Kwanza: Mm nisikupe pole bwana mdogo.Kwanza umenichekesha kwel unaposema unadaiwa 5,000/=.Yan hiki ni kichekesho.Tena kituko.
Pili: kusema kodi ya miezi mi 3 nalo ni deni la kukuogopesha mm wala hujanishtua hata kidogo.Siwez kukupa pole kwa hili pia.Kama mwanaume hupaswi kukosa ujasir kwa deni la kodi ya miez 3 (labda kama unalipa more than 500,000/=) kwa mwezi.Nakushauri nenda hata kamkope hela ya matumiz huyo mama mwenye nyumba maana hela anayokudai wala haina sifa ya kitwa deni bali limbikizo la kodi.sio deni.
Tatu: Changamoto nayoweza kuwa concerned nayo hapo ni KUFUTWA KAZI tu.Na hii naomba iende sambamba na HONGERA ya kuanza mapambo ya maisha bado mapema.24 yrs is very early.Tena shukur unakutana na haya bado una ALOT OF OPTIONS to seek a refuge.Bado mdogo sana.Umri huo mm nilikua ndio kwanza namaliza chuo.Sina kazi lakin nimeanza maisha nina mke na mtoto m 1 na sikua najua naenda kufanya nn mtaani na sijui nitatoa wapi pesa ya kula na kulipa kodi wal kutunza family.Hongera kwa kuamza mapambano mapema bwana mdogo.
Sijaona ukizungumzia kama una familia tayari hapo lakin nikupongeze tu kwamba Hongera unakumbana na haya ukiwa na akil timamu iliyo active.Kama ni soka hilo wala sio goli bali Faulo tena dakika ya 5 ya mchezo.U stil have 85 minutes till end of the game so you have not a chance but opportunity to make things right.
USHAURI WANGU KWAKO.
Ni kosa kwenye maisha kukosa mtu wa kuwa msaada kwenye mambo madogo sanaaa kama kula na kunywa au wa kukosa hata kukupa 5,000/= unayoita deni.Umefanya kazi , je hukua hata na marafiki wa kwaida kabisa around your working place??? Huna hata marafiki wa kawaida kabisa kitaa unaoshirikiana nao kwenye mambo madogo mAdogo ya kijamii ambao wanaweza wakajua yanayokusibu wakakupa BACKUP!(siiti msaada) kwa kipindi hich mpaka ukose hata pa kula??
Je huna hata mazoea na wapangaji wenzio (kama mnaishi kadhaa ) ambao kwa utamaduni wa kiafrika hawa ndio msaada wako wa kwanza ukiwa na shida??Sasa siku ukiugua usiku nani wa kukusaidia???
Okay, je huna ma beat friend wako wanoweza kuwa tegemeo kipindi cha shida?Hata kama wako mikoani!!Kama umeweza ku post JF, je umeshindwa ku text machiz wako wa ukwel wawil watatu wakakupa sapoti hata ya mkopo wakati unafikiria kujipanga!!?
Mwisho wa yote huna basi ndugu wanaoweza kuelewa changamoto wkawa msaada japo kwa kipindi kifupi??KWEL MUNGU KAKUNYIMA VYOOTE HIYO HAPA DUNIANI???sikubalianai na ww..YA MKINI UMEJITENGA SANA NA DUNIA MKUU and this is NOT PROPER CIVILIZATION.Kwenye maisha lazima uwe na NETWORK YA WATU regardless of their life status maana hawa ndio wa kukupa MICHONGO au ASSISTANCE yoyote Hata kama ww ni mbabe vp mzee unahitaji watu.Hao matajir tu wa dunia hii wanajua licha ya pesa walizonazo kuna wakat hazi WORKOUT SOME MATTERS kwahiyo lazima wahitaji watu wa kuwakwamua kwenya baadhi ya issue.ACHA KUJIFUNGIA sana kwenye ulimwengu wa peke yako.
Hawa wote ndio wakukupa sapport japo ya muda mfupi wakat ww unajipanga kujua ufanye.Na ndio wanaoweza kukusaidia mawazo.
USHUHUDA WANGU MDOGO TU.
Labda hii inaweza kukupa mwanga.
Kama nilivyokueleza kipind mm nikiwa namaliza chuo sina ishu na sijui itakuaje ilinichukua kama miez kadhaa naishi kwa kushikwa mkono na washkaji na wazazi.
Siku moja nikiwa kijiwen /gheto kwa mchiz wangu tunapiga stori ilikua Tandika by the time.Jamaa mmoja ambae alikua jamaa angu kitaa yy alikua anapiga mishe za kibarua cha kujenga.Akaniuliza hivi
AsajizzleDaGreat ww si unajua jua masomo ya sayans ?Nikasema ndio.Akasema kesho twende kwa kwa bosi wangu mmoja hvinilishawah kufakwake kazi ya kujenga (maeneo ya Mbagala Misheni oposite na shule ya st.Antony).Huyu bos ana tuition centre nikakuombee kazi.Yy jamaa hata kusoma hajasoma na hiv leo tunavyoongea jamaa ni security guard.
Huo ndio ukawa mwanza wa maisha mengine.Nikawa napiga pindi za Phys ,chemistry na Biology.Daily naondoka na 15,000/= mpaka 17,000/= maan napiga pind za darasan na nikapewa watoto wa bosi.
Ni mshkaji tu ndio kanipa mchongo.
Baada ya hapo nikapata kaz Samsung electronics Posta mkwanja wa kutosha tu na Baada ya hpo nikingia kampuni binafsi ya IT as project manager .KAZ ZOTE HIZ SIJAWAH FANYA INTERVIEW BALI NI WANA NA WASHKAJI KWEYE MAISHA NDIO WANAKUPA MICHONGO.
Learn power of having people.Lakin kwanza ya yote mtegemee Mungu na uwe comitted san to HARD WORK na ufanisi kweye michongo.USIKAE KIZEMBE