HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,591
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imetangaza ajira mpya 135
Cabin Crew 90 (Daraja la 2)
Flight Operation Officer 7 (Daraja la 2)
Senior Pilot (Captain) 17
First Officer 17
Procurement Officer 4 (Daraja la 2)
Maombi mwisho Tarehe 26/02/2023
Jumla hili shirika litakuwa na marubani 140
Ndege zinazofanya kazi ni 6 pekee
Ndege moja imekamatwa
Airbus 2 zimebaki
Ndege 1 hutumika kumsafirisha Rais
Wasaidizi wanakuwa jumla 270