Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo.

Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na mtoto. Nilihangaika sana sababu sikuwa na pakushika.

Mama yangu alikuwa Mtendaji alistaafu 2015, bahati nzuri akanipa mtaji milioni 1.5 nikafungua duka la dawa. Mungu akanisaidia nikawa naenda vizuri na maisha, 2016 nikapata mchumba aliyekuwa tempo TANESCO. Mshahara ulikuwa haukidhi na maisha ya kwao yalikuwa duni sana hivyo yeye ndio alikuwa tegemezi.

Kidogo mimi biashara haikunitupa hivyo akikwama nilikuwa namsaidia. Mungu akamsaidia Januari 2018 akapata ajira ya Uengineer mkoa mwingine. Turifurahi sababu tulimuomba sana Mungu.

Baada ya mwaka akanitolea mahari nikahamia anapoishi. Duka nikaweka mtu akaniiibia nikabaki ikabidi nilifunge. Jamaa akanifungulia duka lingine huku tulipohamia. Jamaa mshahara ukawa mzuri hakosi milioni 4 kwa mwezi pamoja na overtime, marupurupu kibao.

Akabadilika akawa hanishirikishi tena, hatupangi pamoja kama zamani tukipata kidogo tunapanga pamoja.

Changamoto ikawa uzazi ukagoma tangu 2018 mwenzangu ana hamu sana ya mtoto. Last year nikapata ujauzito Juni 26 ukatoka. Nimehangaika hospitali, dawa za kienyeji, tiba lishe, bila mafanikio.

Jamaa kaanzisha mahusiano na mfanya kazi wake mpaka kumleta ndani. Nikimuuliza anadai anatafuta mtoto.

Duka nililofungua jamaa hela zote anachukua.
Mtoto wangu shule mwaka huu kasimama. Nikimpigia mama anadai vumilia sasa utaenda wapi ushapoteza kila kitu?

Inafikia hatua unaona dunia imekutenga, huna thamani tena hasa inapofikia usiku jamaa analala nje ukimpigia anadai anatafuta mtoto.

Nilikata tamaa nikaamua nimpe sumu mtoto wangu na mimi ninywe ili haya maumivu yapotee. Juzi nimechukua mtoto tukaja guest house ili tufe wote. Kila nikitaka nimpe anywe anakuja na story nzuri tunacheka naogopa jamani.

Nisamehe Mungu wangu natubu mimi mbele zako. Eee Mungu baada ya kusoma kifo cha mpauko nisamehe mimi. Acha nipambane tu bado Mungu una makusudi na maisha yangu. Sasa hivi saa 11 sijafumba macho hata tone moja.

Jamani tupeane tu moyo haya maisha hatujui tunapitia yapi. Wewe unaweza kuwa na furaha usifikiri ni wote. Mtu akiomba ushauri humu tufarijiane tu wengine JF inatupa faraja sana.

Mbarikiwe
Pole sana mpendwa mteja wetu tafadhali tusaidie namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenu wanaume wenzangu, kama unaweza kumwamini na kumsaidia mtu ambaye siye ndugu yako, unathubutuje kushindwa kumsaidia mkeo?

Hata kama unahisi mapenzi hayapo tena, jitahidi uwezavyo kumsaidia mkeo/mtalaka wako atoke kwenye hali ngumu yoyote inayomkabili, ni vema kuachana kwa amani, maisha haya hayana kanuni, mtendee wema mkeo/mumeo/mtalaka wako ili kujiwekea akiba ya kesho. KUMBUKENI, wema hauozi.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo.

Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na mtoto. Nilihangaika sana sababu sikuwa na pakushika.

Mama yangu alikuwa Mtendaji alistaafu 2015, bahati nzuri akanipa mtaji milioni 1.5 nikafungua duka la dawa. Mungu akanisaidia nikawa naenda vizuri na maisha, 2016 nikapata mchumba aliyekuwa tempo TANESCO. Mshahara ulikuwa haukidhi na maisha ya kwao yalikuwa duni sana hivyo yeye ndio alikuwa tegemezi.

Kidogo mimi biashara haikunitupa hivyo akikwama nilikuwa namsaidia. Mungu akamsaidia Januari 2018 akapata ajira ya Uengineer mkoa mwingine. Turifurahi sababu tulimuomba sana Mungu.

Baada ya mwaka akanitolea mahari nikahamia anapoishi. Duka nikaweka mtu akaniiibia nikabaki ikabidi nilifunge. Jamaa akanifungulia duka lingine huku tulipohamia. Jamaa mshahara ukawa mzuri hakosi milioni 4 kwa mwezi pamoja na overtime, marupurupu kibao.

Akabadilika akawa hanishirikishi tena, hatupangi pamoja kama zamani tukipata kidogo tunapanga pamoja.

Changamoto ikawa uzazi ukagoma tangu 2018 mwenzangu ana hamu sana ya mtoto. Last year nikapata ujauzito Juni 26 ukatoka. Nimehangaika hospitali, dawa za kienyeji, tiba lishe, bila mafanikio.

Jamaa kaanzisha mahusiano na mfanya kazi wake mpaka kumleta ndani. Nikimuuliza anadai anatafuta mtoto.

Duka nililofungua jamaa hela zote anachukua.
Mtoto wangu shule mwaka huu kasimama. Nikimpigia mama anadai vumilia sasa utaenda wapi ushapoteza kila kitu?

Inafikia hatua unaona dunia imekutenga, huna thamani tena hasa inapofikia usiku jamaa analala nje ukimpigia anadai anatafuta mtoto.

Nilikata tamaa nikaamua nimpe sumu mtoto wangu na mimi ninywe ili haya maumivu yapotee. Juzi nimechukua mtoto tukaja guest house ili tufe wote. Kila nikitaka nimpe anywe anakuja na story nzuri tunacheka naogopa jamani.

Nisamehe Mungu wangu natubu mimi mbele zako. Eee Mungu baada ya kusoma kifo cha mpauko nisamehe mimi. Acha nipambane tu bado Mungu una makusudi na maisha yangu. Sasa hivi saa 11 sijafumba macho hata tone moja.

Jamani tupeane tu moyo haya maisha hatujui tunapitia yapi. Wewe unaweza kuwa na furaha usifikiri ni wote. Mtu akiomba ushauri humu tufarijiane tu wengine JF inatupa faraja sana.

Mbarikiwe
Pole sana ndg, usifanye tena hayo maamuzi ya kutaka kujiua. Endelea kupambana hata biashara ndogondogo Mungu atakushika mkono.
 
Yaani umezaa una mtoto mkubwa tu unaumizwa kisa huna mtoto na huyo jamaa yaani dada wewe!!!!!!jee ambao hawakuzaa kbs jee yaani ukaumie kisa msaliti?nakushauri na kukuambia ukweli wanaume huwa hawaridhiki hata ukimzalia kumi mwanaume hata umpe na nyuma hatoridhika katu..samahani kwa comment yangu ila ndo ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jamani Data ujue tumetofautiana kwenye level ya uelewa,uchambuaji taarifa, ufanyaji maamuzi, uchukuaji hatua, ujasiri wa kuanza upya( mabadiliko) kwa madaraja ya A,B,C,D,E na wengine F
Sasa huyu mwenye C au F kabisa anakuhitaji wewe mwenye A ili asonge walau, nafikiri ndio lengo la ushauri nasaha.
Angeondoka mwenyewe akajitupe baharini afe... Kitendo cha kutaka thubutu kumuua mwanae hakivumiliki hata kidogo.. Bahati yake hatujuani..

Huyu ningemtafuta mimi mwenyewe NIMUUE. Maana sidhani kama mwanae atabaki salama tena.

Hata asipomuua atamkuza kwa mateso sana. Mwanaharamu huyu.
 
Miss Kuna vitu ni rahisi tu kuvifikiria kwa juu
Lkn Kama unapitia ningum mno
fikiria mtu uliamini ni mwenzako na hakua hivyo anakuja kufanya kisa mtoto
Binafsi nimehangaika hospital naambiwa Sina tatizo
Nimekunywa dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio
Mtu afanye kwa starehe yake sio sababu iwe Mimi kua mgumba
Bado anafanya na watu wa karibu ambao pia uliwaamin Kama wifi
Ukifikiria ulikua na maisha yako before na mtoto wako tena ya Amani
Umepoteza kilakitu ukirudi kwa wazazi...mzazi anadai rudi tu hata Dada zako wanavumilia. Ndan ndugu zake wakija unatukanwa kisa huna mtoto kweli
Kiukwel nilikosea lkn nawaza nimepoteza kilakitu sujui nianze na kipi
Pia naumia baba mtoto alipofariki ndugu walinizulum kilakitu
Mi hua siwez ugomvi nililia tu nakuamini Mungu
Mapito nimengi nivile kuandika yote siwezi
Kinachoniuma mtoto tangu nursery anasoma medium Sasa hv yupo lapili nafanya mpango arudi shule ya kawaida naumia mno bt Asanten kwa mawazo yenu naamini kilakitu kinatokea kwa sababu
Hamida bahati nzuri sana mimi nineshakusoma kwenye nyuzi nyingine tena kwa ID mbili tofauti, na kama utakumbuka kuna mahali nilikushauri kuwa huu sasa ni wakati wa kuchukua hatua tena haikuwa umeelezea kwa upana huu hapa, hasa kwenye suala la kupata mtoto na mumeo kuleta mwanamke hadi nyumbani kwenu, ushauri ulipewa mzuri sana tu, ila nafikiri changamoto yako kubwa ni kukosa ujasiri wa kupiga hatua kutoka kwenye hiyo toxic relationship, usijihurumie mwanzoni lazima
Pole sana mpendwa mteja wetu tafadhali tusaidie namba yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
😳mteja au shemeji/ wifi yenu?
 
Dunia hii nahisi kuna wengine wanapitia magumu ili mbinguni waingie moja kwamoja

Kuna bwana mmoja aliniambia kuwa 'Tajiri anatakiwa anunue pepo kwautajiri wake namasikini anatakiwa ainunue pepo kwasubira yake'

Kwahiyo ndugu yangu wewe kuwa nasubira maana masikini tumeumbiwa subira kwamaana hiyo tukiweza kuvuta subira basi pepo niyetu kwamaana ukiwa nasubira uwezi kufanya baya lolote Chini yajua na mwisho wasiku roho zetu mungu atazichukua hali yakuwa tukiwa katika hali ya subira.

Kwaulichotaka kukifanya wewe niukosefu wasubira. MUNGU akutie nguvu na moyo wakumtumainia yeye tu AMINA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzazi unae na yupo hai, na anakwake kabisa alafu unapata shida uko, rudisha mpira kwa kipa.
 
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo.

Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na mtoto. Nilihangaika sana sababu sikuwa na pakushika.

Mama yangu alikuwa Mtendaji alistaafu 2015, bahati nzuri akanipa mtaji milioni 1.5 nikafungua duka la dawa. Mungu akanisaidia nikawa naenda vizuri na maisha, 2016 nikapata mchumba aliyekuwa tempo TANESCO. Mshahara ulikuwa haukidhi na maisha ya kwao yalikuwa duni sana hivyo yeye ndio alikuwa tegemezi.

Kidogo mimi biashara haikunitupa hivyo akikwama nilikuwa namsaidia. Mungu akamsaidia Januari 2018 akapata ajira ya Uengineer mkoa mwingine. Turifurahi sababu tulimuomba sana Mungu.

Baada ya mwaka akanitolea mahari nikahamia anapoishi. Duka nikaweka mtu akaniiibia nikabaki ikabidi nilifunge. Jamaa akanifungulia duka lingine huku tulipohamia. Jamaa mshahara ukawa mzuri hakosi milioni 4 kwa mwezi pamoja na overtime, marupurupu kibao.

Akabadilika akawa hanishirikishi tena, hatupangi pamoja kama zamani tukipata kidogo tunapanga pamoja.

Changamoto ikawa uzazi ukagoma tangu 2018 mwenzangu ana hamu sana ya mtoto. Last year nikapata ujauzito Juni 26 ukatoka. Nimehangaika hospitali, dawa za kienyeji, tiba lishe, bila mafanikio.

Jamaa kaanzisha mahusiano na mfanya kazi wake mpaka kumleta ndani. Nikimuuliza anadai anatafuta mtoto.

Duka nililofungua jamaa hela zote anachukua.
Mtoto wangu shule mwaka huu kasimama. Nikimpigia mama anadai vumilia sasa utaenda wapi ushapoteza kila kitu?

Inafikia hatua unaona dunia imekutenga, huna thamani tena hasa inapofikia usiku jamaa analala nje ukimpigia anadai anatafuta mtoto.

Nilikata tamaa nikaamua nimpe sumu mtoto wangu na mimi ninywe ili haya maumivu yapotee. Juzi nimechukua mtoto tukaja guest house ili tufe wote. Kila nikitaka nimpe anywe anakuja na story nzuri tunacheka naogopa jamani.

Nisamehe Mungu wangu natubu mimi mbele zako. Eee Mungu baada ya kusoma kifo cha mpauko nisamehe mimi. Acha nipambane tu bado Mungu una makusudi na maisha yangu. Sasa hivi saa 11 sijafumba macho hata tone moja.

Jamani tupeane tu moyo haya maisha hatujui tunapitia yapi. Wewe unaweza kuwa na furaha usifikiri ni wote. Mtu akiomba ushauri humu tufarijiane tu wengine JF inatupa faraja sana.

Mbarikiwe
Ulizoea vya dezo kukosa pesa kunakufanya unywe sumu?? Yaani mshahara na marupurupu vya mume wako milioni 4 na plus vimekutoa roho kiasi hiki??
 
Miss Kuna vitu ni rahisi tu kuvifikiria kwa juu
Lkn Kama unapitia ningum mno
fikiria mtu uliamini ni mwenzako na hakua hivyo anakuja kufanya kisa mtoto
Binafsi nimehangaika hospital naambiwa Sina tatizo
Nimekunywa dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio
Mtu afanye kwa starehe yake sio sababu iwe Mimi kua mgumba
Bado anafanya na watu wa karibu ambao pia uliwaamin Kama wifi
Ukifikiria ulikua na maisha yako before na mtoto wako tena ya Amani
Umepoteza kilakitu ukirudi kwa wazazi...mzazi anadai rudi tu hata Dada zako wanavumilia. Ndan ndugu zake wakija unatukanwa kisa huna mtoto kweli
Kiukwel nilikosea lkn nawaza nimepoteza kilakitu sujui nianze na kipi
Pia naumia baba mtoto alipofariki ndugu walinizulum kilakitu
Mi hua siwez ugomvi nililia tu nakuamini Mungu
Mapito nimengi nivile kuandika yote siwezi
Kinachoniuma mtoto tangu nursery anasoma medium Sasa hv yupo lapili nafanya mpango arudi shule ya kawaida naumia mno bt Asanten kwa mawazo yenu naamini kilakitu kinatokea kwa sababu
Wewe unajiita mgumba wakati una mtoto, acha ujinga samahani kwa kukuita hivyo, hukunywa sumu baada ya kufiwa na mmeo baba watoto wako, uje kunywa sahizi? Kuna wanawake hawajapata hata huyo mmoja na matusi wanapata lakini hawafikirii kujitoa roho, wewe anza na kidogo ulicho nacho MUNGU atakubariki kwa hicho hicho kidogo, fanya Ibada ili uwe jasiri kama Ayubu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom