Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,684
- 8,832
- roselyne1
- Bishop Hiluka
- Maxence Melo
- Chauro
- lutamyo
- Husninyo
-
Romance
Jamani wapenzi wa JF sina la kusema, ilikuwa na mie nisafiri kwenda Pemba, lakini n ikajisikia vibaya siku nzima, hivyo nikakata safari yangu.
Usiku nikapigiwasimu kuwa meli imezama....Mungu mkubwa