iamriq_arthur
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 377
- 884
Habari wanajamvi, Me buheri wa afya.
Nataguliza shukrani kwenu enyi wote mliopo humu JF kwaajiri ya mambo mema na kusaidiana.
Mimi ni kijana mkristu, familia yangu wote ni wakristu pande zote kwa baba na mama, Lakini tangu nianze kujitambua kuna hisia na msukumo wa kutaka kunadiri dini, hisia zinanipelekea nataman kuwa mwislam.
Nakua nikipita hata karibu na msikiti wowote mtaani nakua natamani kuingia kuswali, nikiona kipindi cha mawaidha kwenye televishen nakaa kuangalia mpaka mwisho itakapoisha, na kila mara nikilala usku ndoto zangu nyingi naota nipo msikitini na nimeshika Quran japo maandishi yake siyaelewi.
Kuna muda ilifikia nikaamua muuliza mama angu kama kwenye upande wa ukoo wake kuna asli ya dini ya kiislam / kiarabu lakini alikataa.
Na kuna kipindi mwaka huu ilikua mwezi wa 4 nilienda Mkoani Tanga kikazi, pale nilipokua nimefikia hawakujua kama mimi ni mgeni Mkoani hapo, wenyeji walijua pia me ni mzawa wa Tanga, mpaka pale nilipowaambia kuwa mimi ni mgeni mkoani humo na dini yangu ni mkristu ,
Ndipo walipoamua kuniuliza kuhusu hii asli yangu ya kipemba/ kiarabu, mi pia nlishindwa jinsi ya kuwajibu kwasababu natambua kuwa ndugu na chimbuko za koo zangu zote ni wakristu na hakuna mwenye asli ya kiarabu.
Kitu kingne kilichonisukuma nije kuomba ushauri na muongozo wa kubadili dini hapa ni kuwa, Hisia zangu zote zipo kwa wanawake wa kiislamu, yani nikimuona mwanamke alievaa hijab/ baibui nahamasika kuoa mwanamke wa kiislam.
Kwa wanaojua haya mambo ya ndoto na hisia , naombeni mnitafsirie haya mambo ili nipate muongozo.