Mfugaji mmoja hivi alisikika kwenye comment.Wengi huwa wana majini..kuwa makini
Then huo ni uamuzi wako binafsi sio ubaguzi hata sisi waumini wa dini za kiislamu tunaambiwa na vitabu vyote moja ya sababu ya kukubali ni kujuwa NASABA yake hiyo pamoja na dini yake, tabia na mambo mengine huwezi kumtumbukiza mwanao kwenye family yoyote tu bila kujuwa ni nani hao sasa kuongea tu ni rahisi ila haya yako katika kila jamii. sijasema kwamba hakutokei matatizo ila mnajuwa pakuanzia. kwa wewe unahaki yako kuamini unachoamini na kuozesha mwanao kwa yoyote hakuna wa kukuingilia, hii ni maumuzi ya kifamily. Ni kama kuna watu wanaamini usawa wa mume na mke na watu hawaamini kama mzee wetu JK juzi alivyosema hayo mambo ya tugawane zamu sio yake na sio mila zao lakini haina maana wanabaguwa wanawake. kila kabila na kila family ina desturi zao na haki yao. na wewe una haki zako.Ni ubaguzi tu uwe unafanywa na mwarabu au mtu mweusi wa 2021 kumbagua KE/ME asiolewe au asioe kwao kutokana na kabila lake au his/her ethnicity.
Kujua familia ya mtu haina maana ndoa yao itadumu na itakuwa na amani na kutojua familia ya mtu haina maana ndoa haitadumu na itakuwa ni vita kila siku. Ni dhana POTOFU iliyopitwa na wakati.
Kwa hiyo mtu mweusi wa kikatalia family ya mtu mweusi mwenzao huo ni ubaguzi? family ya kiarabu wakikatalia family ya kiarabu huo ubaguzi? maana posa inapelekwa kuna kukubaliwa na kukataliwa hata katika jamii moja. Mimi akija mzungu anataka mtoto wangu sikubali labda atoroke shauri yake lakini sio ubaguzi.Ni ubaguzi tu uwe unafanywa na mwarabu au mtu mweusi wa 2021 kumbagua KE/ME asiolewe au asioe kwao kutokana na kabila lake au his/her ethnicity.
Kujua familia ya mtu haina maana ndoa yao itadumu na itakuwa na amani na kutojua familia ya mtu haina maana ndoa haitadumu na itakuwa ni vita kila siku. Ni dhana POTOFU iliyopitwa na wakati.
Then huo ni uamuzi wako binafsi sio ubaguzi hata sisi waumini wa dini za kiislamu tunaambiwa na vitabu vyote moja ya sababu ya kukubali ni kujuwa NASABA yake hiyo pamoja na dini yake, tabia na mambo mengine huwezi kumtumbukiza mwanao kwenye family yoyote tu bila kujuwa ni nani hao sasa kuongea tu ni rahisi ila haya yako katika kila jamii. sijasema kwamba hakutokei matatizo ila mnajuwa pakuanzia. kwa wewe unahaki yako kuamini unachoamini na kuozesha mwanao kwa yoyote hakuna wa kukuingilia, hii ni maumuzi ya kifamily. Ni kama kuna watu wanaamini usawa wa mume na mke na watu hawaamini kama mzee wetu JK juzi alivyosema hayo mambo ya tugawane zamu sio yake na sio mila zao lakini haina maana wanabaguwa wanawake. kila kabila na kila family ina desturi zao na haki yao. na wewe una haki zako.
Ndio maana huwa nawaona wanadondoka kule kwa mwamposa na wenzieWengi huwa wana majini..kuwa makini
Gharama za uendeshaji?????Kwa kipato hicho tafuta mwarabu koko wale wanaopatikana Shinyanga na Tabora. Hawa wa Town DSM gharama za uendeshaji hautoziweza.
[emoji23]Kwa kipato hicho tafuta mwarabu koko wale wanaopatikana Shinyanga na Tabora. Hawa wa Town DSM gharama za uendeshaji hautoziweza.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kipato cha elfu 30 hadi laki kwa siku unakijua au unatuletea FUTUHI zako hapa?
Ndugu yangu nadhani unachanganya mada mimi siongelei ndoa kufanikiwa au kutofanikiwa. pia ziko ambazo hazikufanikiwa pia na nyingi tu na wako wengine walipendana wenyewe kwa nguvu na hazikudumu hapa sio ndoa kufanikiwa au hapana. Nachosema katika kila jamii wana desturi zao mpaka family ila sio ubaguzi ni desturi/mila. Mimi kama mzazi na haki ya kukubali au kukataa akilazimisha shauri yake na wako hawaendi kinyume na wazazi wao na wako hawasikilizi wazazi wao, mimi binafsi siwezi kwenda kinyume na wazazi wangu nikitaka sana nitawashawishi tu watakubali na ikija mtoto wangu nikiamini kabisa mtu hatamfaa nitakaa akitaka kwa nguvu zake shauri yake najitoa tu bila kujali atafanikiwa au la hilo suala lingine. ndio maana barua inapelekwa kwa wazazi ikubaliwe au hapana vinginevyo posa ya nini? aamua tu peleka card ya harusi kwa wazazi wako unataka ridhaa ya nini? tuone kama mzazi atakujaWengi wazazi wao waliwakatalia kuolewa/kuoa kutokana na dini/kabila wakaamua kuoana tu na ndoa zao zikadumu na mafanikio makubwa.
Ukipenda huwezi kuona ubaridiWabaridi hao
Ndugu yangu nadhani unachanganya mada mimi siongelei ndoa kufanikiwa au kutofanikiwa. pia ziko ambazo hazikufanikiwa pia na nyingi tu na wako wengine walipendana wenyewe kwa nguvu na hazikudumu hapa sio ndoa kufanikiwa au hapana. Nachosema katika kila jamii wana desturi zao mpaka family ila sio ubaguzi ni desturi/mila. Mimi kama mzazi na haki ya kukubali au kukataa akilazimisha shauri yake na wako hawaendi kinyume na wazazi wao na wako hawasikilizi wazazi wao, mimi binafsi siwezi kwenda kinyume na wazazi wangu nikitaka sana nitawashawishi tu watakubali na ikija mtoto wangu nikiamini kabisa mtu hatamfaa nitakaa akitaka kwa nguvu zake shauri yake najitoa tu bila kujali atafanikiwa au la hilo suala lingine. ndio maana barua inapelekwa kwa wazazi ikubaliwe au hapana vinginevyo posa ya nini? aamua tu peleka card ya harusi kwa wazazi wako unataka ridhaa ya nini? tuone kama mzazi atakuja
Swala mtambuka, nishashuhudia haya mambo, ziko familia zina ubaguzi bt pia zko ambazo hazina ubaguzi,Yani siyo tu kwenye Haya maswala ya kutaka kuoa tu.
Kwa ujumla wake tu kwenye jamii hata kwenye mahusiano ya kawaida uzoefu unaonesha huwa wanakuwa na ubaguzi fulani.
Fanya upembuzi mdogo, pata uzoefu wa kwenye jamii, waulize watu wa rika tofauti tofauti (wasio waarabu wenzao Yani weusi) watakwambia.
Wewe kwa vile mwenzao huwezi jua, Sasa kama unataka kujua ukweli siyo kukanusha tu bali fanyiakazi , confirm from third parties, kuwa fair na free utapata kujua ukweli.
Family zinatofautiana wako anakuja mtoto ana mimba na wazazi wanaona kawaida ziko family unafukuzwa hapohapo hawakubali na hizi jamii kama wahindi au waarabu mtoto kuja na mimba tu hujaolewa ni janga aibu kubwa kwao jamii zingine kawaida tu bibi ataleaWengi wazazi wao waliwakatalia kuolewa/kuoa kutokana na dini/kabila wakaamua kuoana tu na ndoa zao zikadumu na mafanikio makubwa.
Mimi sikukatalii ndio maana hata ukiona kunguru wanaruka utawaona wao hawajichanganyi na mwewe hao simba porini tu wanabaguana wakikuona simba mwenzao hawakujui watakushambulia. Ukija kwenye hili katika maisha ya kawaida ni kweli ila mimi sisemi ni ubaguzi sababu wako watu katika jamii hizi 2 wameingiliana sana marafiki wazuri. chukulia mfano mdogo mwarabu kaingia restaurant kula kakuta meza moja kakaa mtu anamjuwa vizuri rafiki mswahili na meza nyingine yuko mwarabu lakini hamjui unadhani ataenda kukaa meza ipi? hakika kwa mswahili. mambo ya kifamilia hata ziko family za kiafrica tu lakini utasikia usitembee na wale watoto au sitaki urafiki na family ile haya yako. unaweza kukataliwa na waafrica wenzako na ukakubaliwa na wengine. Binadamu tunakawaida kupenda kukaa na watu unahisi comfort kukuzunguka bila kujali rangi hata mashuleni kila mtu mtu ana enjoy company fulani hata wakati wa kula anakaa na same people lakini sio kubaguana. wahindi wao ni tofauti jamiii zao wako close wenyewe lakini pia muhindi akiwa rafiki na mswahili tu sisi wenyewe tunaanza kumtukana muhindi gani wewe koko wahindi wale bwana.Yani siyo tu kwenye Haya maswala ya kutaka kuoa tu.
Kwa ujumla wake tu kwenye jamii hata kwenye mahusiano ya kawaida uzoefu unaonesha huwa wanakuwa na ubaguzi fulani.
Fanya upembuzi mdogo, pata uzoefu wa kwenye jamii, waulize watu wa rika tofauti tofauti (wasio waarabu wenzao Yani weusi) watakwambia.
Wewe kwa vile mwenzao huwezi jua, Sasa kama unataka kujua ukweli siyo kukanusha tu bali fanyiakazi , confirm from third parties, kuwa fair na free utapata kujua ukweli.
Mwanza nendaa kayenzeee warabu kibao au guta njia ya kwenda mwibara.....Mwanza mkuu
Mimi namshauri kama yuko Dar apite pite pale mitaa ya Ilala. Kuna waarabu wa maisha ya chini.Kwa kipato hicho tafuta mwarabu koko wale wanaopatikana Shinyanga na Tabora. Hawa wa Town DSM gharama za uendeshaji hautoziweza.
Acha kuusingizia uislamu.Then huo ni uamuzi wako binafsi sio ubaguzi hata sisi waumini wa dini za kiislamu tunaambiwa na vitabu vyote moja ya sababu ya kukubali ni kujuwa NASABA yake hiyo pamoja na dini yake, tabia na mambo mengine huwezi kumtumbukiza mwanao kwenye family yoyote tu bila kujuwa ni nani hao sasa kuongea tu ni rahisi ila haya yako katika kila jamii. sijasema kwamba hakutokei matatizo ila mnajuwa pakuanzia. kwa wewe unahaki yako kuamini unachoamini na kuozesha mwanao kwa yoyote hakuna wa kukuingilia, hii ni maumuzi ya kifamily. Ni kama kuna watu wanaamini usawa wa mume na mke na watu hawaamini kama mzee wetu JK juzi alivyosema hayo mambo ya tugawane zamu sio yake na sio mila zao lakini haina maana wanabaguwa wanawake. kila kabila na kila family ina desturi zao na haki yao. na wewe una haki zako.