Muongozo: Nataka kuoa mke asili ya kiarabu

Muongozo: Nataka kuoa mke asili ya kiarabu

Status
Not open for further replies.
nenda kasome mtume kasema hadith gani? Nasaba hajasema mtume ni neno katika Quraan. kasome....
Ukikataliwa ndio ubaguzi? unakataliwa kuna sababu ndio maana watu wanapeleka posa na wengi tu wanakataliwa.
 
Salamu Kaka na Dada

Mimi ni kijana ambaye kwa mujibu wangu na akili yangu najiona tayari nishafikia umri wa kuwa na mwenzangu na kwa kuwa ni lazima nitafute, basi nimejikuta natamani kumuoa mwanamke wa kiarabu.

Mimi katika makuzi yangu nimekuwa na urafiki na waarabu japo wachache, nimetokea kupenda jamii zao hivyo basi nahitaji kuoa mmoja wao.

Mimi ni Muislam
Miaka 29
Kipato changu ni cha kawaida tu 30 mpaka 100k kwa siku..

Ninajishughulisha na biashara tu hapa mjini.

Similiki vitu vikuubwa kama gari, nyumba n.k
Nimepanga tu chumba na sebule...japokuwa nina ndoto kubwa ya kufanikiwa kimaisha

...

Kwa utambulisho huo wa haraka naomba kupata muongozo wa jinsi ya kumuoa mwanamke mwenye asili ya kiarabu au ikishindikana hata halfcast itakuwa vizuri...mwenye connection naomba pia...Natanguliza shukrani...
Tembelea Tabora utawapata..si mjini wala vijijini bali Tabora yote wamejaa wengi tu
 
Njoo Dubai tukuozeshe !! Karibu ndani ya ukoo wa kifalme...
Angalia jamaa zako wasikuroge!!
 
Acha kuusingizia uislamu.
Mtume kasema hatoingia peponi mtu mwenye hata chembe ya ubaguzi.
Narrated by Abu Dawood from Abu Hurayrah, may Allah be pleased with him.. The Prophet peace be upon him, said: A Woman may be married for four: her wealth, her lineage, her beauty and her religion.. Get the religiously committed; get prosper..​
 
IMG_20210112_093515.jpg
 
Acha kuusingizia uislamu.
Mtume kasema hatoingia peponi mtu mwenye hata chembe ya ubaguzi.
Hakuna ubaguzi unaposa lazima watauliza huyu ni nani, family yake ni kina nani, family background yao, je dini kwake vipi wewe utakwenda tu kumpa family nzima walevi au wana history mbaya ukamtelekeze mwanano hujui anaingia nyumba gani eti ubaguzi. Dini inasema mtumwa mwenye kuamini ni bora ya yule asiyeamini kweli hakuna ubaguzi lakini kwa taarifa yako hata hao waarabu kuna nasaba wanaowana wenyewe katika nasaba hiyo hawampi mwarabu mwenzao uliza utaambiwa. Mimi aje mzungu anataka mwanangu simpi labda aende mwenyewe sasa utasema mimi mbaguzi? nitampa mwanangu kwa kuamini nampa mtu atamstili mwanangu sasa mafanikio au sio mafanikio hayo mengine. ndugu tu nyumba moja tabia zinatofautiana makabila tu nchini tunatofautiana sembuse asili tofauti. waarabu tabia tofauti, wahindi tofauti na waafrica tofauti, wazungu tofauti unadhani rahisi mtoto kuingia nyumba tabia tofauti.
 
Mada inahusu kuoa/kuolewa haihusu mimba usibadili mada na kuleta vitu visivyohusu kitu.
Family zinatofautiana wako anakuja mtoto ana mimba na wazazi wanaona kawaida ziko family unafukuzwa hapohapo hawakubali na hizi jamii kama wahindi au waarabu mtoto kuja na mimba tu hujaolewa ni janga aibu kubwa kwao jamii zingine kawaida tu bibi atalea
 
Mwanza mkuu

Sasa upo Mwanza unatafuta connection ya waarabu?
Nenda Kishapu hapo karibu tu, hata nauli haizidi buku kumi, wamepigika na maisha utajibebea.
Nenda Shinyanga mjini, mitaa ya kati pale nimesahau jina (pana soko la mitumba), mtaa umejaa waarabu na wasomali.
Nenda Shinyanga vijijini, maeneo ya Didia utawakuta wanapigika kwenye mashamba ya mpunga, ujibebee kwa gharama nafuu kabisa. Pia ulizia kijiji kinaitwa Sangilwa, hapo robo tatu ya wakazi wake wana asili ya waarabu.
Nenda Mitaa ya Kanyeye, Tabora mjini, wamejazana sana.
Ukiona hao hawana hadhi ya uarabu unayoitaka basi sogea jijini Dodoma, mitaa ya Chamwino Maili mbili, hapo utakutana na familia kadhaa zenye watoto wa kiarabu (usije ukachanganya na warangi maana nao wapo wenye nywele laini)
 
Salamu Kaka na Dada

Mimi ni kijana ambaye kwa mujibu wangu na akili yangu najiona tayari nishafikia umri wa kuwa na mwenzangu na kwa kuwa ni lazima nitafute, basi nimejikuta natamani kumuoa mwanamke wa kiarabu.

Mimi katika makuzi yangu nimekuwa na urafiki na waarabu japo wachache, nimetokea kupenda jamii zao hivyo basi nahitaji kuoa mmoja wao.

Mimi ni Muislam
Miaka 29
Kipato changu ni cha kawaida tu 30 mpaka 100k kwa siku..

Ninajishughulisha na biashara tu hapa mjini.

Similiki vitu vikuubwa kama gari, nyumba n.k
Nimepanga tu chumba na sebule...japokuwa nina ndoto kubwa ya kufanikiwa kimaisha

...

Kwa utambulisho huo wa haraka naomba kupata muongozo wa jinsi ya kumuoa mwanamke mwenye asili ya kiarabu au ikishindikana hata halfcast itakuwa vizuri...mwenye connection naomba pia...Natanguliza shukrani...
Waarabu hawana shuda na wala hawajali kipato
 
Ukikataliwa ndio ubaguzi? unakataliwa kuna sababu ndio maana watu wanapeleka posa na wengi tu wanakataliwa.
WAARABU wengi wabaguzi wanakataa binti zao kuolewa na mtu mweusi.

Je huu ndio uislamu??
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom