Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

Mama yangu aliachwa na baba yangu alijisikia vibaya sana alikuwa mpishi tu wa kiwanda ujira mdogo ila alipambana akaanza kuuza viatu kwa kutembeza saivi ana maisha yake baada ya miaka mingi nilisomeshwa na mama bila msaada wa baba embu mpeleke mwanao kwa mama yako akasome shule ya serikali jichange ukapange usiyakubali manyanyaso yatakayo kuaribia maisha yako kumbuka furaha ya maisha si ndoa tu mama toka nje acha kulia ikiwezekana muibie mda mwingine kwenye maisha lazima mmoja aumie mwingine acheke unyonge usikukae sana rohoni ndoa isiwe kipaumbele maishani mwako furaha yako iwe mbele kuliko kitu chichote.

Pole sana mamy
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo.

Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na mtoto. Nilihangaika sana sababu sikuwa na pakushika.

Mama yangu alikuwa Mtendaji alistaafu 2015, bahati nzuri akanipa mtaji milioni 1.5 nikafungua duka la dawa. Mungu akanisaidia nikawa naenda vizuri na maisha, 2016 nikapata mchumba aliyekuwa tempo TANESCO. Mshahara ulikuwa haukidhi na maisha ya kwao yalikuwa duni sana hivyo yeye ndio alikuwa tegemezi.

Kidogo mimi biashara haikunitupa hivyo akikwama nilikuwa namsaidia. Mungu akamsaidia Januari 2018 akapata ajira ya Uengineer mkoa mwingine. Turifurahi sababu tulimuomba sana Mungu.

Baada ya mwaka akanitolea mahari nikahamia anapoishi. Duka nikaweka mtu akaniiibia nikabaki ikabidi nilifunge. Jamaa akanifungulia duka lingine huku tulipohamia. Jamaa mshahara ukawa mzuri hakosi milioni 4 kwa mwezi pamoja na overtime, marupurupu kibao.

Akabadilika akawa hanishirikishi tena, hatupangi pamoja kama zamani tukipata kidogo tunapanga pamoja.

Changamoto ikawa uzazi ukagoma tangu 2018 mwenzangu ana hamu sana ya mtoto. Last year nikapata ujauzito Juni 26 ukatoka. Nimehangaika hospitali, dawa za kienyeji, tiba lishe, bila mafanikio.

Jamaa kaanzisha mahusiano na mfanya kazi wake mpaka kumleta ndani. Nikimuuliza anadai anatafuta mtoto.

Duka nililofungua jamaa hela zote anachukua.
Mtoto wangu shule mwaka huu kasimama. Nikimpigia mama anadai vumilia sasa utaenda wapi ushapoteza kila kitu?

Inafikia hatua unaona dunia imekutenga, huna thamani tena hasa inapofikia usiku jamaa analala nje ukimpigia anadai anatafuta mtoto.

Nilikata tamaa nikaamua nimpe sumu mtoto wangu na mimi ninywe ili haya maumivu yapotee. Juzi nimechukua mtoto tukaja guest house ili tufe wote. Kila nikitaka nimpe anywe anakuja na story nzuri tunacheka naogopa jamani.

Nisamehe Mungu wangu natubu mimi mbele zako. Eee Mungu baada ya kusoma kifo cha mpauko nisamehe mimi. Acha nipambane tu bado Mungu una makusudi na maisha yangu. Sasa hivi saa 11 sijafumba macho hata tone moja.

Jamani tupeane tu moyo haya maisha hatujui tunapitia yapi. Wewe unaweza kuwa na furaha usifikiri ni wote. Mtu akiomba ushauri humu tufarijiane tu wengine JF inatupa faraja sana.

Mbarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usihuzunike sana kukosa mtoto inawezekana tatizo ni mumeo, ila ujinga unamsumbua. Mi nina mfano hai wa dada yangu alihangaika kwa miaka mingi sana kuhusu uzazi mwisho akaachwa. Cha ajabu kapata mume mwingine hata miezi haikupita kashika ujauzito sasa hivi ana watoto watatu na shemeji yangu bado zero. Isitoshe wewe tayari una ushahidi kuwa unacho kizazi nahisi yeye hawezi kuonyesha kitu.

Kama ulivyoweza kuinuka mara ya kwanza utainuka tena kwa mara ya pili. Nakushauri ongea na mama urudi nyumbani usaidiane nae muyakabili maisha pamoja. Usimfiche holi wazo baya lililokupitia na umuombe akupe nafasi nyumbani hata kama ukimbini au chini chumbani uje upate utulivu uweze kujipanga upya.
 
Pole sana. Maisha yanachangamoto nyingi. Je huko anakokwenda kutafuta mtoto amefanikiwa kuwapata?

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri sana hili. Mbona hujalijibu?? Sisi wanaume ni viroja juu ya viroja yaani mpaka tunakuwa virojorojo kabisa yaani. Kidume unaacha kumtuliza mkeo ambaye imeingia ikaharibika unaenda kudanga huko na huko. Mwishowe unasaidiwa na wanaume wa kweli huko unadanganyiwa ni wako.
Hamida; Unayoyapitia mbona ya kawa tu??

Nilimfahamu mtu, naye alikuwa (RIP) any way kwa sasa lakini kabla hajafariki tulikutana ghafula mida ya jioni. Siku ilikuwa ishaenda saana hivyo kule alikokuwa akielekea asingeweza kufika kwa sababu ya usafiri. Hivyo nikamkaribisha kwangu apumzike usiku upite asubuhi aende zake. Alipingana saana hata akasema; Yupo tiyari kwenda kwa miguu japo njia ilikuwa ni ya hatar kwani alikuwa akatishe mbuga ya wanyama. Lakini baada ya kumshauri saana akakubali japo shingo upande.

Akalala kwangu. Katika stori za hapa na pale ndipo ghafula akaniambia kuwa; Leo ilikuwa siku yangu ya mwisho duniani. Nilikuwa nikainywe sumu kali sana ya panya nife. Kweli akanionesha ile sumu. Kumbe hata kilichokuwa kimemchelewesha mjini ni kwamba alikuwa kawasindikiza familia iondoke anywe bila bugudha.

Kisa; Amepima na kakuta analo!! Siku hizo kulikuwa ARVs zilikuwa hakuna. Tulizungumza usiku kucha na akafikia mahali pa kujikabidhi kwa Mungu. Nikamthibitishia kuwa; Kesho yako iko mikononi mwa Mungu.

Yule bwana alikuja kuishi miaka 2 tena mbele na kuyatengeneza maisha yake na mambo yake vizuri kabla hajafa.
Point yangu ni hii;
Hivi wewe unadhani kuwa huyo kidume anayesema anataka mtoto; Leo akimpata atamjali?? Kama angekuwa baba wa familia angelikupenda wewe na mwanao aliyekukuta naye. Hukusema kama ulimdanganya kuwa weye bado ni kigoli. Alijua kuwa weye ni mjane mwenye mtoto. Alijua kuwa mumeo kafariki kwa ajali.

Huyo, hajafundishwa na huu ulimwengu. Mwache atayajua na mwisho atakurudia tu. Hatakaa apate mtoto huko na kwa sababu ya uaminifu wako utapata mtoto.
Nenda kanisa la kiroho uombewe nawe utafanikiwa mtoto na hiyo nyumba yako itakuwa imara. Mwamini Bwana Yesu Kristo yeye mweza wa yote utafanikiwa
 
dada huyo mme wako mpe likizo. mwambie umechoka hizo drama, sacrifice upendo wako kwake for ur child's sake. usijiwazie ww tu. na pia kabla hujakutana nae uliwezaje kuishi mama!?. kwasasa muache maana c muda akili itamkaa sawa, trust me kama is real, what goes around comes around. omba likizo kuna vitu vya kuvumilia ila sio hvyo,. angalia unapoweza kuanzia halafu anzia papohapo, piga hatua polepole cha msingi uende mbele.

Nakuhakikishia in a year hutakua unalialia kama saiv utakua ushasahau yote haya na una majukum mengine, .. utakua busy kutusimulia njemba ilivokutafuna kimasihara zaidi na kiutuuzima maana utakua umemiss mkuyenge baada ya kuachana na huyo ndezi(he is immature).

Huyo mwanaume(kijana) kaanza kazi mwaka juzi tu hapo leo hii drama kibao, u wont last 5 years hata ukijishusha vipi. take your time, do ur things kwaajili ya mwanao. you are his/her legend. mfanye awe proud kusema "MY MOM IS THE BEST".
 
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo.

Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na mtoto. Nilihangaika sana sababu sikuwa na pakushika.

Mama yangu alikuwa Mtendaji alistaafu 2015, bahati nzuri akanipa mtaji milioni 1.5 nikafungua duka la dawa. Mungu akanisaidia nikawa naenda vizuri na maisha, 2016 nikapata mchumba aliyekuwa tempo TANESCO. Mshahara ulikuwa haukidhi na maisha ya kwao yalikuwa duni sana hivyo yeye ndio alikuwa tegemezi.

Kidogo mimi biashara haikunitupa hivyo akikwama nilikuwa namsaidia. Mungu akamsaidia Januari 2018 akapata ajira ya Uengineer mkoa mwingine. Turifurahi sababu tulimuomba sana Mungu.

Baada ya mwaka akanitolea mahari nikahamia anapoishi. Duka nikaweka mtu akaniiibia nikabaki ikabidi nilifunge. Jamaa akanifungulia duka lingine huku tulipohamia. Jamaa mshahara ukawa mzuri hakosi milioni 4 kwa mwezi pamoja na overtime, marupurupu kibao.

Akabadilika akawa hanishirikishi tena, hatupangi pamoja kama zamani tukipata kidogo tunapanga pamoja.

Changamoto ikawa uzazi ukagoma tangu 2018 mwenzangu ana hamu sana ya mtoto. Last year nikapata ujauzito Juni 26 ukatoka. Nimehangaika hospitali, dawa za kienyeji, tiba lishe, bila mafanikio.

Jamaa kaanzisha mahusiano na mfanya kazi wake mpaka kumleta ndani. Nikimuuliza anadai anatafuta mtoto.

Duka nililofungua jamaa hela zote anachukua.
Mtoto wangu shule mwaka huu kasimama. Nikimpigia mama anadai vumilia sasa utaenda wapi ushapoteza kila kitu?

Inafikia hatua unaona dunia imekutenga, huna thamani tena hasa inapofikia usiku jamaa analala nje ukimpigia anadai anatafuta mtoto.

Nilikata tamaa nikaamua nimpe sumu mtoto wangu na mimi ninywe ili haya maumivu yapotee. Juzi nimechukua mtoto tukaja guest house ili tufe wote. Kila nikitaka nimpe anywe anakuja na story nzuri tunacheka naogopa jamani.

Nisamehe Mungu wangu natubu mimi mbele zako. Eee Mungu baada ya kusoma kifo cha mpauko nisamehe mimi. Acha nipambane tu bado Mungu una makusudi na maisha yangu. Sasa hivi saa 11 sijafumba macho hata tone moja.

Jamani tupeane tu moyo haya maisha hatujui tunapitia yapi. Wewe unaweza kuwa na furaha usifikiri ni wote. Mtu akiomba ushauri humu tufarijiane tu wengine JF inatupa faraja sana.

Mbarikiwe
Mtetezi wako bado yu Hai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume tunakosea wapi....duh.....umemkubali kama alivyo....unaanza na kumuingizia vimalaya vyako ndani....hustahili kuishi wewe......Hamida pole....usihame hapo wala kuondoka.......huko nje hapati mtoto,,, sanasana atabambikiwa....Mungu aliemlinda huyo mtoto usimpe sumu, atakuinua kwa namna yake....pole sana
 
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo.

Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na mtoto. Nilihangaika sana sababu sikuwa na pakushika.

Mama yangu alikuwa Mtendaji alistaafu 2015, bahati nzuri akanipa mtaji milioni 1.5 nikafungua duka la dawa. Mungu akanisaidia nikawa naenda vizuri na maisha, 2016 nikapata mchumba aliyekuwa tempo TANESCO. Mshahara ulikuwa haukidhi na maisha ya kwao yalikuwa duni sana hivyo yeye ndio alikuwa tegemezi.

Kidogo mimi biashara haikunitupa hivyo akikwama nilikuwa namsaidia. Mungu akamsaidia Januari 2018 akapata ajira ya Uengineer mkoa mwingine. Turifurahi sababu tulimuomba sana Mungu.

Baada ya mwaka akanitolea mahari nikahamia anapoishi. Duka nikaweka mtu akaniiibia nikabaki ikabidi nilifunge. Jamaa akanifungulia duka lingine huku tulipohamia. Jamaa mshahara ukawa mzuri hakosi milioni 4 kwa mwezi pamoja na overtime, marupurupu kibao.

Akabadilika akawa hanishirikishi tena, hatupangi pamoja kama zamani tukipata kidogo tunapanga pamoja.

Changamoto ikawa uzazi ukagoma tangu 2018 mwenzangu ana hamu sana ya mtoto. Last year nikapata ujauzito Juni 26 ukatoka. Nimehangaika hospitali, dawa za kienyeji, tiba lishe, bila mafanikio.

Jamaa kaanzisha mahusiano na mfanya kazi wake mpaka kumleta ndani. Nikimuuliza anadai anatafuta mtoto.

Duka nililofungua jamaa hela zote anachukua.
Mtoto wangu shule mwaka huu kasimama. Nikimpigia mama anadai vumilia sasa utaenda wapi ushapoteza kila kitu?

Inafikia hatua unaona dunia imekutenga, huna thamani tena hasa inapofikia usiku jamaa analala nje ukimpigia anadai anatafuta mtoto.

Nilikata tamaa nikaamua nimpe sumu mtoto wangu na mimi ninywe ili haya maumivu yapotee. Juzi nimechukua mtoto tukaja guest house ili tufe wote. Kila nikitaka nimpe anywe anakuja na story nzuri tunacheka naogopa jamani.

Nisamehe Mungu wangu natubu mimi mbele zako. Eee Mungu baada ya kusoma kifo cha mpauko nisamehe mimi. Acha nipambane tu bado Mungu una makusudi na maisha yangu. Sasa hivi saa 11 sijafumba macho hata tone moja.

Jamani tupeane tu moyo haya maisha hatujui tunapitia yapi. Wewe unaweza kuwa na furaha usifikiri ni wote. Mtu akiomba ushauri humu tufarijiane tu wengine JF inatupa faraja sana.

Mbarikiwe
Aiseee pole sana omba Mungu ni majaribu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nipo na tanesco na hata sasa nipo dodoma kama hakuamini ni kweli yote uliyosema ni sawa
Nimejumuisha mshahara, overtime pamoja na safari
Safar kila akitoka analipwa laki 1 kwa siku na hajawahi kumaliza mwezi kazini akikaa Sana wiki 1... Sasa hv navyoongea yupo mwanza
Kama unabisha uliza
Wiki 2 au 3 zilizopita alikua dodoma kwenye kikao na wazili pia uliza ....Safar tu kwa mwez sio chini ya mil 1,. Over time Kuna muda inafika kiwango Cha mshahara nahapo m4 nikiwango Cha chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This shit is real..Sina comment
Ila pole Sana.
 
Maisha ya mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke yana mapito mengi sana.
Tufarijiane
Jf ni platform nzuri sana kiukweli inafariji sana
Hapa Vituko mtandaoni kule wazee wa kuweka mzigo pale MMU bado kimasihara
Tufarijiane
 
Huyu dada mwenye uzi bado yupo hai kweli, sioni post yake yoyote baada ya huu uzi na nyuzi zake zote ukizisoma ambazo ashazipost zinalenga kitu hichi hichi. Dada mwenye uzi kama upo unaendeleaje??
 
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo.

Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na mtoto. Nilihangaika sana sababu sikuwa na pakushika.

Mama yangu alikuwa Mtendaji alistaafu 2015, bahati nzuri akanipa mtaji milioni 1.5 nikafungua duka la dawa. Mungu akanisaidia nikawa naenda vizuri na maisha, 2016 nikapata mchumba aliyekuwa tempo TANESCO. Mshahara ulikuwa haukidhi na maisha ya kwao yalikuwa duni sana hivyo yeye ndio alikuwa tegemezi.

Kidogo mimi biashara haikunitupa hivyo akikwama nilikuwa namsaidia. Mungu akamsaidia Januari 2018 akapata ajira ya Uengineer mkoa mwingine. Turifurahi sababu tulimuomba sana Mungu.

Baada ya mwaka akanitolea mahari nikahamia anapoishi. Duka nikaweka mtu akaniiibia nikabaki ikabidi nilifunge. Jamaa akanifungulia duka lingine huku tulipohamia. Jamaa mshahara ukawa mzuri hakosi milioni 4 kwa mwezi pamoja na overtime, marupurupu kibao.

Akabadilika akawa hanishirikishi tena, hatupangi pamoja kama zamani tukipata kidogo tunapanga pamoja.

Changamoto ikawa uzazi ukagoma tangu 2018 mwenzangu ana hamu sana ya mtoto. Last year nikapata ujauzito Juni 26 ukatoka. Nimehangaika hospitali, dawa za kienyeji, tiba lishe, bila mafanikio.

Jamaa kaanzisha mahusiano na mfanya kazi wake mpaka kumleta ndani. Nikimuuliza anadai anatafuta mtoto.

Duka nililofungua jamaa hela zote anachukua.
Mtoto wangu shule mwaka huu kasimama. Nikimpigia mama anadai vumilia sasa utaenda wapi ushapoteza kila kitu?

Inafikia hatua unaona dunia imekutenga, huna thamani tena hasa inapofikia usiku jamaa analala nje ukimpigia anadai anatafuta mtoto.

Nilikata tamaa nikaamua nimpe sumu mtoto wangu na mimi ninywe ili haya maumivu yapotee. Juzi nimechukua mtoto tukaja guest house ili tufe wote. Kila nikitaka nimpe anywe anakuja na story nzuri tunacheka naogopa jamani.

Nisamehe Mungu wangu natubu mimi mbele zako. Eee Mungu baada ya kusoma kifo cha mpauko nisamehe mimi. Acha nipambane tu bado Mungu una makusudi na maisha yangu. Sasa hivi saa 11 sijafumba macho hata tone moja.

Jamani tupeane tu moyo haya maisha hatujui tunapitia yapi. Wewe unaweza kuwa na furaha usifikiri ni wote. Mtu akiomba ushauri humu tufarijiane tu wengine JF inatupa faraja sana.

Mbarikiwe
Dada,

MUNGU aliye hai , MUNGU wa ISRAEL amekupa maisha mema unayoyatamani kuanzia sasa napoandika hapa kwa jina lipitalo majina yote jina la KRISTO YESU mwana wa MUNGU aliye hai.

MUNGU ni mwaminifu, anatuwazia yaliyo mema siku zote,
Yeremia 29:11.

Ondoa shaka , ondoa woga , inuka simama songa mbele, maana yamekwisha hayo yote.
 
Back
Top Bottom