RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,745
- 107,896
- Thread starter
- #21
Kuna mdau fulani anahusika sana na magari aliniambia kama unataka gari ya kununua hapa bongo bora ununue kwa wahindi au waarabu wa kkoo. Wale jamaa wanatunza sana magari yao halafu pia hayapati dhoruba sana kama haya mengine. Utakuta gari inazunguka hapohapo kkoo au posta na upanga.
Na pia hao jamaa wanauza gari nzuri sana kwa bei chee kwasababu wanataka kuleta nyingine mpya zaidi.
ukipata gari kwa muhindi ni bingo! gari inatumika posta tu na ni kweli wengi wanauza kwa sababu haina kazi na si njaa au kibiashara.