Andres
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 501
- 791
Wakuu kwema ?
Nilikua na wazo la kuzaa kabla ya kuoa kutokana na presha ya ndugu na jamaa, ya kutaka mjukuu kama tunavyojua familia zetu.
Lakini baada ya kuongea na baadhi ya watu wenye uzoefu kidogo, wengi wamepinga na kusema ni stress sana kuzaa kabla ya kuoa kama hutoishi naye huyo mwanamke, na wengine wakaenda mbali na kusema wanajuta kabisa kwanini walifanya hivyo.
Sasa leo naomba nisikie maoni yenu wakuu, kwa waliowahi kufanya hivyo na wakabaki na mababy mama, Je unajutia uamuzi wako huo? Na changamoto zake ni zipi ?