- Thread starter
- #21
Mkuu sio lazima uamini au usiamini..Kipato cha elfu 30 hadi laki kwa siku unakijua au unatuletea FUTUHI zako hapa?
Kikubwa focus na mengine
Mkuu sio lazima uamini au usiamini..Kipato cha elfu 30 hadi laki kwa siku unakijua au unatuletea FUTUHI zako hapa?
Atamkula na jini wake, yani yeye plus jini wote anaoa.Wengi huwa wana majini..kuwa makini
Mwanza mkuuUnapatikana mkoa gani mkuu
Mdogo mdogo mkuu, ipo siku nitajengaUwe na nyumba yenye vyumba kama saba, maana ndugu yake wa kiume anaweza kuja kuishi hapo na familia yake!
Me nikutakie tu kila la heri ila ukipata naomba na mimi unipe connection.Mdogo mdogo mkuu,ipo siku nitajenga
Sawa mmuu..Asante Mkuu..natumai nitampata nami nitakuwa muaminifu..Me nikutakie tu kila la heri ila ukipata naomb na mimi unipe connection.
Mimi katika makuzi yangu nimekuwa na urafiki na waarabu japo wachache.
Imani yako itakusaidia usikate tamaaa.Sawa mmuu..Asante Mkuu..natumahi nitampata nami nitakuwa muaminifu..
Salamu Kaka na Dada
Mimi ni kijana ambaye kwa mujibu wangu na akili yangu najiona tayari nishafikia umri wa kuwa na mwenzangu...na kwa kuwa ni lazima nitafute, basi nimejikuta natamani kumuoa mwanamke wa kiarabu
Mimi katika makuzi yangu nimekuwa na urafiki na waarabu japo wachache..nimetokea kupenda jamii zao hivyo basi nahitaji kuoa mmoja wao..
Mimi ni Muislam
Miaka 29
Kipato changu ni cha kawaida tu 30 mpaka 100k kwa siku..
Ninajishughulisha na biashara tu hapa mjini.
Similiki vitu vikuubwa kama gari,nyumba n.k
Nimepanga tu chumba na sebule...japokuwa nina ndoto kubwa ya kufanikiwa kimaisha
...
Kwa utambulisho huo wa haraka naomba kupata muongozo wa jinsi ya kumuoa mwanamke mwenye asili ya kiarabu au ikishindikana hata halfcast itakuwa vizuri...mwenye connection naomba pia...Natanguliza shukrani...
Inafuatana umeanza kukipata lini mkuu..na pia kuna mambo mengine ya kufanya kabla hujanunua gari..Et kipato Cha 30 to 100k KWA siku alafu ukose gari kwa kijana mmmhh chai hii
Wao nawajua na familia zao ila hawana binti anayefaa/ aliye na umri wa kuolewa ....wengi ni wa kiume na wachache washaolewaSasa mkuu umesema unaurafiki na waarabu japo wachache si ndo ungewatumia hao?
Bado, uchumi wako upo chiniMkuu kwa huo utangulizi wangu unahisi niko katika level gani kiuchumi?
Ndiyo mkuuMtu mweusi kuoa muarabu inatakiwa UJIPANGE SANA, nadhani umenielewa mkuu
Bond ikiwa ya ukweli baina ya wanaopendana, wengine wa pembeni ni kuwapotezea hata wakikubagua...ni kufocus na mambo yako tuWaarabu ni wabaguzi sana, jiandae kubaguliwa.
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]Uwe na nyumba yenye vyumba kama saba, maana ndugu yake wa kiume anaweza kuja kuishi hapo na familia yake!