Obama ndio kiranja wa dunia! Bravo JK!

Huna tofauti na wale wanaosema "usitujengee barabara,usitujengee hospitali za kisasa,usitujengee vyuo vikuu...Ili mradi imetutembelea inatosha,Chukua na zawadi za dhahabu,almasi,tanzanite kama shukrani yetu kwako kwa kututembelea"
 
kila sku nwaambia watu kuhusu hiki lkn hawataki kunielewa ,pesa ya wau wanajivunia,sisi tuna o uwezo wa kuumiliki uchumi wetu kama tukiweka sera za Kitaifa zaidi,lkn si hao watu
Ndugu pesa iliyopo Kenya Sio ya Wakenya, ni ya Wakoloni, kumbukeni Kenya Sio Nchi huru mpaka sasa, Mzee Kenyatta alisainishwa kwa vitisho Uhuru wa Mkataba ama Jeshi la Uingereza lingevamia na kutawala kwa nguvu, alichosaini ni Kuwaacha Waingereza na Mali zao, mashamba na kila walichokuwanacho kiendelee Kuwa chao. Kwa hiyo siku wakiamua kurudisha pesa yao England Kenya ni Zimbabwe nyingine.
 
Mu 7 amebaki bongo akisubiri kumsalimia Obama. Kasema haondoka mpaka amshike mkono! Kumbuka ilikua aondoke leo baada ya kumalizika kwa mkutano wa smart partership. Kaguta hana kinyongo na TZ. Kenya wanune tu!

Haaahaahaaa🙂 Rais gatecrasher
 
juzi katusagia eti anashangaa watz kung'ang'ania ardhi kama kigezo cha kupata maendeleo
 
Rosha roho zingine bwana, sasa hapo Kenya inahusika je?
 
Acha uongo mkewe ni mmoja wa wajumbe wa first ladies meetng ambapo mke wa d cameroon ni mwenyekiti. Michele atakuwepo sasa walishauriwa kama waume za wakiwepo wawasikilize. D cameron haji. Kama huna taarifa uliza kuliko kupotosha
 
...M7 mnafiki sana huyu.... kama Kinyonga.... sio mtu wa kumsikiliza nn anakisema.... too poor...!!
 
kama ndo hivyo basi yule mzee ni bonge la mjanja.kawaingiza chaka kagame na kenyatta.lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom