Nazjaz kwa matukio tu hujambo.
kuna siku tutasikia umenusurika kwenye ajali ya ndege
yaani mkekuwepo saa sita iyo angekuwa anakoroma zake wala asingekusaidiayamekuwa hayo!!!!!!!!!!!!
Hao ndo rafiki zangu hapa jamvini.
Kanisani huwa siendi wala msikitini siendi.
Labda sadaka yangu niwapelekee watoto yatima.
Libwana lenyewe bila shaka lina deka sana. Labda wangesafiri na kukumbwa na dhahma, hilo libwana lingeanza kulia na kuomba lisaidiwe na nazjaz, huku likisema mi aogopa mmana yule bwana wa kujamba ovyo amenusurika?