Muonekano wa moja ya ndege mpya za Air Tanzania

Wakenya hatukujua kumbe kuna nyanja za ndge Tanzania hongera Tanzania washamba wa East Africa
 
Ni hatua nzuri ambayo serikali yetu imefika...lakini wakosoaji hawawez kukosekana,sijui walitaka ndege za namna gani maana wao kila lifanywalo kwao ni baya,,..UKUTA ndo wanaona una sura ya jet engine,,
Wakenya hatukujua kumbe kuna nyanja za ndge Tanzania hongera Tanzania washamba wa East Africa
 
Wakenya hatukujua kumbe kuna nyanja za ndge Tanzania hongera Tanzania washamba wa East Africa
 
Wakenya hatukujua kumbe kuna nyanja za ndge Tanzania hongera Tanzania washamba wa East Africa
 
Kwanza kabisa wakati nasikia hizi ngonjera za malaika rais anataka kununua ndege kubwa za kisasa imekua inatambiwa sanaa wameongea mawaziri karibia wote pamoja na waziri mkuu.

Nikadhani ni ndege kubwa lakini nilishika tu kichwani bombardier hivyo nikajua jet za maana hapo bombardier ni kama CS300 sasa nilipoona huu uzi wako na maoni ya watu ndio nikapigwa na butwaa kushtuka kumbe iliyokua inapigiwa debe nayo ni charter tu ya kawaida.
Unaposema Charter ya kawaida unamaanisha nini?Naona hujui hata unachojadili mkuu REDEEMER.
Hii ni Dash8-Q400 turboprop ya kisasa...Ndio ndege yenye kasi kati ya Turboprop,yenye kutufaa kwa sasa.Hizi ndio ndege alizo nazo Ethiopia ktk Regional Routes zake ndani ya Afrika...Hata Dsm huja hii toka Addis....Halafu mimi sisifii kila kitu,angalia posts zangu,kwenye kupongeza napongeza na penye kukosoa nakosoa!!Naona unajadili jambo usilolielewa
 
image.jpeg
Yani hizi feni ndio mnatangaza hadi ajira.. Kweli rais na sharubu zake anapiga makelele jukwaani kuwa ndege zinakuja ndio kaleta hizo helkopta? Daaah!! Hii nchi tumelogwa walah!!!
Kagame kidume sana... Kamuingiza mwenzake chaka.. Sasa hizi ndio unazifananisha na Rwanda airways? Daaaah...
Kweli bundi
Hizi sio Helicopter....Hizi ni Two wings flights,Turboprops...ndege nzuri kwa usafiri wa Regional routes.
Sio tu Tanzania tutakuwa nazo...Bali RwandAir na Ethiopian Airways.Ndio zinafanana na RwandAir na pia za Ethiopian Airways.Wao pia wanamiliki aina hii kwa Regional Routes.Wakuu mbona mnataka kupotosha vitu msivyovielewa?Unaicheka Turboprop?Una heshima zako humu jamvini Saint Ivuga
 
Unaposema Charter ya kawaida unamaanisha nini?Naona hujui hata unachojadili mkuu REDEEMER.
Hii ni Dash8-Q400 turboprop ya kisasa...Ndio ndege yenye kasi kati ya Turboprop,yenye kutufaa kwa sasa.Hizi ndio ndege alizo nazo Ethiopia ktk Regional Routes zake ndani ya Afrika...Hata Dsm huja hii toka Addis....Halafu mimi sisifii kila kitu,angalia posts zangu,kwenye kupongeza napongeza na penye kukosoa nakosoa!!Naona unajadili jambo usilolielewa
Mkuu hapo nimeongelea kwa kutumia lugha ya picture na ilivyozoeleka hapa Tanzania company nyingi za charter wanatumia vindege vidogo na mimi nilithani ndege zinazoletwa ni kubwa kuliko hiyo.
 
View attachment 386688
Hizi sio Helicopter....Hizi ni Two wings flights,Turboprops...ndege nzuri kwa usafiri wa Regional routes.
Sio tu Tanzania tutakuwa nazo...Bali RwandAir na Ethiopian Airways.Ndio zinafanana na RwandAir na pia za Ethiopian Airways.Wao pia wanamiliki aina hii kwa Regional Routes.Wakuu mbona mnataka kupotosha vitu msivyovielewa?Unaicheka Turboprop?Una heshima zako humu jamvini Saint Ivuga
Usishangae SIASA imefanya watanzania wana utaalamu wa kila kitu,asilimia kubwa ya wanaochangia hii mada
hawajui lolote kuhusu aviation industry wengine hizo ndege wanaziona kwenye picha tu
 
View attachment 386688
Hizi sio Helicopter....Hizi ni Two wings flights,Turboprops...ndege nzuri kwa usafiri wa Regional routes.
Sio tu Tanzania tutakuwa nazo...Bali RwandAir na Ethiopian Airways.Ndio zinafanana na RwandAir na pia za Ethiopian Airways.Wao pia wanamiliki aina hii kwa Regional Routes.Wakuu mbona mnataka kupotosha vitu msivyovielewa?Unaicheka Turboprop?Una heshima zako humu jamvini Saint Ivuga
Lowassa kaharibu sana vijana wa taifa ili.. Watu bado wanaugua Lowassa ndugu yangu.
 
View attachment 386663
Angalia kitu cha rwanda.. Afu rais anasimama jukwaani anasema Kagame raisinwangu ndugu yangu jirani yangu rafiki yangu mtu wangu wake zetu wanafanana majina biznes patna wangu kanishauri ninue feni... Daaaaah...
Saint Ivuga, acha kuharibu reputation yako, Inawezekana labda mambo ya aviation huyajui, ni vyema kuuliza kuliko haya uliyoandika. Au labda siasa zimekufanya na wewe upunguze ile reasoning yako kiongozi?
 
Back
Top Bottom