Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

Nashangaa kuna watu wanampa pole

Ulweso
Wewe unajiita mgumba wakati una mtoto, acha ujinga samahani kwa kukuita hivyo, hukunywa sumu baada ya kufiwa na mmeo baba watoto wako, uje kunywa sahizi? Kuna wanawake hawajapata hata huyo mmoja na matusi wanapata lakini hawafikirii kujitoa roho, wewe anza na kidogo ulicho nacho MUNGU atakubariki kwa hicho hicho kidogo, fanya Ibada ili uwe jasiri kama Ayubu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha yeye kunywa sumu na mtoto daa kimeumiza moyo wangu sana, kwa kipato chake hicho akisimama MUNGU atamuona, kwanini asimuache huyo mzinzi na uzinzi wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa wewe mtoto amemkosea nini mpaka atake kumuua huyu Dada ni Lilith ,au whore of Babylon kabisa [emoji35][emoji35][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada badala ya kuachana nae huyo jamaa wewe uliamua kujimaliza wewe?

Achana nae anza maisha kiupande mwengine
 
nimesoma kidgo tu lkn nimejickia vbya sana,kwakel mungu mwema sana na akupe zaid uvumilivu sana hayo ndo majaribu ya shetan,sina cha kukuambia zaid ya pole na usali sana mungu atakusaidia kuwa karibu na mungu sana kwa maombi zaid kupitia iman yako tu utafika mbali.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndo nini kutuchamba?
Wana jf mmebadilika, kila mtu kaingiwa na huruma, hakuna comments za kejeli tena. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Mtarudi tu mule mule soon. Ngoja na mimi nishushe uzi wangu kuhusu marehemu mpauko. Huko aliko anawachora tu kwa unafiki wenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana mkuu.
Ngoja tupambane
Nmeskitika eti mtu anataka kujinyonga kwa sabb ya mwanaume..hivi wanawake mnajua kua ninyi ni wasaidiz wa wanaume tu na sio wategemez? Kama hili mnalijua hamna sababu ya kukata tamaa.
Kuna wanawake wamekua wajasili sana kpambana na Familia..
Kijijn kwetu mwaka 1983..kulikua na Mzee mmoja alikua na watoto 10..yy alikua mtu wa Pombe sana..nakumbuka alikua na ng'ombe kama 4 hivi...yule Mzee sikuwahi kumwona anahangaika na watoto..ispokua mkewe..mama alipika komoni watoto wavae na waende shule. Nakumbuka Mzee yule siku moja alifika home kwake alikuta ng'ombe hawajapelekw malishoni alipga mkewe na watoto 2 mmoja alikua agemate wangu..
Kaka wa mama yule walikuja kumchukua lakn alikataaa akasema siwez kuondoka nikawaacha watoto hapa..alipambana sana..mpaka mda huu naandika hapa..watoto wale wamekua na uchumi mkubwa sana..wamemjengea mama yao nyumba nzr sana..naweza Sema pale kjjn mama yule ndy mwenye uchumi...
Nataka niseme mwanamke hodar ni yule a napambana na watoto wake mpaka mwisho Bila kujali hali aliyonayo!! Watoto ni zawad yenu Mungu amewapa wanaume wasiwafanye muvunjike moyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee pole sana, ndio mana mimi sipend kejeli kwenye mambo serious

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Namtafakari hapa sijui nimuambie ama nikaushe Kwanza?

Una mikono, Una akili timamu halafu unavumilia ujinga. Hawezi kukamata hela ya dukani akasepa na mwanae? Biashara ya duka la dawa hata milioni Tu inaanzishwa kiroho Safi. Hizo hela za dukani anaempa mume sio yeye?

Yaani upoteze ndoto zako zote Kwa sababu ya mtu umekutana nae akiwa mtu mzima? Hapana aisee, kama aliweza kuwa mjane Hadi anakutana na huyu jamaa, Mungu Yule Yule atamsaidia asimame tena. Hakuna kuremba!
Nimependa jibu la mama... "Vumilia tu sasa utaenda wapi?" Wanawake bana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante!
Nmeskitika eti mtu anataka kujinyonga kwa sabb ya mwanaume..hivi wanawake mnajua kua ninyi ni wasaidiz wa wanaume tu na sio wategemez? Kama hili mnalijua hamna sababu ya kukata tamaa.
Kuna wanawake wamekua wajasili sana kpambana na Familia..
Kijijn kwetu mwaka 1983..kulikua na Mzee mmoja alikua na watoto 10..yy alikua mtu wa Pombe sana..nakumbuka alikua na ng'ombe kama 4 hivi...yule Mzee sikuwahi kumwona anahangaika na watoto..ispokua mkewe..mama alipika komoni watoto wavae na waende shule. Nakumbuka Mzee yule siku moja alifika home kwake alikuta ng'ombe hawajapelekw malishoni alipga mkewe na watoto 2 mmoja alikua agemate wangu..
Kaka wa mama yule walikuja kumchukua lakn alikataaa akasema siwez kuondoka nikawaacha watoto hapa..alipambana sana..mpaka mda huu naandika hapa..watoto wale wamekua na uchumi mkubwa sana..wamemjengea mama yao nyumba nzr sana..naweza Sema pale kjjn mama yule ndy mwenye uchumi...
Nataka niseme mwanamke hodar ni yule a napambana na watoto wake mpaka mwisho Bila kujali hali aliyonayo!! Watoto ni zawad yenu Mungu amewapa wanaume wasiwafanye muvunjike moyo!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namtafakari hapa sijui nimuambie ama nikaushe Kwanza?

Una mikono, Una akili timamu halafu unavumilia ujinga. Hawezi kukamata hela ya dukani akasepa na mwanae? Biashara ya duka la dawa hata milioni Tu inaanzishwa kiroho Safi. Hizo hela za dukani anaempa mume sio yeye?

Yaani upoteze ndoto zako zote Kwa sababu ya mtu umekutana nae akiwa mtu mzima? Hapana aisee, kama aliweza kuwa mjane Hadi anakutana na huyu jamaa, Mungu Yule Yule atamsaidia asimame tena. Hakuna kuremba!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa tegemezi ni janga, hasa kama akili inaamimi bila mwanaume wa kumtunza hawezi ishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mpaka Sasa lazima mapenzi yamepungua,kwa kuwa utahalamu wako ni kuuza dawa popote waweza kuweka Jambo,2 msiwekeze sana ktk kuolewa kwenye hii dunia ya Sasa wanaume tu wachache wengine ni suruali we mwache atafute mtoto kuta unamkuza mwanao.mpeleke hata shule ya kawaida.mazuri utakutana nayo mbele ya safari.pole Mdogo wangu

Asante
 
Back
Top Bottom