Bila shaka ni huyu huyu dada lady in actionHuyu dada mwenye uzi bado yupo hai kweli, sioni post yake yoyote baada ya huu uzi na nyuzi zake zote ukizisoma ambazo ashazipost zinalenga kitu hichi hichi. Dada mwenye uzi kama upo unaendeleaje??
Huyu dada mwenye uzi bado yupo hai kweli, sioni post yake yoyote baada ya huu uzi na nyuzi zake zote ukizisoma ambazo ashazipost zinalenga kitu hichi hichi. Dada mwenye uzi kama upo unaendeleaje??
Kwa stori yake, huyu ndio lady in action aliyepata 18M za urithi mume kaanza kumpetipeti na kuomba mkopo wa 2MAny update????
Dahhhh! Mungu amtimizie haja ya moyo wake na atutetee sana wanawake![emoji120]Kwa stori yake, huyu ndio lady in action aliyepata 18M za urithi mume kaanza kumpetipeti na kuomba mkopo wa 2M
Nilikuwa nimemshauri ampe tu hizo 2M ila kwakusoma hili,naungana naye asimpe kwa kweli
We na Avatar yako hiyo huna haja ya utetezi maana tayari unaooDahhhh! Mungu amtimizie haja ya moyo wake na atutetee sana wanawake![emoji120]
HahaaWe na Avatar yako hiyo huna haja ya utetezi maana tayari unaoo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app