- Thread starter
- #81
Naona mkuu unataka league sasa!!!aliekuambia ni lazima nani? tuanzie apo kwanza...
Naona mkuu unataka league sasa!!!aliekuambia ni lazima nani? tuanzie apo kwanza...
Kama jioni hapiki chipsi za elfu 40,000 ataweza? Bado makando kando mengine.Kwa kipato hicho tafuta mwarabu koko wale wanaopatikana Shinyanga na Tabora. Hawa wa Town DSM gharama za uendeshaji hautoziweza.
Hata huyo mtoto anaweza asimpate! Mimi hii nilipatiwa habari tu kuwa fulani eeh! Fulani alimjaza mimba! Familia ya mwanamke ikamsafirisha ikampeleka Oman jamaa kakosa na mtoto kabisa!Tongoza mpe mimba
Inaonekana ni muadilifu. Mungu akutangulie utimize azma yako!Sawa mmuu..Asante Mkuu..natumai nitampata nami nitakuwa muaminifu..
Mkuu nimekuelewa sana reply zote!! Nina imani kuna siku nitafanikiwa katika hili....Inshaallah!!Inaonekana ni muadilifu. Mungu akutangulie utimize azma yako!
Mkuu! Waarabu kwa miaka ya nyuma hata hapa town walikuwa na uafadhali katika hili. Halikuwa ni la ajabu kwao! Miaka hii mambo yamebadiliak! kwa sasa hawa wa mjini watakushinda! Ni mtihani.Mkuu nimekuelewa sana reply zote!! Nina imani kuna siku nitafanikiwa katika hili....Inshaallah!!
Kwani kuna uhusiano gani kati ya maruhani na waarabu?Unaposema wa kiarabu si unamaanisha muislam pia; huogopi maruhani?
Haahaha da! Huyo jamaa nae mtata eh!! Asante sana Mkuu. Nitapanga ratiba yangu vizuri nitatembelea hayo maeneo..Mkuu! Waarabu kwa miaka ya nyuma hata hapa town walikuwa na uafadhali katika hili. Halikuwa ni la ajabu kwao! Miaka hii mambo yamebadiliak! kwa sasa hawa wa mjini watakushinda! Ni mtihani.
Kwa sababu hapa hapa mjini kuna wengine ni wanaume wanatambulisha wanawake zao wabantu wanakataliwa. Kuna jamaa mpaka sasa hajaoa kisa familia yake ilimkatalia kumuoa mwanamke aliyempenda kisa mbantu.
Kuna mwengine alioa kinguvu! Imma wakatae au wakubali yeye kaoa na sasa hivi wanaenda kwake kumtembelea walidhani atabusu miguu.
Ukitaka kupata wa kuoa tembelea Shinyanga, Nzega na kwengine walikokueleza wadau wengine.
Halafu jamaa hammalizi mzee wake! Utasikia kanikatalia kuoa kisa binti niliyempenda na kumtambulisha mweusi halafu kipindi cha ramadhani mzee anatoa sadaka hali ya kuonyesha unyenyekevu. Jamaa hamuelewi kabisa mzee wake.
Sasa mkuu akienda huko nzega au shinyanga bila connection ataanzaje kuwapata au awasimamishe tu barabarani na kuanza kuwapanga?Mkuu! Waarabu kwa miaka ya nyuma hata hapa town walikuwa na uafadhali katika hili. Halikuwa ni la ajabu kwao! Miaka hii mambo yamebadiliak! kwa sasa hawa wa mjini watakushinda! Ni mtihani.
Kwa sababu hapa hapa mjini kuna wengine ni wanaume wanatambulisha wanawake zao wabantu wanakataliwa. Kuna jamaa mpaka sasa hajaoa kisa familia yake ilimkatalia kumuoa mwanamke aliyempenda kisa mbantu.
Kuna mwengine alioa kinguvu! Imma wakatae au wakubali yeye kaoa na sasa hivi wanaenda kwake kumtembelea walidhani atabusu miguu.
Ukitaka kupata wa kuoa tembelea Shinyanga, Nzega na kwengine walikokueleza wadau wengine.
Halafu jamaa hammalizi mzee wake! Utasikia kanikatalia kuoa kisa binti niliyempenda na kumtambulisha mweusi halafu kipindi cha ramadhani mzee anatoa sadaka hali ya kuonyesha unyenyekevu. Jamaa hamuelewi kabisa mzee wake.
Kwa huko sifahamu mahari ipoje ila mahali zinakuwa juu! Nakumbuka kuna mmoja walisema wa kawaida kuulizia mahari nikaambiwa million 8!Haahaha da! Huyo jamaa nae mtata eh!! Asante sana Mkuu. Nitapanga ratiba yangu vizuri nitatembelea hayo maeneo..
Tatizo kwenda bila address inakuwa ni kazi bure unaeza kwenda na usikutane na jambo unalolitafuta!! Sidhani kama wnaakuwa mtaani tu Mkuu..anyway nitalifanyia kazi Mkuu. Shukrani
Hiyo ndo changamoto Mkuu..ingekuwa wako barabarani mbona ingekuwa rahisi hata kumsimamisha ila kama wako nyumbani mda wote mtihani unaanzia hapo..ndo unakuja umuhimu wa connection hapoSasa mkuu akienda huko nzega au shinyanga bila connection ataanzaje kuwapata au awasimamishe tu barabarani na kuanza kuwapanga?
Asilimia wa hapa town wana ndugu kwenye hiyo mikoa. Marafiki zake hao hao awaambie nia yake. Mbivu na mbichi wao wanazijua. Watamsaidia kwa kiasi kikubwa kumtafutia kwenye hiyo mikoa mwanamke na mahali pasipo na matatizo.Sasa mkuu akienda huko nzega au shinyanga bila connection ataanzaje kuwapata au awasimamishe tu barabarani na kuanza kuwapanga?
Hiyo ndo changamoto Mkuu..ingekuwa wako barabarani mbona ingekuwa rahisi hata kumsimamisha ila kama wako nyumbani mda wote mtihani unaanzia hapo..ndo unakuja umuhimu wa connection hapo
Mkuu duniani tuna uchaguzi huru wa kuamua jambo, mimi nimeongea kulingana na mtazamo wangu na wewe unao wakati wako wa kulichambua upate maamuzi sahihiMkuu, nalielewa swala lako sana... Ila sasa nikisema nianze kujenga..itanichukua miezi mingi miaka..
Hata kununua gari pia iko kwenye mipango lakin ndo hivo inatakiwa kusave sana.
Point yangu ni kwamba hata kama naingiza kuanzia 30 mpka 100k , lazima kuna expense za hapa na pale...mi naamini vitu vinafanyika taratibu/mdogo mdogo. Nikisema nisubirie mpaka vikamilike vitu vyote nahisi kama nitachelewa sana labda mpaka 30s huko...naona mbali saana..
Mkuu Pm mbona naclick inakataaamkuu hebu njoo Pm kuna jambo tuliongea siku za nyuma ukaishia kati,njoo tulimalize
hamia huku ...mkuuHahahaha unaniua ndugu yangu hoii CHAPUTA au Sio
Kwani imekuwa ni miradi?.Kwa kipato hicho tafuta mwarabu koko wale wanaopatikana Shinyanga na Tabora. Hawa wa Town DSM gharama za uendeshaji hautoziweza.