one wisow
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,327
- 1,918
Mwanamke anaolewa kwa vitu viwili muhimu:
1.tabia yake na
2. Imani au ucha mungu.
Hayo mengine ni add just.
Unaposema Mali yake Ina maana maskini wasiolewe?
Mwanamke anaolewa kwa vitu viwili muhimu:
Haya sio maneno yangu mimi ila labda tuweke sawa maana yake inasema MAY, unaweza kumuowa mwanamke kwa mali zake au kwa asili yake au uzuri wake au ucha Mungu wake sio kwamba ni lazima ila unaweza sasa turudi katika hali halisi yetu. katika haya mambo 4 huwa tunavutiwa na matatu zaidi, Uwezo wake(Mali), uzuri na asili yake huwa hatuulizi ana swali huyu....hata mwanamme akija kuposa vitu anatizamwa je ana kazi, vipi handsome na kubwa hapo tajiri hakuna swali mwanamme mtu wa dini. kubwa akiwa tajiri au ana kazi ndio makubwa na uzuri huo ndio ukweli.Mwanamke anaolewa kwa vitu viwili muhimu:
1.tabia yake na
2. Imani au ucha mungu.
Hayo mengine ni add just.
Unaposema Mali yake Ina maana maskini wasiolewe?
Sio suala la udini kama uislamu na wala uislamu hausemi ila ni desturi. Kuna waarabu wengi wakristo Palestine, Syria, Lebanon sijui Iraq unadhani watakupa mtoto wao? hapo sio udini. sasa kwa taarifa hata hao waarabu wennyewe kwa wenyewe hawapeani ukiwa hawakujui hata siku moja kwa taarifa yako iko jamii katika waarabu wao wanadai ni katika LINEAGE ya ukoo wa mtume ni wao kwa wao wanaowana hawampi mwarabu mwingine sasa sio ubaguzi eti kwa kuwa mweusi na hili kama unataka kujuwa muulize yoyote anayejuwa hili atakwambia haya yapo mpaka leo. Waarabu ukiposa kabila yako matters a lot na asili yako hizi ni desturi zao na wana sababu zao wanaowana cousins ili wasitoke mbali ya family zao. Sasa turudi sisi akija mtu kuposa kwako unatizama nini? huyu ana swali basi.... wako watu wana swali swala tano ila ni wachafuWAARABU wengi wabaguzi wanakataa binti zao kuolewa na mtu mweusi.
Je huu ndio uislamu??
Some form of marriage has been found to exist in all human societies, past and present. Its importance can be seen in the elaborate and complex laws and rituals surrounding it. ... Cultural pressures to marry within one's social, economic, and ethnic group are still very strongly enforced in some societiesWAARABU wengi wabaguzi wanakataa binti zao kuolewa na mtu mweusi.
Je huu ndio uislamu??
Pemba maeneo gani, nipo wete hapa[emoji41]Kama unataka mwarabu au mwenye asili ya uarabu Pemba wapo kibao, Tena masikini wakufa mtuu.
Kule unamwambia kbs tukifaka bara maisha yangu sio uwezo wa zaidi ya 10000 kwa siku na anakuona mkombozi
Tatizo mnataka kuchukua walioko dar....nenda Pemba hata dini wanabadili
Kuna miradi ya ujenzi kampuni x ya dar ilifanya pemba na mpaka madereva wamerudi na wake wa kipemba na wamebadili dini kuwa wakristo
naona unachangamkia fursaPemba maeneo gani, nipo wete hapa[emoji41]
Unataka kusema pemba maisha ni magumu sana?Kama unataka mwarabu au mwenye asili ya uarabu Pemba wapo kibao, Tena masikini wakufa mtuu.
Kule unamwambia kbs tukifaka bara maisha yangu sio uwezo wa zaidi ya 10000 kwa siku na anakuona mkombozi
Tatizo mnataka kuchukua walioko dar....nenda Pemba hata dini wanabadili
Kuna miradi ya ujenzi kampuni x ya dar ilifanya pemba na mpaka madereva wamerudi na wake wa kipemba na wamebadili dini kuwa wakristo