King Savi
Member
- Sep 5, 2014
- 71
- 263
Nimekusoma mkuu, sometimes mapenzi yanachangia ila sio kwa stage ya jamaa nafikiri yupo serious kwa kuwa nimepita kwenye hali hii anayopitia.
Kuna muda nilitamani kuandika uzi kama huu lakini nilishindwa na endapo ningeandika na kukutana na comment Kama zako nadhani ingenipa machungu zaidi cos mapenzi ni kitu cha kawaida, wengi wanaoumizwa na mapenzi ni kwamba wanaumia kwa vile walivyogharamia kwa wapenzi wao ila achana na kitu kinaitwa DEPRESSION bro unakufa huku unacheka.
Jamaa ni kwamba yupo kwenye Depression ila ni stage ya mwanzo, Depression haiharibu tabasamu lako ila inaua Tumaini lako, anaweza kuja mtu mnaefahamiana ukaongea nae vizurii kabisa na kucheka ila akiondoka tuu unatamani kujiua au unatamani ufe tuu lakini kuna muda akili inakurudia vyema na kujiona unahitaji kuishi.Stage Kama hii inahitaji faraja na sio kejeli wala negativity
Lakini yote kwa yote Mungu amsaidie member aondokane na hali aliyonayo.
Sent using Jamii Forums mobile app