Mungu ni mwema.... Nimenusurika na kifo baharini.

<font color="#ff0000">Pole sana, unasema huendi Kanisani wala msikitini na huyu uliyemtaja hapa ni yupi?<br />
<br />
&quot;Mungu ni mwema.... Nimenusurika na kifo baharini&quot;.</font>
Mtu ukiwa huendi kanisani wala msikitini haimaanishi kuwa humuamini Mungu
 
Naona sasa ule mchezo wako mchafu utauacha,MUNGU AMEKUPA ONYO KALI katubu uanze kumtumikia kwa moyo safi,usipuuze kabisa maana umepona kula ban ya maisha.
 
Libwana lenyewe bila shaka lina deka sana. Labda wangesafiri na kukumbwa na dhahma, hilo libwana lingeanza kulia na kuomba lisaidiwe na nazjaz, huku likisema mi aogopa mma


Hahahahha lol! nimecheka mpaka watu mna visa
 
Hao ndo rafiki zangu hapa jamvini.
Kanisani huwa siendi wala msikitini siendi.
Labda sadaka yangu niwapelekee watoto yatima.

pole sana kumbe na wewe ungekuwa kwenye uzi wa marehemu Chetuntu..
kweli mungu mkubwa
 
Back
Top Bottom