Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,523
- 146,042
Kama unataka kum scrutinize The Tooth fairy inabidi uwe katika level yake.
Kama unataka kum scrutinize Santa Claus inabidi uwe katika level yake
Kama unataka kum scrutinize Loch Ness Monster inabidi uwe katika level yake.
Kama unataka kum scrutinize the man whose face is seen on the moon inabidi uwe katika level yake.
Kwa sababu huko katika level zao,
The Tooth Fairy exists
Santa Claus exists
The Loch Ness Monster exists
The Man on the Moon exists
How about that?
Concept ya kumdhihaki mungu inakosa uzito kama mungu anayedhihakika anaweza kuonyeshwa kwamba hayupo.
I would think the creator of the universe would be too big to bother about my dhihaka, that would make him and my esteemed friend, the gentleman who goes by the handler Nyani McCain about equals.
Mungu si Athumani, Si Nyani McCain pia, in fact, si chochote.
I could give him five minutes to strike me dead if he is out there, but I know he is not, so I won't bother.
Dude,
Anything on the forum is for all members, if you want a response from only one person use PM.
Netiquette 101 is tuition free, as long as you have a connection, can google and use a little common sense.
It's not like that, just a simple issue of netiquette. Kama unataka responses from the entire forum weka vitu kwenye forum, kama unataka response from SteveD peke yake muandikie PM.
Hii siyo High School Cafeteria.
Sorry pal, the thread was moved to religion section, it is still online. And yes we still dare to talk openly. Will move it in one of the more open forums.
Dear Game Theory,
Leo umenigusa kwa mara ya kwanza, kwa maana kuwa all of among the posts you routinely make, hii leo nadhani umepost ukiwa hujaamka vizuri, au pengine unaweza kuwa ume-delegate powers to someone else, doesn't look like one of your "always subtancial posts", naweza kusema hivyo!
Game, look:
1.Taifa la Tanzania kutokuwa na dini, haimaanishi kuwa watanzania hawana dini, isipokuwa ni kwamba Taifa halifungamamni na itikadi ya dini yoyote ile kati ya zile zilizopo amabazo wananchi wake wanaziamini
2. Ni watanzania wachache sana ambao hawana dini (atheists). Problem ni kwamba watu wengi huwa tunachukulia kuwa "Paganism" siyo dini, na hivyo kuwaona watu wasioenda misikitini au makanisani kama hawamjui Mungu. Paganists wana dini sema tu their way of worshipping ni tofauti na ile inayofanywa na waumini kwenye majumba matakatifu km vile misikiti na makanisani. Hivyo Paganists wanaamini uwepo wa Mungu 100% ispokuwa njia yao ya ku-communicate naye (Mungu) ni tofauti na zile ambazo wengi tunazitumia hasa kwenye huu ulimwengu wa kisasa.
3. Soma vipi, pata degree zote duniani, lakini be careful; UWEPO WA MUNGU SIYO DEBATABLE! Just use your common sense at the lowest level, unahitaji akili timamu tu ku-confirm hili, hata darasa la kwanza halihitajiki kujua hili. Mfano; look at the things around you, the computer you are using, the chair you are sitting on, the floor on which your office chair rests, the building your office is in, the roads, the truck you use to and fro your working place, etc etc etc. Utakuta kwamba kati ya vitu hivi vyote nilivyovitaja, hakuna hata kimoja ambacho kimetokea from the air, ALL IS MAN MADE! Now, using a similar analogy, go back, look around you. You feel the air; you breath it in and out! Go outside, there are living creatures; PEOPLE, ANIMALS, TREES etc etc etc. Category ya pili ya vitu hivi hakuna mwanadamu wala mnyama aliye na uwezo wa kuvitengeneza. Mti hauwezi kumtengeneza binadamu, and vice-versa!, Now, my question to you is, nani amewezesha uwepo wa vitu hivi ambavyo haviwezi kujitengeneza wala kutengenezana vyenyewe? Jibu ni obvious kwamba ni MUNGU, unless if you are suggesting an alternative name to GOD, call HIM whoever, but retain and reserve His powers and authorities!
Rationale:Kila mmoja wetu anawajibika kutoa justifications za uwepo wa Mungu kwa kizazi kijacho, bila kujali kizazi hiki kitakuja kuwa na ma-atheists, pagans au watu wenye kufuata itikadi ya dhehebu fulani, si kosa. Hivyo watoto lazima waimbe MUNGU IBARIKI TANZANIA, bila kujali watakuja kufuata nini huko mbele, KWA SABABU MUNGU YUPO!Get me? If not, let me know and will come to you latter!
Biblia ni kitabu kama vitabu vingine vya dini zingine......sitaki kuingia zaidi kwenye dini kwanza tumalize la Mungu....suala la ufufuko wa Yesu inabidi lianzishiwe thread yake
kaka hujanipatia Nchi ambayo ina wimbo wa Taifa usiotaja Mungu.
Jeshi La Tanzania lisilokuwa na Dini lakini viapo vyao vinaishia "Mungu tusaidie"
Pundit, I am a living proof that GOD does exist, so are you and all that is around us. The Bible is not just a book, it is "THE BOOK", it has answers to everything, God left out scientific theories out of it for us to figure them out, but the devil is using our knowledge of such theories to make us question the existence of the most high. MUNGU YUPO JAMANI, TENA ANAJIBU NA MAOMBI YETU KWA WAKATI WAKE..... NIMESHUHUDIA HAYA
Pundit, no that definately does not make you God, it might make you a god though for some people, me excluded. What I am trying to say is God operates in mysterious ways. Toa huo ukungu uliojiwekea machoni utaona tu uwepo wake. In the meantime I will pray that you see God in yourself and in others
Nani kakuambia Serikali haina dini?we unaamini hivyo?huhitaji kuwa na degree kujua kama Serikali ina dini au laa. Nitakupa hints zitakazo kufahamisha kuwa Serikali ina Dini au laa.
Zungumzia kurudishwa Mahakama ya Kadhi wenye Serikali yao hawatakuelewa!Utaona mijadala hapa kana kwamba hilo jambo ni geni kumbe lilikuwapo tangu enzi za utawala wa mjerumani na ni serikali ya Mjerumani ndio iliyoianzisha hiyo Mahakama!Na Serikali ya Tanganyika kuifuta miaka ya mwanzo wa uhuru.
Pili December inaingia karibuni kwenye mwezi huo kuna ile sikukuu ya "kuzaliwa kwa Bwana Yesu" ingia kwenye ofisi za walipa kodi "umma" ujionee madecoration ya christmass trees na makadi ya maelfu ya mapesa ya walipa kodi Waisilam,Wakristu na Wapagani yanavyofujwa bila idhini yao! Sijui sheria gani hutumika kununua mapambo yale?hiyo hudhani kuwa ni kuwalazimisha watu kuchangia kodi kwa maendeleo yao kinyume zinatumika kununua christmass trees? Hao ndio wenye Serikali yao ngoja uone watakavyonijibu kwa jazba!
Ha ha ha and in your right mind if we remove "Mungu" from our national anthem then the development will come just like that!!!!? 😕 What about ufisadi? LOL! Kazi kweli kweli!!!!!
...Believers or nonbelievers?
...You sound like you are for the forceful indoctrination of believing in the 'gods of nonbelievers'
It strikes me that upon reading this very simple but very illustrative analogy you have got worked up at your inability to counter it and so have instead resorted to quite a clear misrepresentation of the argumentyou have deliberately and knowingly twisted the analogy because you are incapable of responding to it intelligently. Shameful.GT naomba kukuuliza tu MUNGU ni yupi unayemsemea hapa? Taifa kama taifa naamini halijamtaja Mungu wa wakatoliki, wa waislamu, wa baniani na wengi tu wanaoaminiwa na waumini wa dini husika. Nyimbo wa Taifa linalomtaja Mungu umekuwa generalized bila kutaja ni mungu yupi hasa anayelengwa. Sitaki kuamini kuwa hakuna mtu yeyote ambaye hana imani yake. Imani inayomfanya mtu huyu aiamini katika imani fulani ndiko kwenye Mungu wake!
GT una imani yako,,, je katika upembuzi wako umepata kusikia nyimbo yoyote ya taifa fulani ikitaja Mungu wa imani fulani?
Hata matambiko yalifanywa kwa walioamini matambiko haya na ndiko mungu wao alikokuwa kama walivyoamini.
Ungesema baadhi ya shule ziache kulazimisha watoto kufuata matakwa ya shule fulani fulani kwa sababu ya umiliki wake hapo tungekuelewa.
Mama, GT hapa hakutaka tumtaje Mungu kwenye nyimbo ya Taifa. Ndio kilio chake. Ila kama nimekuelewa hapo kabla hatuimbi wimbo wa Taifa kama tuimbavyo nyimbo zingine. Una maana ya kukumbusha sisi na viongozi wetu wajibu wetu kwa taifa. Kuwaombea viongozi wetu ni kuwakumbusha kuwa wana wajibu wa kuwaongoza kwa maadili kadiri ya matakwa ya katiba ya nchi husika. Mafisadi hawawezi kutufanya tubadilishe wimbo wa taifa ili tusijesema au kuimba wabariki viongozi wake.
Mwisho kwa wote wanafahamu kuwa hata mheshimiwa mmoja wa nchi hii huapa pale kwenye lile jumba letu (sijui la sanaa za maneno) kw aaminivyo yeye na hata wimbo wetu huimba sana!
Hata hii nayo haijakaa vema sana.
Hivi,wakati tunapeleka watoto wetu shule za kikristo ilhali watoto ni waislamu,tunatarajia nini?
Na usinidanganye kwamba,tunakuwa hatufahamu hili kwani shule nyingi hutoa requirements,na kwa kukubali kupeleka watoto pale inaonyesha kukubaliana na requirements za shule hizo.
Sisi wazazi ndio tunaowaweka watoto wetu in those positions...mostly kwa mapenzi mema.
Mkuu nashukuru angalao umenielewa na hata kuwaelimisha akina GT.