kondoomwema
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 234
- 146
tulikuwa nazo tayari boeing 737 sio tunaanza na haya mapangaboi, kweli tanzania kila kitu kina rud i nyuma miaka 50Waswahili hamnaga jema. Mnataka kukimbia kabla ya kutambaa. Huwezi anzia kununua Marcopollo bila kuanza na Hiace. Hutaweza kumanage. Ndiyo maana mnakopa mitaji mikubwa bank mnaitumia vibaya wanawakaba hadi viti vya majumbani kwenu. Ridhika na uliichonacho.