Mungu nisifikie kukata tamaa

Uza smartphone Hio utatue ttz lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kijana. Ila usikate tamaa....kikubwa endelea kuomba Mungu akufanyie wepesi. Vilevile nakushauri utoke hapo ndani, nenda kajichanganye mitaani....i hope utapata mwangaza wa kuona mbele. USIENDELEE KUKAA NDANI TAFADHARI

Nakutakia kila la kheri ndugu yangu...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hata nauli sina



hadi huruma hela ya bando kanitumia mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Uza simu hii unayotumia! Uza godoro au kitanda nenda home kasalimie. Upande wangu hali hiyo iliwahi nitokea nashukuru Mungu nilienda kanisani nikakumbana na walokole wakanisaidia kuomba tangia hapo mdogo mdogo nikapasua! Uamuzi ni wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana acha kuendelea kulia lia, just toka nje jichanganye na watu....huu sio muda wa kuendelea kuwaza, kulia lia, kuchagua kazi etc

Nyanyuka, pambana...usiseme ooh sina rafiki sijui nini!!! Wewe toka nje jichanganye.....ukijifungia ndani na hela umeingia hivyo.
kodi ni 180000

nusu ni 9000


sina hata 5000 ya umeme kaka


matatizo mengine hadi raha coz naona kabisa kichwa kinachemka

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa broke at 24yrs sio kitu cha ajabu sana kwa sababu kwa standard zetu za kiafrika bado wewe ni mdogo na upo kwenye stage ya kutafuta, huenda bado haujapata mwelekeo kamili. Nakupongeza kwa kuwa muwazi na kutafuta misaada wa mawazo. Wapo watu 30++ huko na maisha yao bado hayaeleweki.

Sote/wengi tumewahi kupitia hali hizo na kila mtu ana namna yake ya kutoka. Wanaokubeza waendelee tu...
 
Nakumbuka mwaka 2013 mwishoni baada ya kuzinguana sana sana na CEO wa banki moja yenye asili ya kikoloni.

Mwaka 2014 niliishi bila kazi ya maana na kibaya zaid december 2014 wakat nimeenda likizo kijijini waka wezi waliiba kila kitu ndani mwangu mpaka boxer walichukua...majirani walijua nahama na walinitumia msg kuuliza kwa nn nahama bila kuwaaga, bahati mbaya kijijini kwetu network ni ya shida nilikuja soma msg siku 2 baada ya tukio.
Thus 2016 nikiwa above 35yrs of age nimarudisha mpira kwa kipa nikajipanga upya ndani ya miezi 6 nikasimama tena nasongesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…