Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

Mungu nisamehe kwa nilichotaka kufanya

Pole sana. Jipe Moyo. Anza maisha kumcha Mungu. YESU alisema maneno haya.
Mathayo 11
28 Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
Mtafute sana Mungu atakusaidia. Dunia ikikutupa Mungu yeye anakukaribisha.
 
Sijaona mantiki ya mtoa mada kwa nini ajiue ila kama anataka fanya huo ujinga awahi nitampa kamaba bure ila mtoto amuache,kwamba mnataka mtuambie huyu ndugu yeye alizaliwa apate raha tuu? Yaani mtu haumwi popote eti kisa changamoto za maisha ndo ujiue.Watu dizaini ya huyu ndio wanakuaga magaidi
Huna ulemavu,huumwi chochote hauko maeneo ya vita nk eti ujiue kisa mtu mja anajistarehesha kwa nafsi yake..sorry for calling you stupid..ni lazima tujifunze kukabiliana na changamoto za maisha kwani wengine wanafanya nini hadi wanaishi?
Mkuu choice variable,

Kwanza asante kwa ushauri mzuri kwa mtoa mada.
Labda tueleweshane kidogo hapa:

Inawezekana mtoa mada amepitia mapito mengi zaidi ya hayo aliyoyaandika,, ambayo yamepelekea kwa njia moja au nyingine kupata ugonjwa wa kushuka moyo.

Athari kuu ya ugonjwa huu Ni
' kucommite suicide' Tena kwa sababu ndogo Sana

Kwaiyo mtu mwenye ugonjwa huu akipitia pito lolote hata Kama Ni dogo kiasi gani huwa ana tabia ya kufanya 'summation'ya mapito yote aliyowahi kupitia huko nyuma,,alafu ndio anafanya uamuzi .
Hii ni mbaya Sana

Kuna kisa flani cha kujiua kilitangazwa kwenye redio mwaka flani.nakumbuka ilikua Ni tarehe 1 mwezi wa Kwanza,(mwaka nimesahau) ila ilikua Ni sikuu ya mwaka mpya.

Kisa hicho kilisema kwamba mume amekutwa amejinyonga na sababu kuu Ni mke wake kukataa kumpikia samaki usiku wa kuvuka mwaka,,,na mke wake alimwambia kuwa asingeweza kumpikia samaki hizo hiyo siku kwa sababu ameziaanda kwa ajili ya kesho sikukuu ambayo ndio mwaka mpya sasa

Kwa akili ya kawaida haiwezekani kujiua kwa sababu ya samaki ,

Kwaiyo unaona kabisa inawezekana mume huyo aliikua shida nyingine tofauti na hiyo

Kwaiyo inawezekana mtoa mada ana
Shida nyingine nyingi TU ila hajaamua kuziweka hapa

AU
Shida Ni changamoto za maisha tu ila Ana uwezo mdogo wa kuhimili

Hivyo tujitahidi kumshauri kwa hekima zaidi.

Asanteh

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Pole saana mkuu new hamida

Naamini MUNGU ni mwema ,amekusamehe na atazidi kukulinda na kukuvusha katika Kila Hali ,

Usikate tamaa Tena,nyakati nzuri na za furaha zaidi zinakuja na zipo kwa ajili yako ,

As long as una mtoto,Lea mtoto wako ,huyo ndio faraja yako

Ingekua vema ukaondoka hapo kwa mume wako,ukarudi kwanza nyumbani ,ili uone Ni jinsi gani unaweza kuanza upya maisha yako

Usiogope kuanza upya,kwani aliekusaidia mara ya kwanza bado yu hai,nae Ni Mungu alie juu,

HE is there just to help you for the second time.

Huo ndio ushauri wangu,jaribu kuangali na ushauri mwingine unaoona unaweza ukakusaidia

Asanteh

Sent using Jamii Forums mobile app,using POP 2 power
 
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo.

Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na mtoto. Nilihangaika sana sababu sikuwa na pakushika.

Mama yangu alikuwa Mtendaji alistaafu 2015, bahati nzuri akanipa mtaji milioni 1.5 nikafungua duka la dawa. Mungu akanisaidia nikawa naenda vizuri na maisha, 2016 nikapata mchumba aliyekuwa tempo TANESCO. Mshahara ulikuwa haukidhi na maisha ya kwao yalikuwa duni sana hivyo yeye ndio alikuwa tegemezi.

Kidogo mimi biashara haikunitupa hivyo akikwama nilikuwa namsaidia. Mungu akamsaidia Januari 2018 akapata ajira ya Uengineer mkoa mwingine. Turifurahi sababu tulimuomba sana Mungu.

Baada ya mwaka akanitolea mahari nikahamia anapoishi. Duka nikaweka mtu akaniiibia nikabaki ikabidi nilifunge. Jamaa akanifungulia duka lingine huku tulipohamia. Jamaa mshahara ukawa mzuri hakosi milioni 4 kwa mwezi pamoja na overtime, marupurupu kibao.

Akabadilika akawa hanishirikishi tena, hatupangi pamoja kama zamani tukipata kidogo tunapanga pamoja.

Changamoto ikawa uzazi ukagoma tangu 2018 mwenzangu ana hamu sana ya mtoto. Last year nikapata ujauzito Juni 26 ukatoka. Nimehangaika hospitali, dawa za kienyeji, tiba lishe, bila mafanikio.

Jamaa kaanzisha mahusiano na mfanya kazi wake mpaka kumleta ndani. Nikimuuliza anadai anatafuta mtoto.

Duka nililofungua jamaa hela zote anachukua.
Mtoto wangu shule mwaka huu kasimama. Nikimpigia mama anadai vumilia sasa utaenda wapi ushapoteza kila kitu?

Inafikia hatua unaona dunia imekutenga, huna thamani tena hasa inapofikia usiku jamaa analala nje ukimpigia anadai anatafuta mtoto.

Nilikata tamaa nikaamua nimpe sumu mtoto wangu na mimi ninywe ili haya maumivu yapotee. Juzi nimechukua mtoto tukaja guest house ili tufe wote. Kila nikitaka nimpe anywe anakuja na story nzuri tunacheka naogopa jamani.

Nisamehe Mungu wangu natubu mimi mbele zako. Eee Mungu baada ya kusoma kifo cha mpauko nisamehe mimi. Acha nipambane tu bado Mungu una makusudi na maisha yangu. Sasa hivi saa 11 sijafumba macho hata tone moja.

Jamani tupeane tu moyo haya maisha hatujui tunapitia yapi. Wewe unaweza kuwa na furaha usifikiri ni wote. Mtu akiomba ushauri humu tufarijiane tu wengine JF inatupa faraja sana.

Mbarikiwe
Wewe ni MPUMBAVU tu. Period.
 
Pole sana aisee... Utasimama tena usikate tamaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Woyooooooooooooo.
Captain wa uzi pendwa hatimae umerud uraiani.Karibu sana.
NB.
Samahan kwa mchango usio mahusus kwenye uzi huu.
Mfariji mkuu ni Mungu .Kama ulimuomba akakupa mume basi muombe akupe tena mtoto na asawazishe hizo migogoro.
 
Ndiyo ilivyo katika maisha ili mradi tusikate tamaa kuna kupata na kukosa,,
Ndiyo maana kuna vipofu na viziwi wote hawa wanatamani wawe kama ww!
Kuna vilema wanatamani wawe kama ww,!
Umezaliwa mshindi usikate tamaa..ulizishinda takribani mbegu million 5 ukazaliwa ww, kwanini ukate tamaa, mpaka sasa u mshindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana.

Suicide is a permanent solution to a temporary problem.

Mimi nikiangalia watu wanaonitegemea siwezi kufikiria suicide.

Kama hujaiona, tafuta movie moja inaitwa "It's A Wonderful Life" uangalie. Jamaa alitaka kujiua, akaoneshwa maisha yaliyoendelea bila yeye kuwepo yatakavyokuwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Kaka matatizo ni temporary tu .Tena temporary square .Mimi nikikutana na changamoto huwa najikumbusha matatizo makubwa ambayo nishakumbana nayo nikasolve so huwa nasema this too shall pass! Na kweli soon nasolve.toka lini usiku ukadumu bwana? Mapambazuko yatatokea tu lazima asubuhi ifike

Halafu matatizo mengine mengi ni gharama tu.

Kuna cousin wangu mmoja anasema ukiwa na ugumu wowote unaotatuliwa kwa pesa, ugumu huo si tatizo, hiyo ni gharama tu.

Matatizo halisi hayatatuliwi kwa pesa.

Inaweza kuwa kweli.ila kusema kweli sijiui mie.nothing will amaze me.labda iwe ugonjwa wa kunilaza chini nipoteze fahamu.ila Jambo ambalo linakuja ila afya yangu ipo still.nitafight .am always a winner.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti mtu kaamua kugegeda mtu wake uko.wewe huku unajiua pembeni na mtoto wako juu.hata shetani atashangaa eti.huyu dada bna kafeli sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Miss Kuna vitu ni rahisi tu kuvifikiria kwa juu
Lkn Kama unapitia ningum mno
fikiria mtu uliamini ni mwenzako na hakua hivyo anakuja kufanya kisa mtoto
Binafsi nimehangaika hospital naambiwa Sina tatizo
Nimekunywa dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio
Mtu afanye kwa starehe yake sio sababu iwe Mimi kua mgumba
Bado anafanya na watu wa karibu ambao pia uliwaamin Kama wifi
Ukifikiria ulikua na maisha yako before na mtoto wako tena ya Amani
Umepoteza kilakitu ukirudi kwa wazazi...mzazi anadai rudi tu hata Dada zako wanavumilia. Ndan ndugu zake wakija unatukanwa kisa huna mtoto kweli
Kiukwel nilikosea lkn nawaza nimepoteza kilakitu sujui nianze na kipi
Pia naumia baba mtoto alipofariki ndugu walinizulum kilakitu
Mi hua siwez ugomvi nililia tu nakuamini Mungu
Mapito nimengi nivile kuandika yote siwezi
Kinachoniuma mtoto tangu nursery anasoma medium Sasa hv yupo lapili nafanya mpango arudi shule ya kawaida naumia mno bt Asanten kwa mawazo yenu naamini kilakitu kinatokea kwa sababu
 
Kwanza futa hyo kauli ya ugumba,utakuwaje mgumba na wewe una mtoto bna?

Nitakucheki pm baadae hamida.ila relax tumepewa maisha tuyaishi.maisha yanachangamoto nyiingi acha tu.ila lazima tuishi relax achia universe iamue.mambo mazuri Bado yapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni MPUMBAVU tu. Period.
jamani Data ujue tumetofautiana kwenye level ya uelewa,uchambuaji taarifa, ufanyaji maamuzi, uchukuaji hatua, ujasiri wa kuanza upya(kukubali mabadiliko) kwa madaraja ya A,B,C,D,E na wengine F
Sasa huyu mwenye C au F kabisa anakuhitaji wewe mwenye A ili asonge walau, nafikiri ndio lengo la ushauri nasaha.
 
Back
Top Bottom