Muongozo: Nataka kuoa mke asili ya kiarabu

Muongozo: Nataka kuoa mke asili ya kiarabu

Status
Not open for further replies.
Kila jamii ina utaratibu wake, mhindi huwezi kuoa kirahisi isipokua uwe na ww mhindi,

Hao Jamaa waarabu unaweza kuoa kirahisi sana kama unayo pesa mkuu, nafikiri kwa vile umesema unaweza kuingiza hadi 100k ingekua bora ukajenga kwanza

Maana wanatabia wanaweza kuja kukutembelea Ukoo mzima sasa utasumbua wapangaji wenzako pindi wakija kwako.

Weka utaratibu wako vizuri kwanza maana kama huna familia unaingiza 100k na hujajenga wala huna kagari unamiliki double tu mkuu, itakuaje ukioa???
 
Kunaa mzee mmoja mwarabu RIP
Watoto wake wote wa kike wameolewa na black

Mzee hakuwa na makuu
Ndo familia nimeishuhudia haina ubaguzi
.ningekupa connection but huwa siamin watu wa mitandao.

Kuna mabinti kama watatu bado wabichi kabisa
 
Kila jamii ina utaratibu wake, mhindi huwezi kuoa kirahisi isipokua uwe na ww mhindi,

Hao Jamaa waarabu unaweza kuoa kirahisi sana kama unayo pesa mkuu, nafikiri kwa vile umesema unaweza kuingiza hadi 100k ingekua bora ukajenga kwanza

Maana wanatabia wanaweza kuja kukutembelea Ukoo mzima sasa utasumbua wapangaji wenzako pindi wakija kwako.

Weka utaratibu wako vizuri kwanza maana kama huna familia unaingiza 100k na hujajenga wala huna kagari unamiliki double tu mkuu, itakuaje ukioa???
Mkuu, nalielewa swala lako sana... Ila sasa nikisema nianze kujenga..itanichukua miezi mingi miaka..

Hata kununua gari pia iko kwenye mipango lakin ndo hivo inatakiwa kusave sana.

Point yangu ni kwamba hata kama naingiza kuanzia 30 mpka 100k , lazima kuna expense za hapa na pale...mi naamini vitu vinafanyika taratibu/mdogo mdogo. Nikisema nisubirie mpaka vikamilike vitu vyote nahisi kama nitachelewa sana labda mpaka 30s huko...naona mbali saana..
 
Waarabu mkuje huku mnaitwa lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kwani huelewi nilichoandika¿ Nimekwambia inafuatana umeanza kupata kipato baada ya muda gani!! Lakin pia gari sio jambo la kwanza kwa kila mtu..yawezekana nilitaka nitimize vingine vya ndani kabla ya gari

Maelezo uliyoyaandika awali hayaendani na mtu mwenye kipato cha elfu 30 hadi laki kwa siku.
 
Salamu Kaka na Dada

Mimi ni kijana ambaye kwa mujibu wangu na akili yangu najiona tayari nishafikia umri wa kuwa na mwenzangu na kwa kuwa ni lazima nitafute, basi nimejikuta natamani kumuoa mwanamke wa kiarabu

Mimi katika makuzi yangu nimekuwa na urafiki na waarabu japo wachache..nimetokea kupenda jamii zao hivyo basi nahitaji kuoa mmoja wao..

Mimi ni Muislam
Miaka 29
Kipato changu ni cha kawaida tu 30 mpaka 100k kwa siku..

Ninajishughulisha na biashara tu hapa mjini.

Similiki vitu vikuubwa kama gari, nyumba n.k
Nimepanga tu chumba na sebule...japokuwa nina ndoto kubwa ya kufanikiwa kimaisha

...

Kwa utambulisho huo wa haraka naomba kupata muongozo wa jinsi ya kumuoa mwanamke mwenye asili ya kiarabu au ikishindikana hata halfcast itakuwa vizuri...mwenye connection naomba pia...Natanguliza shukrani...
Sasa mkuu hao c uongee na hao marafiki zako wachache Wa kiarabu , wakuunganishe ili uopoe chombo cha kiarabu
 
Usifikiri kila mtu inamchapa kama ilivyo kwako... Kila industry inajitegemea!!! Kama kwa upande wako imekuchapa basi ni sawa..ila upande mwingine maisha yanaendelea kila siku vilevile/yanapendeza zaidi

Mkuu relax ,wewe ndio kwanza unaanza maisha,hayo maisha unayoishi sasa mimi niliyaanza miaka 25 iliyopita,kushindana na wewe nitakuwa nakuonea ni sawa na mbingu na ardhi.
 
Mkuu relax ,wewe ndio kwanza unaanza maisha,hayo maisha unayoishi sasa mimi niliyaanza miaka 25 iliyopita,kushindana na wewe nitakuwa nakuonea ni sawa na mbingu na ardhi.
Sawa sawa mkuu...kama ndo hivo kwa stage niliyopo bado hayajanichapa kama unavodhani,
 
Waarabu ni wabaguzi sana, jiandae kubaguliwa.
😀 Kweli
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja yeye mama ni m'burushi na baba mshirazi..yeye na nduguze ni halfcast..huwezi amini ndugu wa mama walikua wanawaita"black"..😂😂😂😂
 
Unaposema wa kiarabu si unamaanisha muislam pia; huogopi maruhani?
 
Ni ubaguzi tu uwe unafanywa na mwarabu au mtu mweusi wa 2021 kumbagua KE/ME asiolewe au asioe kwao kutokana na kabila lake au his/her ethnicity.
Kujua familia ya mtu haina maana ndoa yao itadumu na itakuwa na amani na kutojua familia ya mtu haina maana ndoa haitadumu na itakuwa ni vita kila siku. Ni dhana POTOFU iliyopitwa na wakati.
Hapana kusema ubaguzi sio sawa kuna makabila hata ya watanzania hawakubaliani kuowana na hii katika jamiii zote na wana sababu. chukulia mfano wamasai asilimia kubwa wanaowana wao kwa wao na makabila mengi tu au wakujuwe vizuri ukiondoa hawa wanaokutana huko na kuishi miaka baadaye wanakuja kubariki. ubaguzi uko katika jamiii zote ukija katika ndoa nenda Zanzibar kama watakupa tu mtoto wao? kwa hili halina harufu ya ubaguzi moja kwa moja ila wanataka kuijuwa family vizuri kabla ya kukubali ili ikitokea tatizo unajuwa pakuanzia mimi siwezi kumpa mtoto wangu kwa mtu simjui family yake. Hata waarabu sio kwamba hawakataliani wenyewe kwa wenyewe wanakataliwa sababu hizi jamii zina status tofauti haya yako katika kila jamii.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom