Mungu ni mwema.... Nimenusurika na kifo baharini.

Hao ndo rafiki zangu hapa jamvini.
Kanisani huwa siendi wala msikitini siendi.
Labda sadaka yangu niwapelekee watoto yatima.
 
Hongera san sana, sasa fanya mpango uerekebishe mwenendo wa maisha yako you have given last chance ya kuweka mambo yako sawa. Hongera zako na pole kwa wafiwa wengine...
 
Katka watu nisio na iman nao ni huyu nazjaz, ckuamini kabisaaa, maana thread zako! Aya pole mwaya kwa mfadhaiko,na shukuru mungu kwa ulivyokoswakoswa!
 
Hao ndo rafiki zangu hapa jamvini.
Kanisani huwa siendi wala msikitini siendi.
Labda sadaka yangu niwapelekee watoto yatima.

Basi inaonekana mizimu ya babu zako inakulinda sana. Fanya mpango ukafanye matambiko kwa wazee wa ukoo wako waliotangulia kwenye haki..
 
dAH MUNGU UNAE KIJANA....KATE MISA WAFU NA SHUKRANI......HAO WENGINE ULIAMBATISHA NAO WALIGHAIRISHA SAFARI AMA?
 
Karibu tena ..
Kuna kazi ya Mwenyeenzi Mungu hatujakamilisha
ndio maana bado anatupa muda ... Sali sana ..
 
Pole sana, unasema huendi Kanisani wala msikitini na huyu uliyemtaja hapa ni yupi?

"Mungu ni mwema.... Nimenusurika na kifo baharini".
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom