MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Kwa hiyo wakienda uwanja wa ndege watageuka kuwa mbuzi? tuache ushamba tujadili hoja, jamaa katoa hoja tuna takiwa tumjibu kwa hoja na siyo matusi ya kijingaPumbafu,, hawo wamachinga na si ni watu wacha wafanye biashara zao na wapange nyanya na vitunguu pia,,,, haki sawa
SIO KWTU..Wawepo tu muhim wapangwe vzr na wajengewe sehem nzur, wawe machinga wa kisasa
Si wanajengo lao la machinga complex?Wawepo tu muhim wapangwe vzr na wajengewe sehem nzur, wawe machinga wa kisasa
Hao wamachinga na si ni watu wacha wafanye biashara zao na wapange nyanya na vitunguu pia,,,, haki sawa
Ile imepoa san lbd tujenge machinga complex nyingne ndn ya stendSi wanajengo lao la machinga complex?
Kwanini wasifanyie pale ubungo?Ile imepoa san lbd tujenge machinga complex nyingne ndn ya stend
Mzee mbona asubuh yote hii manungunikooWNARUHUS HVYO ILI WAKIPITA NA V8 WAPIGIWE MIRUZI.! WE USHAWAH KUONA VIONGOZI WANAKUJA TERMINAL ZA MIKOA KWA AJILI YA SAFARI? WANAJUA HYO MAUSAFIRI YTU YA KISENGE WAO HAYAWAHUSU..
Nakubaliana nawe kwa 100% Ndugu.Hata ofisi za serikali waruhusiwe pia mpaka pembeni ya Ikulu
nisameh utumishi..Mzee mbona asubuh yote hii manungunikoo